ummy mwalimu

Ummy Ally Mwalimu (born 5 September 1973) is a Tanzanian politician belonging to the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. She has been Minister of Health, Community Development, Gender, Seniors and Children in the Cabinet of Tanzania since 2015. She is a two-term Member of Parliament, appointed to a seat reserved for women.

View More On Wikipedia.org
  1. Fundi Madirisha

    Baraza Madaktari Tanzania (MCT) lamgomea Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kuhusu Madaktari Watarajali

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida Baraza la Madaktari Tanzania (MCT) ambalo kimsingi ndilo lenye mamlaka ya kisheria katika kusimamia taaluma ya Utabibu nchini linalalamikiwa na Wanataaluma wa tiba hasa madaktari tarajali kwa kukiuka makubaliono yaliyotokana na majadiliano ya kikao kati ya...
  2. BigTall

    Sina imani na Kamati Huru iliyoundwa na Ummy Mwalimu kufuatilia sakata la Madaktari Watarajali

    Nianze kwa kupongeza uamuzi wa Serikali kuamua kuitikia wito wa kuunda Tume ya kufuatilia suala la Madaktari Wahitimu Watarajali Nchini. Uamuzi huo unaonesha wazi Serikali ipo kazini na ina nia ya kweli ya kuwasaidia Wananchi wake kwa kuwa ukifuatilia hoja za Wanataaluma hao wa Udaktari zina...
  3. Pfizer

    Madaktari watarajali wamekuwa ombaomba Mtaani kisa leseni, wamuangukia Waziri Ummy Mwalimu na Rais Samia

    Mheshimiwa Rais, Amani iwe nawe daima. Mheshimiwa Rais, Awali ya yote tunakupa pole kwa kazi zako za kila siku za kuhudumia Watanzania, huku tukiamini Mwenyezi Mungu anaendelea kukujalia afya tele na tunatambua pia una majukumu mengi kwa ajili ya ustawi wa Taifa letu. Mheshimiwa Rais, hii ni...
  4. anti-Glazer

    Barua ya wazi kwa Waziri wa Afya Ummy Mwalimu uliyekurupuka kuhusu Bima ya Afya

    Ummy mwalimu. Nianze kwa masikitiko makubwa ya kile kinachoendelea kwenye mahospitali, vituo vya afya na zahanati imma na binafsi. Ummy (MB) na waziri umepewa dhamana lakini hujui msuguano uliosababisha. Wachangiaji na familia zetu typo kwenye mkwamo tusiostahili. Huduma ya afya Kwa kadi za...
  5. Roving Journalist

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ataka hospitali nyingine ziige kilichofanywa na Taasisi ya MOI

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ametaka taasisi nyingine kuiga mfano wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) wa kuanza kuwapigia wagonjwa simu ili kuwajulia hali. Waziri Ummy amesema hayo kupitia ukurasa wake wa twitter Julai 20, 2023 akiwapongeza MOI kwa kuanzisha utaratibu wa kuwapigia simu...
  6. Wizara ya Afya Tanzania

    Ummy: Madaktari Bingwa kufanya kazi ya Kliniki binafsi katika Hospitali za umma baada ya saa za kazi sio jipya

    Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema suala la Madaktari Bingwa kufanya kazi ya Kliniki binafsi katika Hospitali za umma baada ya saa za kazi sio jipya na tayari linafanyika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, JKCI, Ocean Road na Taasisi ya Mifupa MOI ambapo lilianza kutekelezwa zaidi ya...
  7. Mayor Quimby

    Ummy Mwalimu: Ruksa Madaktari kutumia hospitali za Serikali kama private clinic baada ya muda wa kazi

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametoa ruhusa rasmi kwa Madaktari nchini walioajiriwa na serikali kufanya kazi Binafsi kwenye Hospitali za serikali baada ya muda wa kazi kuisha. Waziri Ummy ametangaza uamuzi huo leo Mkoani Simiyu, wakati akizungumza na watumishi wa Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa...
  8. JanguKamaJangu

    Ummy Mwalimu: Wataalamu wa afya punguzeni semina, wananchi wapate huduma vituoni

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amewataka wataalamu wa afya nchini kupunguza semina ili kuwa na muda zaidi wa kutoa huduma bora za matibabu kwa wananchi. Waziri Ummy Mwalimu ameyasema hayo leo Julai 10, 2023 katika ziara yake Mkoani Simiyu wakati akizungumza na viongozi wa Mkoa huo chini ya Mkuu...
  9. AKAN

    Waraka wa wataalam wa maabara Tanzania kuhusu ajira za TAMISEMI na Wizara ya Afya

    Habari ya majukumu wana JamiiForums, Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu, kuna waraka ambao umetolewa na wataalamu wa maabara kuhusu ajira zinazotolewa na serikali. Binafsi Nimesoma na kuelewa lengo, pia naunga mkono hoja za wataalamu wetu. karibuni kwa nyongeza ya maoni...
  10. Doctor Mama Amon

    Waziri Ummy Mwalimu, Mfuko wa Bima ya Afya unawatesa Wagonjwa wasio na hatia na unakiuka kanuni za utawala bora

