ummy mwalimu

Ummy Ally Mwalimu (born 5 September 1973) is a Tanzanian politician belonging to the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. She has been Minister of Health, Community Development, Gender, Seniors and Children in the Cabinet of Tanzania since 2015. She is a two-term Member of Parliament, appointed to a seat reserved for women.

View More On Wikipedia.org
  1. beth

    Ummy Mwalimu: Ni marufuku Shule kuwadai cheti wanaoanza Darasa la kwanza

    Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema ni marufuku Shule kudai Certificate (Cheti) ya Awali kwa Wanafunzi wanaoanza Darasa la Kwanza Akiwa Bungeni Dodoma leo Mei 03, 2021 amesema "Bado hatujafanya vizuri katika kuongeza 'access' ya Watoto kuanza Elimu ya Awali kwahiyo haileti mantiki kusema...
  2. S

    Ninamjibu Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu kuhusu kuwapongeza viongozi wa Tanga kwa kutogombana

    Bila kuwachosha wanajukwaa nitaandika kwa kifupi sana. Juzi waziri wa Tamisemi na mbunge wa Tanga alikuepo jimboni kwake. Kupitia mitandao ya kijamii nimeona eti akiwapongeza viongozi Tanga kwasababu hawagombani. Naomba nimwambie hawagombani kwasababu lao ni moja (kuinyonya Tanga). Unadhani mtu...
  3. Roving Journalist

    Ummy Mwalimu awatumbua Mkurugenzi wa Temeke (Mwakabibi) na Mkurugenzi wa Sumbawanga (Msemakweli)

    Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu amewasimamisha kazi Wakurugenzi wawili. Wa kwanza ni Nyangi Msemakweli wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga. Huyu katumbuliwa kwa ubadhirifu wake na usimamizi mbovu wa miradi ya Maendeleo pia alikuwa hana maelewano na...
  4. S

    Ummy Mwalimu safisha kwako kwanza

    Ummy Mwalimu nakusalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Ndani ya wiki hii umewasimamisha kazi wakurugenzi wawili wapishe uchunguzi kwa ubadhirifu. Mheshimiwa Ummy kwakuwa umekuwa Waziri wa TAMISEMI naomba sasa umshughulikie Mkurugenzi wa Halmashauri yako ya Tanga. Kwakua...
  5. C

    Waziri Ummy Mwalimu, changamoto zinazohitaji kutatuliwa bado ni nyingi TAMISEMI

    Wanasema wajuzi, "Charity begins at home" Mh. Ummy Mwalimu umebebeshwa majukumu mazito kuliko uliyokua nayo awali. Hongera sana Changamoto ni nyingi hata mtangulizi wako anajua. Umeanza vyema kwa kupaza sauti dhidi ya wabadhirifu walio ibuliwa na CAG. Nimeona eti kuna mke wa kigogo mmoja...
  6. Pilitoni

    Waziri Ummy Mwalimu suala la Uhamisho kwa Watumishi wa umma litatue

    Binafsi nikupongeze kwa kuteuliwa kuwa Waziri katika OR- TAMISEMI, wizara hii ni kubwa na ina changamoto nyingi. Wizara hii utaiweza tu pale utakaposhirikiana vyema na wenzako na pia kuwa tayari kupokea na kufanyia kazi changamoto mbalimbali zinazoibuliwa na siye wananchi tulioko mashinani...
  7. Papaa Mobimba

    Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

    Wabunge wapya walioteuliwa kuwa wabunge ni pamoja na Aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Kakurwa Ali, Mbarouk Nassor Mbarouk na Liberata Mulamula. Rais Samia Suluhu akitangaza Baraza la Mawaziri amesema... ''Kuondoka kwa Mpango kumefanya nifanye mabadiliko kidogo kwenye Baraza la...
  8. MEXICANA

    Kati ya Ummy Mwalimu na Dkt. Gwajima nani ana strategy nzuri ya kukabiliana na Covid-19?

    Members JF, Hebu jaribu kuwa rate hawa mawaziri kwenye kukabiliana na hii catastroph facing the global, yupi ana strategic plans nzuri ya kukabiliana na hii kitu?
  9. Miss Zomboko

    Ummy Mwalimu amewashukuru Watumishi wa Sekta ya Afya na Watanzania kwa ushirikiano alioupata kipindi cha Uwaziri wake

    "Ninawashukuru watumishi wa sekta ya Afya na Maendeleo ya jamii wa ngazi zote kwa ushirikiano mzuri walionipatia katika kutekeleza majukumu Nawashukuru kwa imani na upendo wao mkubwa kwangu.Siku zote wamekuwa wakiniamini na kuniheshimu licha ya kuwa sio mwanataaluma wa Afya." "Kwa unyenyekevu...
  10. M

    Uchaguzi 2020 Magufuli ukija Tanga, haya ndiyo yataweza kukupa kura za kishindo

    Ndugu Magufuli, mkoa wa Tanga uliwahi kuwa mkoa tajiri no.1 East Africa kwa sababu ulikuwa ndio sehemu iliyo ongoza ulimwenguni kwa zao la katani, likifuatiwa na yucatan ya Mexico. Tokea miaka ya 1970, zao la katani limekufa baada ya nylon kugunduliwa na kuweza kutengenezwa kwa bei nafuu zaidi...
  11. jingalao

    Uchaguzi 2020 Ummy Mwalimu ni Iron Lady, anaikamata Tanga peke yake...

