ummy mwalimu

Ummy Ally Mwalimu (born 5 September 1973) is a Tanzanian politician belonging to the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. She has been Minister of Health, Community Development, Gender, Seniors and Children in the Cabinet of Tanzania since 2015. She is a two-term Member of Parliament, appointed to a seat reserved for women.

View More On Wikipedia.org
  1. beth

    #COVID19 Waziri Ummy Mwalimu: Ipo hatari ya kuingia wimbi la 5 la COVID-19

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Ugonjwa huo bado upo Tanzania na Wagonjwa wanashuhudiwa Hospitali. Kutokana na hali hiyo, kuna tishio la kupata Wimbi la Tano la Maambukizi Akizindua Mpango wa Global Vax amesema, "Tumepita katika Mawimbi manne ya UVIKO-19, tunaendelea kufuatulia kwa karibu...
  2. beth

    Wizara ya Afya: Tatizo la Magonjwa yasiyoambukiza linaongezeka

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema katika kipindi cha Julai 2021 - Machi 2022, kumekuwa na ongezeko la watu wanaolazwa kutokana na Magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo Kisukari, Shinikizo la Damu na Saratani Akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara kwa Mwaka 2022/23 Bungeni, ametoa Wito kwa...
  3. Roving Journalist

    #COVID19 Serikali: Waliopata chanjo ya UVIKO-19 Tanzania ni asilimia 9.81

    Kauli za Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu wakati akipokea chanjo aina ya Sinovac dozi milioni moja kutoka Serikali ya Uturuki, leo Machi 23, 2022. "Kwa niaba ya Serikali chini ya Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tunaishukuru Serikali ya Uturuki kwa kupokea ufadhili...
  4. Cannabis

    #COVID19 Tanzania yafatilia uwapo wa aina mpya ya kirusi cha UVIKO-19

    Waziri wa Afya nchini Tanzania , Ummy Mwalimu, amesema serikali ya nchi hiyo inafuatilia uwapo wa aina mpya ya kirusi cha UVIKO-19 kilichothibitishwa na Shirika la Afya Duniani (WHO). Alisema kirusi hicho, kinajumuisha kirusi cha Delta na Omicron, ambacho kimejiunda na kuwa kirusi kipya cha...
  5. beth

    Serikali yatoa tahadhari ya Homa ya Manjano

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametoa tahadhari ya kuzuka kwa ugonjwa wa Homa ya Manjano (Yellow Fever) ambapo amesema tarehe 03 Machi 2022 Wizara ya Afya ilipokea taarifa kutoka WHO hapa nchini ikielezea kuwepo kwa mlipuko wa ugonjwa wa homa ya manjano nchini Kenya. Amesema hadi kufikia tarehe...
  6. Savage Dad

    Waziri Ummy Mwalimu: Matumizi holela ya P2 yanaweza kusababisha ugumba na saratani

    Kupitia ukaunti yake rasmi, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amenena haya kuhusu watu wanaofanya mzaha wa matumizi ya vidonge vya kuzuia mimba aina ya P2. Inaweza kuonekana ni utani lakini huu ndio ukweli hasa kwa baadhi ya watoto wetu wa kike walio shuleni. P2 ni dawa ya kuzuia mimba...
  7. John Haramba

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu atoa tahadhari jina lake kutumika kwenye kutapeli

    Tamko la Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kuhusu utapeli kwa kutumia jina lake.
  8. Nyendo

    Ummy Mwalimu: Kuanzia sasa matibabu ya Joseph Haule(Prof. Jay) yatagharamiwa na Serikali

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuanzia sasa Serikali itagharamia matibabu ya aliyekuwa Mbunge wa Mikumi Joseph Haule Profesa J anayetibiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili hadi hapo atakaporuhusiwa kurudi nyumbani. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alipofika Muhimbili leo...
  9. Analogia Malenga

    Ummy Mwalimu: Wanaume acheni woga pimeni tezi dume, kuna vifaa vya kisasa

    TATIZO la saratani nchini limetajwa kuongezeka kwa kasi, ikibainishwa kuwapo wagonjwa wapya 42,060 kwa mwaka huku 28,610, sawa na asilimia 68 hufariki dunia kutokana na ugonjwa huo. Taarifa za mwaka 2021 za Taasisi ya Saratani Ocean Road zinaonyesha saratani zinazoongoza kwa wanaume ni tezi...
  10. Roving Journalist

    Ummy Mwalimu: Mtihani wa Awali kwa Madaktari Watarajali, uendelee kufanyika bila Kumzuia Mtarajali kujiunga na Mafunzo

    Ummy Mwalimu: Mtihani wa Awali kwa Madaktari Watarajali, uendelee kufanyika bila Kumzuia Mtarajali kujiunga na Mafunzo ya Utarajali Tamko hili Limekuja baada ya Wanafunzi kulalamika kupitia JamiiForums kwamba utaratibu wa kusubiri miezi nane ndipo warudiE mitihani inawauimiza...
  11. Suley2019

