umri

Jalaluddin Umri (Born 1935) is a writer and a religious scholar. He was the Amir of Jamaat-e-Islami Hind from 2007-2019. Now Syed Sadatullah Husaini is elected as the Amir for the term of 2019 – 2023.

View More On Wikipedia.org
  1. Mchunguzi Fukara

    Mfahamu George Stinner Jr, black America,kijana wakimarekani mweusi aliyeuawa kikatili alinyongwa akiwa na umri wa miaka 14 pekee

    Leo nimewaletea picha na video ya tukio mojawapo lililoleta ukakasi/na kuwaumiza wamarekani weusi miaka nyuma NCHINI MAREKANI, George Stinney Jr black America alikuwa kijana mwenye umri mdogo zaidi kuuawa kikatili Marekani akiwa na umri wa miaka 14 alinyongwa June 16,1944 na alizaliwa October...
  2. luambo makiadi

    Mkoa wa Kilimanjaro kinara watu wake kuishi umri mrefu Zaidi Kitaifa

    Kama kichwa chá Habari kisemavyo,kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022,Mkoa WA Kilimanjaro unaongoza Kitaifa Kuwa na watu wenye umri WA miaka 65 na Zaidi na kufanya Kuwa kinara wa Mkoa wenye watu wanaoishi umri mrefu Zaidi Je unadhani ninini sábabu ya watu WA Mkoa Huu kuishi umri...
  3. Baba Vladmir

    Mazoezi na mapishi bora: kabiliana na umri na Saratani

    Mazoezi ni kitendo cha kuushughulisha mwili kwa muda maalum. Wakati wa tendo hili , chembe hai huunguza sukari ( glucose) ili kupata nishati(ATP) na mabaki ya sukari. Mabaki ya sukari baada ya kuiunguza ( AMP) husisimua king'amuzi (exercise sensor) kilichoko kwenye chembe hai. King'amuzi hiki...
  4. G

    kadri umri unavyozi kuenda utachepuka na wake za watu. Ni ngumu kuwa 40+ na kuchepuka na vibinti vyenye 20s na wengi wenye 30+ ni wake za watu

    Ni kawaida kwa kijana mwenye 20s hadi 30s kuchepuka na mabinti wenye 20s, hata wakiwa out watu huwachukulia kawaida, gepu la rika halistui. Ishu inaanza ukifika 40+, wanawake ambao ni feasible kuwa approach ni wale kwenye 30s na ratio yao kubwa ni wake za watu aidha wapo kwenye ndoa active ama...
  5. Damaso

    KWELI Momčilo Gavrić ndiye mtu mwenye umri mdogo kupigana vita ya kwanza ya dunia WWI

    Katika pita pita yangu ndani ya maktaba moja kubwa hapa nchini nimekutana na jina la huyu mtoto, Momčilo Gavrić na taarifa kuwa ndiye mtoto au mtu mwenye umri mdogo zaidi kuwahi kuingia vitani mpaka sasa, huku vita ya kwanza ya dunia WWI iliyoanza Julai 28, 1914 na kutamatika mwezi Novemba 11...
  6. tang'ana

    Orodha ya mikoa yenye wanawake washamba.

    1.Simiyu 2.Geita 3.Shinyanga 4.Mwanza 5.Mbeya 6.Iringa 7.Njombe 8.Ruvuma 9.Lindi 10.Mtwara 11.Manyara 12.Singida 13.Rukwa. 14.Songwe 15.Dodoma
  7. Lycaon pictus

    Wastani wa umri kwenye vikosi vya Simba na Yanga ni miaka mingapi?

    Timu za wenzetu wastani wa umri wa wachezaji hujulikana, vipi wastani wa umri wa vikosi vya Simba na Yanga?
  8. Naked

    Umri sahihi wa kuolewa au kuoa ni upi?

    Mamboo Naomba mnijuze umri sahihi wa kuolewa au kuoa ni upi tusije pishana na umri. Mwanaume kwa kawaida anaoa akiwa na umri gani?
  9. Black Butterfly

    Kiwango cha Sukari unachotakiwa kutumia kwa Siku kulingana na Umri

    Kwa mujibu wa taasisi ya Moyo ya Marekani (AHA) binadamu yeyote ana kiwango maalumu cha Sukari anachopaswa kutumia kwa siku kulingana na umri wake. Watoto wenye Miaka 0 hadi 2 hawatakiwi kutumia Sukari kabisa Watoto wenye miaka 2 hadi 17 hawatakiwi kuzidi Vijiko 6 Vidogo vya Sukari kwa siku...
  10. utukufu mwanjisi

    Ukishafika umri wa 35+ kuna sehemu za starehe achana nazo

    Wanasema ukitaka uishi vizuri uzeeni hakikisha umepita mapito yote ya ujanani ndio maana ukimkuta mtu anasumbua sana uzeeni jua ujanani kuna vitu hakufanya. Mimi nilikuwa muumini sana wa kumaliza ujana pale nilipokuwa na umri wa 20-30 na nilipofika 31 nilikuwa nishamaliza mambo ya ujana ndio...
  11. proton pump

    Umeshawahi kufanya uchunguzi kuwa kadri umri unavyozidi kwenda ndivyo unavyokosa furaha?

