umuhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Waliodai vyama vya upinzani kushirikiana na Magufuli ni uzalendo, wakati wa Magufuli, sasa wanalalamika Chadema haikosoi Serikali

    Wale wafuasi wa Magufuli leo hii wanalalamika kwamba Chadema haikosoi tena Serikali, imenunuliwa Lakini watu hawa hawa ndio waliokuwa wakisoma vyama vya upinzani havina umuhimu, inabidi viuawe kwa nguvu kwa kutumia mbinu za kuteka kufunga na kuua viongozi wake Hawa watu wana matatizo ya akili?
  2. F

    Bodaboda msilie wala kuumia, CHADEMA haioni umuhimu wenu lakini CCM inawajali na kuwaheshimisha

    Sio rahisi kukielewa alichosema Lema kama hutotumia mlango wa sita wa fahamu au jicho la tatu kukitafakari kwa makini lakini yote kwa yote bodaboda wamefedheshwa sana. Mwenye kulaani na kubariki ni Mungu pekee na mafundisho ya kiimani yanafundisha juu ya kuongezewa kwa kile ulichonacho...
  3. Abraham Lincolnn

    Nini umuhimu wa semina ya viongozi inayofanyika Arusha?

    Wakati wananchi wakiendelea kuteseka na kupanda kwa bei za bidhaa mbalimbali pamoja na gharama za maisha kiujumla, inasikitisha kuona jicho la serikali linazidi kuelekea katika matumizi ya hovyo ya fedha za umma. Mpaka kiongozi anateuliwa, maana yake anafahamu majukumu ya kiuongozi na mambo...
  4. N'yadikwa

    Ajali ya Mwendokasi Dar es salaam kule Posta inatukumbusha umuhimu wa Kamera za Mitaani kwenye Majiji

    bila ile video fupi ya CCTV tusingejua kitu na ukubwa wa ajali. Ni wakaty sasa WIZARA YA MAMBO YA NDANI kwa kushirikiana na Wizara nyingine mkafikiria kuweka Kamera kwenye maeneo yote muhimu mijini ili zisaidie kunasa matukio hasa ya madereva wazembe. Tuna upungufu wa Trafiki Polisi lakini...
  5. U

    Orodha ya baadhi ya vyakula vinavyotajwa kuwa bora (super foods)

    Tunaambiwa kuwa kuishi vizuri ni pamoja na kula chakula bora na sahihi. Pia, mtu anayeishi vizuri ni yule ambaye hasumbuliwi na maradhi hatari na njia pekee ya kuulinda mwili dhidi ya maradhi hatari ni kujua ipasavyo na kuvitumia vyakula bora pamoja na kufanya mazoezi. Katika makala yafuatayo...
  6. M

    Kutokana na Umuhimu wa Mechi ya leo dhidi ya Horoya FC tafadhali Wachezaji hawa Waambiwe ukweli ili tusije Kulaumiana baadae

    1. Golikipa Aishi Manula Tusifiche na kuwa Wanafiki kwa Siku za karibuni amepoteza Uwezo wake na Kufungika si tu Kirahisi bali Kizembe mno. Aambiwe awe Mkali awapo Golini hasa kwa Kuwapanga Mabeki wake ila na Yeye ajitahidi mno kupanga vyema Ukuta wake kukitokea Faulo eneo la Jirani. 2...
  7. The Sheriff

    Matumizi ya Digitali ni Muhimu Katika Utoaji wa Huduma Bora za Serikali

    Katika dunia ya leo, si tu biashara zinazopeleka huduma zao mtandaoni, pia kuna mabadiliko ya kidigitali kwa serikali. Serikali zimekuwa zikilazimika kupitia mabadiliko mbalimbali kadiri mahitaji na matakwa ya raia yanavyobadilika. Mabadiliko haya ya kidigitali ya serikali ni matumizi endelevu...
  8. Mganguzi

    Kwa huu upotevu wa pesa za umma tunaousikia huko bungeni, sioni umuhimu wa TAKUKURU ni Bora hii taasisi ifutwe!!