    #COVID19 Waziri Ummy Mwalimu: Watu 3,147 walazwa kwa UVIKO-19 huku 76 wakifariki

    Serikali imesema watu 3,147 walilazwa hospitalini kutokana na Uviko-19 kati ya Septemba 2021 mpaka Januari 23, 2022 ambapo kati yao 2990 sawa na asilimia 95 walikuwa hawajachanja. Pia, imesema kuwa mpaka sasa ni watu 1,922,019 waliochanja sawa na asilimia 3.3 ya Watanzania waliolengwa. Hayo...
  12. OKW BOBAN SUNZU

    Ummy Mwalimu ayakubali maoni kinzani maduka ya dawa

    Anaandika katika kurasa yake Twita Tumepokea maoni na ushauri kuhusu Kanuni za mwaka 2020 zinazosimamia usajili wa majengo ya dawa (ikiwemo maduka binafsi karibu na Hospitali/Vituo vya huduma za Afya vya Serikali. Ni mjadala mzuri. Tumefurahi kujua kuwa watanzania wengi tunakubali kuwa lipo...
  13. Suley2019

    Waziri Ummy Mwalimu azitaka Hospitali za Rufaa kuboresha huduma ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Waziri Ummy Mwalimu amezitaka Hospitali za Rufaa kuboresha huduma ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa Muhimbili, Amesema hospitali za kanda, rufani, mikoa na wilaya huwa wanawahamisha wagonjwa wenye matatizo wanayoweza kuyatibu kwenda Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Agizo hilo alilitoa...
  14. Chachu Ombara

    Waziri Ummy Mwalimu: Maduka ya Dawa nje ya hospitali yaliyo ndani ya mita 500 kuondolewa

    Leo, Waziri Ummy Mwalimu amesema Maduka yote ya dawa nje ya hospitali yanatakiwa kuwa umbali wa mita 500. Amesema Sheria hii aliipitisha yeye kabla sijaondoka Wizarani na kuongeza kuwa Maduka yaliyo ndani ya Mita 500 ndani ya Hospitali Nchi nzima wanakwenda kuyaondo. Waziri Ummy amehoji...
  15. K

    Ummy Mwalimu, karibu tena Sekta ya Afya. Ukifika Bohari ya Dawa MSD tupia jicho pia kwenye haya...

    Ndugu Mh. Waziri Ummy - Waziri wa Afya, kwanza kabisa tunakupongeza sana kwa kuaminiwa tena na Mh. Rais Samia kwa kuiongoza tena Wizara ya Afya - karibu sana. Nakumbuka mara bada tu ya kuapishwa na Mh. Rais kuingoza wizara yetu hii, ulihojiwa na waandishi wa habari na ukaahidi kuitembelea mara...
  16. Meneja Wa Makampuni

    Hakuna Waziri anayefanya kazi kwa bidii kama Ummy Mwalimu, anastahili pongezi zote kwani anajitahidi sana

    Hakuna waziri anayefanya kazi kwa bidii kama Ummy Mwalimu, anastahili pongezi zote anajitahidi sana. No doubt for this. She's working hard. Maamuzi aliyochukua kuhusu uhamisho wawatumishi ni sahihi kabisa. No doubt for this. Uzi umeishia hapa. Ova
  17. U

    Tanga: Waziri Ummy Mwalimu akagua ujenzi wa shule mpya ya sekondari iliyopo Saruji, Kata ya Maweni

    MHE UMMY MWALIMU AKAGUA UJENZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI ILIYOPO SARUJI, KATA YA MAWENI Awapongeza Mkuu wa Wilaya na Viongozi wa Halmashauri ya Jiji la Tanga kwa kazi nzuri Viongozi waomba iwe Shule ya Wasichana na iitwe Ummy Mwalimu Secondary School. Mbunge wa Tanga Mjini na Waziri wa Nchi...
  18. A

    Ummy Mwalimu acha kuwahadaa Watanzania wewe sio mwadilifu

    Jana kupitia vyombo vya habari waziri wa TAMISEMI Ummy Mwalimu amewataka wakurugenzi kufanya alichokiita msawazo wa watumishi katika halmashauri zao akilenga zaidi kwa walimu. Amedai kwamba katika halmashauri nyingine sio kwamba walimu hawatoshi bali tatizo ni watumishi kulundikwa sehemu moja...
  19. TODAYS

    Ummy Mwalimu ameamua kumnanga Job Ndugai huko twitter

    Hii tweet imenifanya kucheka sana hasa baada ya kusoma reply zake 😂...
  20. babu M

    Ummy Mwalimu ana sifa na anastahili kuwa Waziri Mkuu!

    Mchapa kazi, ana ushawishi mkubwa ndani ya CCM na nje ya CCM, amekuwa akifanyia kazi kwa haraka na ufanisi mkubwa pale malalamiko yanapotokea kwenye wizara anazozisimamia, mtu wa kujituma nani mfuatiliaji yanayofanyika kwenye wizara yake kwa ukaribu zaidi(hana u-mangi meza!), Sio mtu wa...
Back
Top Bottom