umoja

Akinyele Umoja (born 1954) is an American educator and author who specializes in African-American studies. As an activist, he is a founding member of the New Afrikan People's Organization and the Malcolm X Grassroots Movement. In April 2013, New York University Press published Umoja's book We Will Shoot Back: Armed Resistance in the Mississippi Freedom Movement. Currently, he is a Professor and Department Chair of the Department of African-American Studies at Georgia State University (GSU).

View More On Wikipedia.org
  1. J

    ACT Wazalendo wataka Zanzibar ipewe mamlaka kamili

    Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Masoud Othman amesema Chama chake cha ACT Wazalendo kinataka Muungano utakaoitambua Zanzibar yenye Mamlaka kamili Masoud amesema hayo kwenye mkutano wa Chama chake huko Nungwi Chanzo: ITV habari
  2. Mhafidhina07

    Umoja ni nguvu

    Kuna usemi usemao "umoja ni nguvu utengano ni udhaifu" pia ipo moja ya nadharia imetokana na sayansi ya siasa "consequalism" inayoelezea ni jinsi gani utaweza kujua jambo au maamuzi unayoyachukua ni sahihi kwa kutumia kuangalia muitikio wa maamuzi kwa walengwa ikiwa idadi ya wanaokubali maamuzi...
  3. RingaRinga

    Umoja Party walikuja kuzima harakati halali

    Enyi viongozi wa vyama na wanasiasa, Nataka niwaambie ukweli mchungu: Mpaka sasa hakuna chama kilichojipambanua kuwakilisha mawazo ya wananchi wengi, Kama wananchi watapiga kura 2025 watapiga kura za visilani tu, usishangae hata vyama visivyopata kura nyingi vikapata kura nyingi kuliko wakati...
  4. Stephano Mgendanyi

    Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Igunga wazindua ujenzi wa nyumba ya Katibu wa Wilaya

    Umoja wa Wanawake (UWT) Wilaya ya Igunga umetumia Siku ya tarehe 29 Januari 2023 kufanya uzinduzi ujenzi wa nyumba ya Katibu wa Wilaya ikiwa ni muendelezo wa matukio mbalimbali yanayofanywa na Jumuiya za Chama cha Mapinduzi (CCM) kuelekea mahadhimisho ya Miaka Arobaini na Sita ya Kuzaliwa kwa...
  5. B

    Katiba Mpya: Umoja ni Nguvu, tuunganishe nguvu zetu

    Inafahamika kuwa maadui zetu ni walamba asali pekee. Hao ndiyo walio wanufaika wa hali iliyopo. Wengine wakiwamo chawa na hata waliowahi kuwa chawa au kuwa walamba asali, wote ni wahanga tu. Kundi la wasiojitambua halipaswi kuwa mzigo tena kufikia sasa. Tunaotaka katiba mpya Kwa namna yoyote...
  6. Mpinzire

    Kupotea kwa M/K Umoja wa vijana NCCR na ukimya wetu!

    Habar za Asubuh waungwana! Jana nilikuwa Club House usiku mpaka saa 00:58 huko! Nilikutana na taarifa ya Mwenyekiti wa umoja wa vijana NCCR Mageuzi kupetea katika mazingira yakutatanisha huko kwake Buguruni tangia tarehe January 24, 2023 usiku. Kijana huyu ni mmoja wa wafuasi wa karibu wa Mh...
  7. MamaSamia2025

    Bila upendo na umoja ni ngumu sana kuuondoa umaskini kwenye familia

    "Bora mtu baki kuliko ndugu" Hii ni kauli maarufu sana nyakati hizi kwasbabu ya upendo wa wanafamilia wengi kupungua baina yao. Wanafamilia wamekuwa hawapendani na kupelekea umaskini kuzidi kushamiri. Kwanza tujue kuwa bila familia imara hakuwezi kuwa na taifa imara. Mafanikio ya taifa yanaanza...
  8. IamBrianLeeSnr

    Mcheza Filamu Maarufu Duniani kutoka Uingereza Idris Elba ambaye ni Balozi Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa (IFAD), Davos, Uswizi akutana na Rais Samia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Muigizaji Maarufu wa Filamu Duniani kutoka Uingereza Idris Elba ambaye ni Balozi wa hisani wa Umoja wa Mataifa wa IFAD alipokuwa Davos nchini Uswizi. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe...
  9. Justine Marack

    Mbona Chama cha Umoja Party kipo kimya?

    Mbona kimya ghafla? Nini tatizo wandungu? Kila Kona ya nchi watu wamejawa na kiua ya kuona usajili wa chama pendwa Duniani. Watu wanataka kuvunja rekodi za chama kuvuna wanachama mamilioni Kwa wiki Moja tu, tena bila mikutano ya hamasa. UMOJA party kinawanachama kabla ya kusajiliwa, ni chama...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    Kijana uliyeoa, hakuna njia nyingine ya kufanikiwa zaidi ya kuwa na umoja na ushirikiano na mkeo

    Anaandika, Robert Heriel Kama umezaliwa familia masikini, na unampango wa kufanikiwa/kutoboa maisha yaani angalau uwe na nyumba nzuri, Gari, na watoto waishi Maisha poa. Basi inakupasa utambua baadhi ya Kanuni. Ingawaje Watu wanasema Maisha hayana Formula lakini zipo Formula katika Maisha...
  11. BARD AI

