ummy mwalimu

Ummy Ally Mwalimu (born 5 September 1973) is a Tanzanian politician belonging to the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. She has been Minister of Health, Community Development, Gender, Seniors and Children in the Cabinet of Tanzania since 2015. She is a two-term Member of Parliament, appointed to a seat reserved for women.

View More On Wikipedia.org
  1. beth

    Serikali: Wanaoficha Watoto kuanza Shule wachukuliwe hatua

    Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu ameagiza Mikoa kutosita kuwachukulia hatua Wazazi/Walezi ambao wanaficha Watoto walio na umri wa kuanza Shule Akizungumza leo Januari 06, 2022 amesema hadi kufikia Desemba 31, 2021 Wanafunzi 488,780 wa Darasa la Awali wameandikishwa katika Shule za Serikali, na...
  2. Leak

    Ummy Mwalimu: Rais Samia amejenga madarasa 3,000 huko nyuma Serikali haikujali kuhusu madarasa na shule

    Huko nyuma watu hawakujali kuhusu Shule/Vituo Shikizi. Ni Serikali ya Awamu ya 6 ya Rais Samia ndio imechukua hatua mahususi na za haraka za kujenga madarasa ya kisasa 3,000 tena kwa mpigo katika Shule Shikizi 970 kwenye Halmashauri mbalimbali nchini. Niwahakikishie Watanzania kuwa TAMISEMI...
  3. A

    Mh. Rais unahujumiwa na Ummy Mwalimu kupitia TAMISEMI. Sio mtenda haki

    Kupitia ukurasa wa ofisi ya Rais TAMISEMI,imeripotiwa kwamba waziri wa TAMISEMI amatoa maelekezo kwa katibu tawala mkoa wa Tabora kumshusha cheo mwalimu mkuu wa shule ya Makazi iliyopo wilaya ya Uyui mkoani Tabora. Ummy amedai kwamba mwalimu huyo ana hana maadili na sio muadilifu. Ninaviarifu...
  4. Miss Zomboko

    Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu ameongeza siku 15 kwa Halmashauri zote nchini kukamilisha ujenzi wa vyumba vya madarasa

  5. Memento

    Anthony Mtaka mbona kwa Ummy Mwalimu umenywea? Ulisema utasimamia unachokiamini

    Mtaka ulitokea hadharani kupinga, kumshutumu na kumuaibisha waziri wa elimu Prof.Ndalichako kwa sababu ya kuzuia makambi. Ukaenda mbali kwa kusema unapuuza maagizo yake na utafanya vile mkoa wa Dodoma mnataka kufanya. Sasa hivi kauli ya Ndalichako imetolewa na Ummy Mwalimu, na kapiga marufuku...
  6. GENTAMYCINE

    Nilidhani mnaomjibu Waziri Ummy Mwalimu na Hoja yake ya 'Likizo na hakuna Twisheni' mna jipya, ila naona mnamjibu 'Utumbo' tu

    Kwa hili la Waziri Ummy Mwalimu la Likizo na hakuna Twisheni Mimi kama GENTAMYCINE naungana nae tena kwa 100% zote tu. Hivi Wataalam wa Taaluma, Elimu na Saikolojia walioweka Kipindi cha Likizo kwa Watoto ( Wanafunzi ) walikuwa Mazuzu ( Majuha ) kama wengi wenu mnaompinga? Kuna Mzazi Mmoja...
  7. L

    Rais Samia tengua kauli ya Waziri Ummy Mwalimu ya kusimamisha uhamisho wa watumishi

    Mama samia tuaomba uwe unasikiliza kauli za mawazili unazitafakari, unapata a maoni ya wale wanao athiriwa na matamko hayo ili kubalance. Mheshimiwa Rais uhamisho ni haki ya kiutumishi kwa mujibu wa sheria na katiba . Mheshimiwa rais kauli ya Ummy kuzuia uhamisho wa watumishi ni kinyume na...
  8. Njaa kali30

    Tumelisikia Tangazo la Waziri wa TAMISEMI kuhusu michango ya wananchi kwa ujenzi wa madarasa na zahanati

    Habari wadau, Nimemsikia waziri wa TAMISEMI akitoa angalizo kuhusu michango ya wananchi kwa ujenzi wa madarasa na zahanati. Akisitiza wananchi wasitozwe pesa katika ujenzi wa zahanati na madarasa. Ni kweli ni wazo zuri lakini litatukosesha ulaji sisi watendaji wako wa chini. Kwani kuna...
  9. Fundi Madirisha

    Uhamisho watumishi wa Umma: Waziri Ummy Mwalimu acha usanii na siasa kwenye maisha ya watu

    Nchi hii kuna viongozi wa ajabu ajabu sana, hivi waziri anapata wapi mamlaka ya kuzuia uhamisho wa mtumishi wa umma ambaye mkataba wake unamruhusu kuhamia eneo lolote kisheria? Utakuta mtu ana miaka mpaka 8 hadi 10 anafanya kazi ndani ya eneo moja, lakini leo hii anaomba kuhama kufuata...
  10. J

    Waziri Ummy Mwalimu awapongeza viongozi Halmashauri ya Temeke

    WAZIRI UMMY MWALIMU AWAPONGEZA VIONGOZI HALMASHAURI YA TEMEKE Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Nchi,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Ummy Mwalimu amewapongeza viongozi wa Temeke, akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Mkurugenzi pamoja na watumishi kwa kazi kubwa na nzuri...
  11. covid 19