    Huwezi kuamini kwani ameonesha uwezo wa "man alone" kwa kuishika Tanga vilivyo. Yaani Magufuli atafika Tanga kusalimia tu. Hongera sana THE DRAGON LADY
  12. M

    Ummy Mwalimu: Asilimia 31.8 ya watoto chini ya miaka mitano Nchini wana Utapiamlo

    Waziri wa Afya ndugu Ummy Mwalimu amesema kuwa Katika nchi yetu ya Tanzania, watoto chini ya miaka mitano asilimia 31.8 wana utapiamlo. Waziri akaendelea kusema kuwa, hali hiyo inahatarisha maendeleo ya ukuaji ubongo wa watoto hao kitu kinachoweza kupelekea udumavu wa akili. Mimi binafsi...
  13. T

    Wanataka kuufuta Mfuko wa wafanyakazi wa WFC, hivi Serikali haioni hata aibu?

    Wewe ni Waziri mzuri ndiyo. Unajitahidi kufanya kazi zako vizuri - hulali usiku na mchana ndiyo maana ukafanikiwa hadi kuifukuza corona. nchini mwetu. Uko vizuri sana. Mwanzoni mwa juma lililopita Tarehe 21 Julai 2020 baba mdogo wangu anayefanya kazi mgodini akawa ananipiga stori kuwa Serikali...
  14. U

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu liangalie hili njama zinazofanywa na Madaktari na watu wa Maabara

    Hosipitali hasa za Wilaya kuna tabia moja ya madaktari kula njama na watu wa maabara kupima kila kipimo ni Tsh. 2000!. Mgonjwa akienda kwa Daktari akimweleza dalili za ugonjwa daktari anamwandikia vipimo zaidi ya vinne! Na ili mgonjwa akapimwe mpaka akalipie kwanza. Hii imekuwa kero kwa...
  15. pingli-nywee

    Maabara kuu nchini Tz ilikuwa na mashine mbovu ya kupima sampuli, ilikosa wataalamu wa kutosha na wasimamizi walikuwa watepetevu- Waziri Ummy Mwalimu

    Hii ni kwa wale majirani wetu ambao walikata kata mipapai yao, baada ya kutangaziwa kwamba mapapai yana Corona. Maabara kuu nchini Tz, Dar, imeumbuliwa baada ya uchunguzi kutoka kwa timu ya watu 10, ambayo iliteuliwa na waziri wa afya nchini Tz, Ummy Mwalimu. Uchunguzi wao ulibaini kwamba...
  16. Pascal Mayalla

    #COVID19 Corona ni Mtihani, Jee Ummy Mwalimu Amepasi Mtihani?. Mnaonaje Ampokee Majaaliwa as PM, na Majaliwa Ampokee Magufuli?.

    Wanabodi, Nmemsikiliza Waziri Ummy Mwalimu akizungumzia changamoto za uwaziri wake kwenye Janga la Corona. Kwanza naomba kukiri, kwa vile Waziri huyu ni mwanamke, na jinsi alivyo, muonekano wake wa sura, shape, macho yale, kaumbo portable fulani, ukijumlisha ni Tanga line, hivyo mwanzo...
  17. J

    Bunge lampongeza waziri Ummy Mwalimu kwa kusimamia vizuri mapambano dhidi ya Corona na kuudhibiti

    Naibu Spika Dr Tulia leo ametambulisha kurejea bungeni kwa waziri wa afya mh Ummy Mwalimu ambaye alikuwa mstari wa mbele kuongoza mapambano dhidi ya Corona hadi kuudhibiti ugonjwa huo. Bunge zima limempigia makofi ya furaha na kumshukuru kwa namna alivyotoa mchango mkubwa kumsaidia Jemedari...
  18. G Sam

    Tetesi: Waziri Ummy Mwalimu amepokea ripoti ya ukaguzi wa maabara ya taifa kimya kimya!

    Naona leo waziri wetu wa afya ambaye hatumuelewi siku hizi, bi Ummy Mwalimu amepokea ripoti ya ukaguzi wa maabara kimya kimya. Chanzo changu cha kuaminika kinadokeza kuwa waziri wetu amepewa ripoti hiyo leo mchana mjini Dodoma. Itabidi tufuatilie hali ya mbuzi wetu hukooo6
  19. J

    Nawahurumia sana waziri wa afya Ummy Mwalimu na waziri wa Sukari Innocent Bashungwa kwa sababu huu ni mwaka wa uchaguzi!

    Unaweza usielewe sasa lakini huko mbele ya safari utaelewa tu, hawa mawaziri wawili wamekalia kuti kavu. Katikati ya Corona sukari imeadimika madukani watu wanalazimika kusongamana bila kupenda wakiitafuta sukari. Sisi tulioishi wakati wa vita vya Kagera tunaamini Corona ni vita na hali ya...
  20. Victoire

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, aagiza kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii na Meneja udhibiti na ubora

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuwasimamisha kazi Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, Dr. Nyambura Moremi na Jacob Lusekelo Meneja uthibiti na ubora ili kupisha uchunguzi. Sasa wameanza kushughulika na wataalam badala ya kudeal na Corona Dr...
Back
Top Bottom