    Mheshimiwa Waziri Ummy Mwalimu, Napenda kukufahamisha matatizo matatu kuhusu Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa (NHIF), kama ifuatavyo: Mosi, mikataba yote kati ya NHIF na vituo vya Afya inacho kifungu kinachovunja sheria ya mikataba, kanuni za utawala bora, na heshima ya utu wa wamiliki wa vituo...
  11. Suley2019

    Ummy Mwalimu: Marburg imeisha rasmi Tanzania

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu Ummy Mwalimu leo tarehe 02 Juni 2023 akiwa Bukoba Mkoani Kagera ametangaza kuwa mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania. “Kwa mujibu wa miongozo ya Shirika la Afya la Duniani (WHO), tangu tulipomruhusu mgonjwa wa mwisho, tulipaswa kuendelea kuchukua...
  12. Travelogue_tz

    Zuio la usajili wa Polyclinics (Kliniki za Kibingwa) mpya katika mfuko wa bima (NHIF): Waziri Ummy Mwalimu atoe majibu

    SINTOFAHAMU YA ZUIO LA USAJILI WA POLYCLINICS (KLINIKI ZA KIBINGWA) MPYA KATIKA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF): WAZIRI UMMY MWALIMU ATOE MAJIBU KWA WADAU Kumekuwa na kilio cha Wadau katika sekta ya afya juu ya zuio la kusajili Vituo vya kutolea huduma maarufu kama Polyclinic na...
  13. BARD AI

    Wizara ya Afya: Tutatoa taarifa kama kuna ongezeko la Magonjwa ya Mfumo wa Upumuaji

    Kuhusu tetesi za uwepo wa Covid 19; Nawaomba wananchi muondoe hofu. Tunachakata taarifa tulizokusanya kutoka Hospitali/Vituo mbalimbali ndani ya wiki hii tutatoa taarifa kama kuna ongezeko la magonjwa ya mfumo wa hewa au la? Kwa taarifa za wagonjwa waliopimwa virusi vya UVIKO-19 wiki ya tarehe...
  14. B

    Serikali yafanikisha Wajawazito kupimwa vipimo vya awali bure

    Serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan inazidi kuboresha huduma za afya kwa wananchi na kuanzia sasa akina mama wajawazito wanaofika kwenye kliniki za uzazi na zile za mama na mtoto kupimwa vipimo vya uwingi wa damu, mkojo, kuangalia uwingi wa protini, shinikizo la damu...
  15. S

    TAMISEMI waziri labda Ummy Mwalimu

    TAMISEMI ni wizara kubwa sana yenyewe tu ni serikali inayojitegemea, waziri ninayemwona kuifaa ni Ummy Mwalimu. Huyu mama yuko makini hacheki makima yaliyojaa halmashauri. Mwingine profesa Ndalichako. Mama ana ugomvi na Ndalichako? Hakuna waziri mwanaume wa kumpeleka TAMISEMI wamejaa uroho na...
  16. USSR

    Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

    Waziri wa zamani wa wizara mbalimbali amesema kuna chama la mashoga hapa Tanzania na wana uongozi wao wa kitaifa na kimataifa, kimkoa na kiwilaya atawataja na kukabidhi majina yao kwa mamlaka husika ili wachukue hatua. Amesema anayo majina yao wote namba zao za simu na washirika wao wote USSR...
  17. P

    Ummy Mwalimu unatumia ukaribu wako na Othman kuwaangamiza wenzako

    Wote tunajua nguvu aliyonayo huyu jamaa wa Tanga former DGIS katika uongozi wa Nchi kwa sasa. Hata huyu bwana aliyewekwa toka Kigoma kawekwa na hao hao wenye nguvu. Ummy Mwalimu anatumia sana uwezo wa kumfikia mwenye Mamlaka kuwaharibia wenzake anaofanya nao kazi. Alianza kwa Major General...
  18. USSR

    Waziri Ummy Mwalimu, unafahamu uhuni na danadana za kituo cha JKCI?

    Wananchi wanateseka sana wanagungushwa sana hope wanataka rushwa, ndio kama sio rushwa nini? Huyu mgonjwa ni moja ya wagonjwa wanaoteseka sana ingawa tukiwa pale nimeona kundi kubwa, ipo hivi? Kwanza Jack alipima vipimo mwaka jana kuelekea Krismas, then tukaambiwa vipimo vimepotea anatakiwa...
  19. B

    Ukielewa mazuri ya Bima ya Afya kwa wote, huwezi kupinga tena Mpango huu wa Serikali

    *UKIELEWA MAZURI YA BIMA YA AFYA KWA WOTE, HUWEZI TENA KUPINGA MPANGO HUU WA SERIKALI. Leo kwenye Gazeti la Tanzania Leo nimeuchambua Mpango wa Serikali wa kuja na Bima ya Afya kwa wote ambao utawawezesha Wananchi wote kupata huduma za matibabu hata kama hawana fedha na kuokoa Watanzania wote...
Back
Top Bottom