    Nahitaji kuonana au kuwasiliana na Waziri Ummy Mwalimu

    Ndugu wana-Jamiiforums wenzangu nahitaji kuonana au kuwasiliana tu na mhe. Ummy Mwalimu Waziri TAMISEMI naamini nikionana nae jambo letu kwenye kuinua elimu yetu tunaamini litakwenda hasa katika kipindi hiki cha utandawazi. Nimefanya jitihada nyingi ila nimeshindwa wakuu vizingiti ni vingi...
  12. beth

    Mitambo ya kufua oksijeni kusimikwa katika Halmashauri 5

    Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema Serikali itasimika mitambo mitano ya kufua Oksijeni katika Halmashauri za Karatu, Mlele, Bunda, Masasi na Nyasa ambapo kila moja itapata Milioni 600 Akizungumza leo akiwa Dodoma ameeleza, "Wataalamu wameangalia maeneo yenye mlipuko wa magonjwa ya mara...
  13. Analogia Malenga

    Ummy Mwalimu: Atakayevurunda kwa fedha za Maendeleo ya Taifa, hatutamuhamisha kituo, tutamfikisha TAKUKURU

    Waziri wa Ofisi ya Rais, TAMISEMI Ummy Mwalimu amesema Mkurugenzi atakayefanya ubadhirifu kwa fedha ambazo serikali ilipokea na kutoa kwa ajili ya maendeleo ya taifa na kupambana #COVID19 hawatawahamisha vituo. Amesema hawatakuwa na mchezo katika fedha hizi, mtu akivurunda atafikishwa katika...
  14. Replica

    Ummy Mwalimu: Sitakubali mimi nitumbuliwe wakati wao(Wakurugenzi) wapo na wanachezea fedha za wananchi

    Waziri Ummy Mwalimu: Kwa sababu Mhe.Rais ananipima kwenye ukusanyaji wa mapato na matumizi ya fedha za mapato ya ndani, na mimi Mhe. Rais nimewaambia (Wakurugenzi) nitawabana, sitakubali mimi nitumbuliwe wakati wao wapo na wanachezea fedha za wananchi".Waziri Ummy Mwalimu => Wakurugenzi wote...
  15. U

    TAMISEMI: Tume ya Utumishi wa Walimu, fanyeni msawazo wa walimu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa ili kuweka uwiano

    Waziri Ummy - Fanyeni msawazo wa waalimu nchini Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Ummy Mwalimu ameielekeza Tume ya Utumishi wa waalimu nchini kuhakikisha wanafanya msawazo wa waalinu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa ili kuweka uwiano sawa wa waalimu...
  16. K

    Miaka 40 ya World Vision Tanzania - Hotuba ya Kaimu Mwenyekiti wa Bodi

    Leo hii tarehe 2 Septemba, 2021 Shirika lisilo la Kiserikali World Vission limeazimisha miaka 40 ya utendaji kazi yake hapa Tanzania ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Waziri wa TAMISEMI Ummy Mwalimu. Kwakweli naomba na mimi niungane na Watanzania wengine kuwapongeza World Vission Tazania kwa kazi...
  17. Mung Chris

    Waziri Ummy Mwalimu kuomba World Vision mshirikiane kujenga madarasa tozo mnapeleka wapi

    Mhe Ummy ni Mgeni rasmi kwenye sherehe ya maika 40 ya World Vision Dodoma, anamuomba Mkurugenzi wa World Vision Gilbert washirikiane kujenga madarasa. Najiuliza walisema tozo zinatosha kabisa kwenye ujenzi wa madarasa, madawati na Hospitali hili la kuomba msaada inakuwaje tena, hapa nadhani...
  18. U

    Waziri Ummy Mwalimu aagiza kata ya Kinaga Kahama kuwekwa kata za kimkakati

    Waziri Ummy Aagiza Kata ya Kinaga- Kahama kuwekwa katika Orodha ya Kata za Kimkakati itakayojengewa Kituo cha Afya Wahenga husema usiibe kabla Jua halijazama,pengine ndio kauli inayofaa kusemwa kwa Wananchi wa Kata ya Kinaga iliyopo pembezoni mwa Halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani...
  19. U

    TAMISEMI sasa ni ya wananchi, Waziri Ummy Mwalimu anastahili pongezi

    Leo nimemskiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza na amesisitiza Ujenzi wa Vituo vya Afya katika Tarafa 207 utatumia utaratibu wa FORCE ACCOUNT sio KANDARASI. Na ameagiza watumie Mafundi Ujenzi waliopo ktk eneo husika ili kutoa ajira...
  20. U

    Afya za wanafunzi takribani 2,500 zipo hatarini kutokana na ukosefu wa maji kwa zaidi ya siku 21

    Shule ya Msingi Benako haina Maji Wiki Ya 3 baada ya Kukatiwa Maji Na Dawasco kwa deni La 200,000. Shule hii inapatikana maeneo ya Salasala Kata ya Wazo, Jimboni Kawe Jijini Dar es Salaam. Taarifa zilizopo ni kuwa muda wa wiki 3 sasa maji shuleni hapo hayapatikani hali inayotishia afya za...
Back
Top Bottom