Nimejaribu kuzunguka mtaa kwa mtaa, zaidi ya miezi 3, ili nipate mchepuko wa kiarabu; lakini bado sijafanikiwa.
Naimani, nikipata mrembo wa umbo namba 8, wa Kiarabu; akili yangu itatulia na kufanya mambo mengi ya msingi.
Wakuu, wanapatikana wapi hawa warembo wa Kiarabu?