WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imeunda timu ya kuanza kupitia Sera ya Elimu ya Mwaka 2014 ambayo miongoni mwa mambo yanayotajwa kwenye sera hiyo ni elimu ya lazima kuwa miaka 10 badala ya saba.
Hatua hiyo itakwenda sambamba na mabadiliko ya mitaala ya elimu kuanzia elimu ya awali...