ummy mwalimu

Ummy Ally Mwalimu (born 5 September 1973) is a Tanzanian politician belonging to the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. She has been Minister of Health, Community Development, Gender, Seniors and Children in the Cabinet of Tanzania since 2015. She is a two-term Member of Parliament, appointed to a seat reserved for women.

View More On Wikipedia.org
  1. iamwangdamin

    Ummy Mwalimu asema NHIF ni urithi(legacy) iliyoachwa na Mkapa

    “As we are celebrating the life of the late Benjamin Mkapa, I would like to also mention that the National Health Insurance Fund is also a legacy of His Excellency Mkapa who started the initiative during his presidency”, says Ummy Mwalimu at the 2nd National Human Resource for Health...
  2. Fundi wa fundi

    Ukosefu wa mtandao wa mawasiliano Umeme na Maji

    Changamoto hii imekua khbwa sana katika Maeneo mengi ya vijijini kutokana na ukosefu wa elimu na ujasiri kwa wananchi haswa waishio vijijini hata pale wanapofika viongozi wa kitaifa kwa kua huogopa kuchukuliwa hatua na viongozi wa ngazi ya mtaa na vijiji
  3. J

    Mawaziri Dkt. Pindi Chana, George Simbachawene na Ummy Mwalimu kujadili ongezeko la vifo na talaka nchini

    Waziri wa Katiba na Sheria Dr Pindi Chana atakutana na Waziri wa Utumishi George Simbachawene na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu kutafuta Suluhisho la Ongezeko kubwa la Vifo na Talaka nchini My take: Sijajua Kwanini hawajamshirikisha Dorothy Gwajima ======== WAZIRI wa Katiba na Sheria, Balozi Dk...
  4. B

    Madaktari bingwa kuweka kambi ya siku 3 katika Hospitali ya Wilaya ya Bukoba

    📌 Kuweka Kambi ya Siku 3 mfululizo kuanzia kesho Jumatatu Hospitali ya Wilaya- Bujunangoma kutoa huduma mbalimbali za Kibingwa, Wananchi wote mnakaribishwa. Huduma za Kibingwa ambazo zamani zilikua zinapatikana kwenye Hospitali za Rufaa, za Mikoa na Taifani pale Muhimbili, sasa miaka mitatu ya...
  5. Abraham Lincolnn

    Kigoma: Mwanamke adaiwa kujifungua na kukosa huduma kwa zaidi ya saa moja katika Kituo cha Afya Kata ya Basanza

    Wakati wahusika wakikazana kusifia na kugeuka chawa wa viongozi, Hapa ni Jimbo la Kigoma kusini wilaya ya Uvinza kata ya Basanza Mkoani Kigoma katika zahanati ya serikali, huyo ni raia mlipa Kodi akitetea uhai wake pamoja na mwanaye baada ya kujifungua Zahanati bila kupata msaada wowote. Pia...
  6. JanguKamaJangu

    Waziri Ummy Mwalimu: Fanyeni mazoezi ya mara kwa mara ili kujikinga dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ametoa rai kwa wananchi kufanya mazoezi ya mara kwa mara ili kuifanya miili yao kuwa imara na kujikinga dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza. Waziri Ummy alitoa wito huo Januari 13, 2024 alipokuwa katika moja ya maduka ya vifaa vya michezo la ‘Just fit’ lililopo Jijini...
  7. Analogia Malenga

    Miradi miwili ya ajabu kwenye Wizara ya Afya

    Nimeangalia zaidi kwenye bajeti ya afya kuna miradi miwili zaidi ya hospitali ambayo inaonesha walakini kwenye utekelezaji wake. Mradi wa uimarishaji wa Hospitali ya Rufaa ya Rukwa umepokea hela 99% ya walizoomba lakini mradi huo umefikia 65%. Kuna tofauti kubwa ya kilichotolewa na...
  8. Roving Journalist

    Ummy Mwalimu: Dozi moja ya chanjo ya HPV inatosha kumkinga Msichana kupata Saratani ya Mlango wa Kizazi

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema dozi Moja ya chanjo ya HPV inatosha kumkinga msichana kupata ugonjwa wa Saratani ya Mlango wa Kizazi na kuwataka wazazi/walezi kuwapeleka watoto kupata chanjo hiyo. Waziri Ummy Mwalimu amesema hayo Aprili 22, 2024 kwenye uzinduzi wa Maadhimisho ya Dozi moja...
  9. Roving Journalist

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu anazungumza na Wanahabari Jijini Dar es Salaam, Machi 18, 2024

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu anazungumza na Wanahabari Jijini Dar es Salaam, Machi 18, 2024 https://www.youtube.com/watch?v=N16fn896FLM
  10. DR Mambo Jambo

    Ummy Mwalimu: APHTA warudi mezani tujadili kuhusu kitita cha NHIF huku wagonjwa wakiendelea kutibiwa