    Msumbiji yachukua nafasi ya Kenya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC)

    Taifa hilo kutoka Kusini mwa Afrika limeingia rasmi katika #BarazalaUsalama la Umoja wa Mataifa (UNSC), likianza muhula wa miaka 2 baada kuchaguliwa Juni 2022 pamoja na Nchi za #Ecuador, #Japan, #Malta na #Switzerland. Msumbiji inaungana na #Ghana na #Gabon kuhudumu katika Baraza hilo, huku...
  12. BARD AI

    EU: Mwaka 2025 Simu zote zitarejeshwa kwenye mfumo wa Betri za kutoa (𝗥𝗲𝗽𝗹𝗮𝗰𝗲𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗕𝗮𝘁𝘁𝗲𝗿𝗶𝗲𝘀)

    Baada ya USB-C kulazimika kuwa ndio port ambayo itakuwa katika simu zote duniani na kampuni kama Apple kukubali kuanza kutengeneza iPhone ambazo zitakuwa na port na cable ya USB-C; kinachofuata ni replaceable batteries. 𝗥𝗲𝗽𝗹𝗮𝗰𝗲𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗕𝗮𝘁𝘁𝗲𝗿𝗶𝗲𝘀 𝗻𝗶 𝗻𝗶𝗻𝗶? Kwa wale ambao wameanza kutumia simu tangu...
  13. BARD AI

    Umoja wa Mataifa waiondolea DRC zuio la kununua Silaha mpya

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limechukua hatua hiyo iliyowekwa kwa Majeshi ya Serikali ya DRC kutonunua Silaha mpya hadi wapate kibali kutoka Kamati ya Vikwazo ya UN. Wajumbe wa Baraza hilo wamesema wanatambua Hali Mbaya ya Usalama nchini humo na hivyo kuondoa vikwazo hivyo ni katika...
  14. L

    Rais Samia analivusha mwaka Taifa likiwa na umoja na mshikamano wa hali ya juu

    Ndugu zangu Ni kwa Mara nyingine Tena tukiwa tunaelekea kuumaliza Mwaka tunashuhudia Rais wetu mpendwa mama wa Shoka, Jasiri, shupavu, imara, madhubuti, mwenye msimamo usiyoyumba,mcha Mungu, mzalendo, mpenda nchi yake, na mwenye maono ya Mbali Mama Samia Suluhu Hassan akilibeba Taifa letu katika...
  15. J

    Shaka: Chokochoko za kisiasa ni hatari kwa umoja wa kitaifa

    CHOKOCHOKO ZA KISIASA NI HATARI KWA UMOJA WA KITAIFA - SHAKA Asisitiza kuwa Rais Dk. Samia, Rais Dk. Mwinyi wanafanya kazi kubwa kuleta maendeleo waungwe mkono Na MWANDISHI WETU, Pemba Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM melaani kauli za baadhi ya wafuasi, wanachama na viongozi...
  16. masopakyindi

    Siasa za Tanzania: Ukabila na Ukanda sasa rasmi, mwanzo wa kuanguka umoja wa Kitaifa-Uchaguzi wa CCM umedhihirisha!

    Sisi tulio makabila madogo na tulio pembezoni, tulionya sana katika miaka y karibuni juu ya kujitokeza vashiri vya Ukanda, Udini na Ukabila katika siasa za nchi. Sasa zimeanza kujitokeza dhahiri na kwa kila mtu kujionea kwa macho yake yanayoendelea nchini. Kama kuna kielelezo kinajitokeza ili...
  17. Jackal

    Bunge la Marekani linataka Urusi iondolewe kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

    Congress Wants to Boot Russia From U.N. Security Council The Biden administration is also interested in watering down Russia’s influence at the United Nations. By Jack Detsch, a Pentagon and national security reporter at Foreign Policy., and Amy Mackinnon, a national security and intelligence...
  18. BARD AI

    Marekani yafanikisha kuiondoa Iran kwenye Baraza la Umoja wa Mataifa la ECOSOC

    Umoja wa Mataifa kupitia Baraza la Uchumi na Kijamii la Umoja wa Mataifa limepiga Kura na kuchukua hatua hiyo baada ya kuripotiwa matukio mengi ya Ukatili dhidi ya Wanawake na Wasichana nchini humo. Pia, Baraza Kuu la Kimataifa linalopigania Usawa wa Kijinsia chini ya Ufadhili wa Marekani...
  19. J

    PONGEZI: Mary Pius Chatanda Mwenyekiti Mpya UWT, Rais Samia aitaka UWT kuwaunganisha na kuwakwamua wanawake nchini

    RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA 10 UWT JIJINI DODOMA. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan azungumza na Viongozi, wageni mbalimbali pamoja na Wajumbe wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) akifungua Mkutano Mkuu...
  20. Eagle Wa njano

    Je ukimya wa Umoja part (UPT) ni kiashiria cha kupotea mazima?

    Tangu ujio wa chama kipya cha siasa UPT kumekuwa na maneno mengi yanayozungumzwa chini chini hasa uhusika wa baadhi ya viongozi waliohudumu katika awamu ya 5 ndani ya CCM kuhusishwa na chama hiki. Baada tu ya kusikika kilipotea ghafla. Ukimya huu unasababishwa na mkono wa Serikali juu ya hiki...
Back
Top Bottom