    Isiwe ni maneno dhahiri kwako lakini ninavyochunguza na kupitia uzoefu kwa wengine ni kuwa kadri umri unavyozidi kuongezeka ndivyo wengi wetu tunakosa furaha. Hii huweza kuchangiwa na mambo yafuatayo; 1. Ukosefu wa kipato maalumu kinachoweza kukidhi mahitaji yako muhimu. Ukikosa sehemu yenye...
  12. SAYVILLE

    Ikifika Derby ya October, wazee wa Yanga watakuwa wamesogeza umri kwa miezi miwili

    Jana vijana wa Ultrasound waliwatoa ulimi kweli kweli vyura wakongwe bado kidogo watapike nyonga. Baada ya mechi tuliwaona kina Mzee Aucho viungo vyote havifanyi kazi hata kutembea kwenda vyumbani ilikuwa shida. Tunaenda kuongeza chuma moja matata sana kusimama pale namba 9 akishare namba na...
  13. Brojust

    Refresh kidogo na old skul ukifikiria jinsi umri wako unavyoenda kwa kasi

    Greetings wanajukwaa. Leo nilikuwa nasikiliza Album ya Lady Jay dee inaitwa SHUKRANI nikakoshwa sana na nyimbo mbili moja namba 4 na namba 9 4. Mwanaume hana dawa - lady jay dee Na hii hapa chini inaitwa usikatae lady jay dee ft Various artist https://youtu.be/8hhRee7ZoY4?si=lP2XoLVCHWk4WhID...
  14. Mjanja M1

    Unatamani kufa ukiwa na hali gani?

    Unatamani kufa ukiwa Mzee hujiwezi kwa lolote, au unatamani kufa ukiwa na nguvu zako?
  15. BENEDICT BONIFACE

    Tofauti za umri katika mahusiano ya kimapenzi: Nadharia na uzoefu wa maisha halisi

    Katika dunia ya mahusiano ya kimapenzi, tofauti za umri kati ya wenzi ni jambo ambalo linaweza kuleta changamoto na fursa za kipekee. Utafiti wa kina umeonyesha kuwa tofauti hizi zinaweza kuathiri mienendo, malengo, na matarajio ya wahusiano. Nadharia mbalimbali, kama vile Nadharia ya Mwitikio...
  16. Teko Modise

    Naomba kujua umri wa Boka, nahisi kaja kula pensheni yake

    Yanga tumesajili beki mpya wa pembeni Boka. Anachukua nafasi ya Lomalisa. Jana alicheza dakika 10 tu akatoka nje kwa majeraha. Naomba kujua umri wa huyu veteran wetu mpya? Kuna hesabu napiga hapa…
  17. T

    Umri unaenda aisee, nachanganyikiwa! Samahani niliowatukana kwasababu umri mkubwa halafu hawana kitu

    Kiukweli hapa nilipo nachanyikiwa Sana wakuu sijui nifanyeje kiukweli Kama ingewezekana kuna uwezo wa kurudisha siku nyuma ningefanya hivyo lakini ndiyo hivyo haiwezekani hata kidogo aisee ndugu zangu mniombee kabisa Unajua kipindi Niko kijana barobaro kwenye mwanzoni mwa miaka 20 nilikuwa...
  18. Pang Fung Mi

    Mwanaume umri 30+ kama hajaoa ni Poyoyo na Mwanamke ambae hajaolewa 27+ ni Malaya

    Shalom, Ukweli ni dawa na acha tuwape dose, mwanaume akiwa akiwa na kazi rasmi na umri 30+ years kama hajaoa huyo ni Poyoyo na Mwanamke ambae hajaolewa umri wa 27+ years huyo ni Malaya. Sina Cha kuongeza ukibisha aidha ni Poyoyo au Malaya. Ni hayo tu Shukrani Wadiz
  19. GENTAMYCINE

    Mchezaji mwenye Umri mkubwa kwa Simba SC hii ya sasa ana miaka 22 tu, je, wa Vilabu vingine wana mingapi?

    Kuna Daktari mmoja wa Hospitali moja ( yenye Hadhi ) kasema kuna Timu Mchezaji wao mwenye Umri mdogo ni 43.
  20. Pdidy

    Wanaotafuta wachumba njoooni hukuu na wale wenye umri mkubwa waume wapo kazikwenu

    Jana nilikuwa sehemu ya kinywaji nkaumia sana kuona mabinti 3 niliosoma nao wakinywa kama wanataka kwenda mwezini walipoanza kulewa tukaanza mazungumzo longtym nk.. nkauliza amjaolewa mpaka sasa jaman ndoa tatizo ndoa sugu hataree wwtote waliishia embu tunywee pombee bahaanaa hapa kama unataka...
Back
Top Bottom