Jalaluddin Umri (Born 1935) is a writer and a religious scholar. He was the Amir of Jamaat-e-Islami Hind from 2007-2019. Now Syed Sadatullah Husaini is elected as the Amir for the term of 2019 – 2023.
Wakuu tujadili umri sahihi kwa mtu kustaafu ni upi? Awe ni mtu binafsi anayefanya shughuli zake mwenyewe au za kuajiriw na kama ni lazima uwe na hela za kutosha kwanza ndio uamue kustaafu.
Habari,
Mtoto wa Umri wa Wiki Moja ana Mafua makali na anakohoa mara mojamoja... Naomba Ushauri wa kitaalam na namna ya kumsaidia kupata na dawa.
Asante
Na ndipo napata kuamini kwamba kumbe hata mwanamke mwenye miaka zaidi ya 30 anaweza kuolewa vizuri tu! Kikubwa ni ku fall in love (Sina maana kuwa thirty plus mjipe moyo, ila ni kwa vile nimeangukiwa na kitu kizito chenye ncha kali ilhali siyo kawaida yangu)
Siku chache zilizopita nilianza...
Ipo hivi.
Weekend iliyopita hawa vijana wanaojifanya wahuni wa mtaa walinitaiti mahali usiku, wakanipiga sana na kuniibia vitu vyangu ikiwemo simu na wallet yangu iliyokuwa na pesa na vitambulisho pamoja na kadi za bank. Ofcoz nilikuwa nimepiga maji kidogo ila niliwakariri, niliripoti tukio...
Mtoto aanze kupewa adhabu ya viboko akifikia miaka mingapi?
Ni umri upi wa kuacha kumtandika?
Makosa yapi yanahitaji maonyo na yapi yanahitaji bakora hata kama ni mara ya kwanza?
Atandikwe kwa bakora, mkanda, n.k wa aina ipi?
Idadi ya viboko?
Ni sehemu zipi katika mwili za kumchapa?
Salaam!
Baada ya serikali kutoa kibali Cha kuajiri walimu zaidi ya elfu 10,
Kumekuwepo na mitazamo tofauti tofauti kuanzia bungeni Hadi mitaani kuhusu ni kigezo gani kitumike kuajiri walimu hao ili kuinua elimu nchini.
Hivyo ni Bora serikali izingatie kigezo Cha umri wa mwombaji pasipo kujali...
Leo Ijumaa ya Tarehe 8 April, ni siku yangu ya kuzaliwa, nikiwa nimeipiga mingi nikikaribia 60! ambao ndio umri rasmi wa kustaafu, nikiwa tayari ni father of 8 +1= 9, Grand Pa of 6, and about to retire!.
Sababu ya makala hii ya leo sio kusherehekea siku yangu ya kuzaliwa, bali kutoa mbinu za...
Wale wanaume wanaopenda kudate wanawake waliowazidi umri wengi wao walikosa mapenzi ya mama zao tangu wakiwa wadogo mpaka wamekua. Kukosa mapenzi ya mama zao kunawafanya watafute wanawake wakubwa kiumri zaidi yao.
Wanahisi wanawake hao watawalea kama mama zao. Na ndio inavokua mara nyingi...
WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imeunda timu ya kuanza kupitia Sera ya Elimu ya Mwaka 2014 ambayo miongoni mwa mambo yanayotajwa kwenye sera hiyo ni elimu ya lazima kuwa miaka 10 badala ya saba.
Hatua hiyo itakwenda sambamba na mabadiliko ya mitaala ya elimu kuanzia elimu ya awali...
Hapa Tanzania tunapiga kelele kuhusu ajira. Wengine tunataka umri wa kustaafu upunguzwe. Ukienda Congo DRC utaona vituko. Kuna watumishi wengi wa serikali wenye umri wa miaka 70 na zaidi waliopaswa kustaafu wakiwa na miaka 65. Cha kushangaza kuna zaidi ya watumishi 250 waliofikisha umri wa...
Nakumbuka jinsi ambavyo mama alikuwa anatulazimisha kula vyakula mbalimbali na matunda kila wakati. Nilikuwa naona kero sana. asubuhi tu unaangalia menu ya breakfast imejaa hujui ule nini uache nini, ni buffet. Mimi kwa kweli nilikuwa naona kero. natamani kuishi maisha ya watu wengine unakuta...
Kwenye kitabu elimu ya kujitegemea Mwalimu Nyerere alitoa hoja nyingi juu ya mustakabali wa elimu yetu. Moja ya hoja yake ulihusu umri wa mwanafunzi kuanza shule.
Alisema kuwa kuanza shule na miaka 5 au 6 haifai sababu mtoto anamaliza na miaka 12-13. Umri ambao hawezi kuwa na manufaa yoyote...
wakuu habari za muda huu naleta uzii huu kwa vijana ningependa kujua umri sahihi wa kua na maisha bora maana maisha ya sasa yamekua tough kweli kweli na matobo ni hayaonekan ili kutoboa kijana wenu ni early 20's nawasilisha
Kwa sisi makabila ya kusini mara tu mtoto (wa kike na kiume) anapopitia jando na unyago,hua ndio tiketi ya kuacha kuingia chumbani kwa wazazi wetu, ulingana na mafundisho tunayopewa kule,
Haijalishi una umri gani yani hata uingie jando na miaka 8 Ni MARUFUKU KABISA na kamwe hautakaa uingie...
Hakika kilometa zimesonga, usoni make ups hazikai tena na komwe la uzee limeanza kuonekana. Mikunjo ya uzee napambana nayo kwa kuiziba na vipodozi lkn wapi.
Nyonga zimeanza kukakamaa lkn mpk leo sina mtu ninayemwita mume wangu. Menopause bado muongo mmoja na ushee ijenge kambi kwangu. Sasa...
Nadhani labda sababu ya kutafuta maisha au labda ni kingine ili tucheze soka muda mrefu Sana sijui..
Week iliyopita kulikuwa na mashindano ya soka kwa vijana wa mashule Africa chini ya miaka 16..(u-16)..
kituko zaidi kilikuwa ni kwa wachezaji wa congo kwa miili yao nisiongee Sana
huyu janja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.