Ni wazazi💞💓
Kuna wakati naamka natamani tuu niwe nao, niwapikie wale, niwafanyie usafi, niwawekee gospal music, tuongee tufurahi, niwakate kucha, nimnyoe mshua nywele halafu nimtishie kumpaka supablaki anikimbie😃😃😃
Nimtegee bimkubwa asinzie nimpake wanja na lipstik nyekunduuuu, nimvishe wigi la...