  11. A

    DOKEZO MSD ilikabidhiwa kiwanda cha madawa Keko lakini kinaelekea kufa…

    Ni ajabu ila ni kweli. Bohari ya Dawa (MSD) ambayo ipo chini ya Wizara ya Afya ambayo Waziri wake ni Ummy Mwalimu ilikabidhiwa uendeshaji wa Kiwanda cha Dawa cha Keko na Msajili wa Hazina mwaka 2020, ambacho kinamilikiwa kwa Asilimia 70 na Serikali huku mbia binafsi akimiliki Asilimia 30...
  12. R

    Ummy Mwalimu relax, waamnie Wakurugenzi barua za ufafanuzi zinatosha. Fanya kazi matokeo yatakutenga na uongo

    Mhe. Ummy naona kama umepanic sana, au wasaidizi wako wamepanic sana. Waambie barua zinatosha . Issue ya ubovu wa miundombinu ya vituo vya Afya kwa ulimwengu na hali ya uchumi wa Tanzania haina pingamizi . Cha msingi kazi imefanyika kwa kiwango chake. Kwa mantiki hiyo nikuombe msiendele...
  13. Wizara ya Afya Tanzania

    Tanzania yavunja rekodi matibabu ya moyo

    Na Mwandishi wetu – Dar Es Salaam. Upasuaji mdogo wa moyo wa kubadilisha valvu ya mshipa mkubwa wa damu (Aortic Valve) bila kufungua kifua (Transcatheter Aortic Valve Implantation procedure – TAVI) Upasuaji huo wa historia umefanyika kwa wagonjwa watatu wenye umri wa zaidi ya miaka 70 katika...
  14. JanguKamaJangu

    Ummy Mwalimu: MOl imepunguza rufaa za Wagonjwa kwenda nje ya nchi

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuwa Tanzania inakwenda kuwa kitovu cha Tiba Utalii kwa kutoa huduma za Afya kwa wagonjwa maalumu wa ndani na nje ya nje. Waziri Ummy amesema hayo leo Novemba 28, 2023 baada ya kufungua mradi wa kliniki mpya ya wagonjwa maalum na wa kimataifa iliyopo...
  15. R

    Tusaidie Waziri Ummy Mwalimu barabara ya Tanga to Pangani

    Barabara haipitiki hata kidogo. wachina waliijaza udongo na mvua hizi ni shida tupu. Angalau wasafishe au TANROAD wasafishe kipanda cha kufika Mjini- Machui! Ni hatari tupu!
  16. Roving Journalist

    Ummy: Msimamo wangu TMDA wasimamie Maduka ya Dawa, Baraza la Famasia libaki kwenye taaluma

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema “Msimamo wangu tubadilishe Sheria ili Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzania (TMDA) ndio isimamie maduka ya Dawa kisha Baraza la Famasi libaki kusimamia taaluma, TMDA ina nguvu na inaweza kufanya kazi." mesema hayo Novemba 17, 2023 katika Kongamano la Tatu...
  17. Roving Journalist

    Muswada wa sheria ya Bima ya Afya kwa wote wa Mwaka 2022 wasomwa Bungeni, leo Novemba 1, 2023

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 13, Kikao cha 2, leo Novemba 1, 2023 ambapo Muswada wa sheria ya Bima ya Afya kwa wote wa Mwaka 2023 unasomwa. ==== MAELEZO YA MHESHIMIWA UMMY ALLY MWALIMU (MB), WAZIRI WA AFYA AKIWASILISHA MUSWADA WA KUTUNGA SHERIA YA BIMA YA AFYA KWA WOTE...
  18. peno hasegawa

    Jiji la Tanga Kuna vyuo vya Afya vidivyo na sifa kama uyoga baada ya Ummy mwalimu kuwa waziri wa Afya kulikoni?

    Serikali isipofuatilia kwa umakini sifa za uanzilishwaji wa vyuo vya Afya kuna uwezekano wa kuzalisha madaktari feki. Ukiangsli Jiji la Tanga , kwa mfano tangu mbunge wao Ummy Mwalimu awe waziri wa Afya, kuna vyuo vya afya vingi bubu vimeanzishwa kila kona ya Jiji kulikoni!
  19. peno hasegawa

    Shule za binafsi (msingi na sekondari) kutoza wazazi/ walezi bima za afya wanafunzi kwa kila mwaka Ummy mwalimu unalifahamu hilo?

    Kuna wimbi limeingia kwenye wizara ya elimu shule binafsi kutoza bima ya afya 300, 000 kila mwanafunzi kwa kila mwaka. Hizi bima ni halali au wazazi/ walezi tuna upinga mwingi!
  20. John Haramba

    Takwimu zinaonesha kila sekunde 24 kuna mtu anafariki kwa ajali ya barabarani

    Umoja wa Mataifa kupitia Shirika la Afya Duniani (WHO) umeeleza kuwa Magonjwa yasiyo ya kuambukiza yanachangia vifo vya watu Milioni 41 kila Mwaka Duniani sawa na 74% ya vifo Ulimwenguni. Hayo yamebainishwa katika Kongamano la Mabalozi wa Usalama Barabarani lililofanyika kwenye Ukumbi wa...
Back
Top Bottom