    Pesa za umma zinapigwa Kila siku!! Bungeni Huko Mwigulu anajitahidi kuonyesha hakuna matumizi mabaya lakini hali inaonyesha pesa zinatafunwa karibu kwenye sekta na miradi yote!! Kwa hali ilivyo sioni umuhimu wa hii taasisi ya TAKUKURU, naona wanakula mishahara TU!! Hatusikii kashikashi yoyote...
  9. K

    Mambo yafuatayo yananifanya nione hakuna umuhimu wa katiba mpya kwa sasa

    Huu ni mtazamo wangu binafsi juu ya katiba iliyopo na umuhimu wake licha ya upinzani kuipigia kelele. Mtazamo wangu ni kwamba katiba ya JMT ni bora sana na kwa sasa ni baadhi ya vipengele tu vinahitaji kurekebishwa. Yafuatayo ni mambo yanayofanya nione umuhimu wa katiba tuliyanyo: I) Madaraka...
  10. T

    Hivi huwa nini kinajadiliwa kwenye Baraza la Mawaziri? Kuna umuhimu gani wa kutupa taarifa kuwa wamekutana?

    Naombeni wanaoelewa sana mambo haya wanisaidie kufahamu. Inavyoonekana kikao cha Baraza la Mawaziri huwa ni cha siri. Kinachonisumbua ni kwamba mara nyingi wakikutana kwa kikao tunajulishwa kuwa wamekutana. Na kwenye hilo Baraza huwa mambo gani hujadiliwa na vikao vya siku ngapi?
  11. Masokotz

    Fahamu Umuhimu wa Kufanya Management Audit na Performance Appraisal

    Habari za wakati huu; Kwanza nianze kwa kuwapa pongezi wale wote ambao wamejitosa na kuamua kuanzisha biashara zao ndogo na za kati.Changamoto ni nyingi na muda ni mchache na Fursa nazo ni nyingi.Watu wengi wanaposikia neno audit huwa wanchofikiri cha kwanza kabisa ni Financial Audit.Hata hivyo...
  12. Pascal Mayalla

    Ijue Katiba ya JMT-1: Katiba ni nini, ya nani, ya kazi gani? Msemo "Katiba ndio kila kitu" Una maana gani? Katiba ina umuhimu gani?

    Wanabodi, Utangulizi: Hizi ni makala elimishi kutoa elimu ya uraia kwa watu wa kawaida kuijua katiba yetu ya JMT ya mwaka 1977. Mtoa Mada ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea na wakili wa kujitegemea kwa kujitolea kutetea haki katiba na kujitolea kutoa bure elimu ya katiba...
  13. BigTall

    Aina ya matunda muhimu kiafya kwa Mjamzito

    Vitamini unazotumia kabla ya kujifungua zina virutubisho vingi mtoto wako anavyohitaji, hivyo basi kuna umuhimu gani waa mama mjamzito kuangalia kwa makini lishe yake? Inaathiri afya ya mtoto wako maishani: Kila unachokula ukiwa mjamzito kinamuathiri mtoto na maisha yake kwa ujumla, hivyo ni...
  14. Black Butterfly

    Umuhimu wa Mbegu za Chia katika Ukuaji wa Mtoto

    Mbegu za chia ni kati ya vyakula mashuhuri kwa afya bora, kwa sababu ya kusheheni virutubisho vya mwili. Gram 100 zimesheheni:- Fibers: 39 gm, Protini: 16 gm, mafuta: 37 gm (18 gm ikiwa ni Omega-3, iliyomuhimu katika kuimalisha ubongo na 6 gm Omega 6); Madini kwa kiwango kinachohitajika kwa...
  15. M

    TFF uone umuhimu wa kusameheana na Michael Wambura kwa maendeleo ya soka

    Miongoni mwa wadau wenye mchango mkubwa ktk kusukuma maendeleo ya soka hapa nchini ni pamoja na mwamba Michael Wambura. Huyu amechangia Sana muda wake, uwezo wake wa mali na maarifa katika kulifanya soka la nchi hii kupiga hatua mbele akiwa ktk nafasi mbalimbali za uongozi wa klabu, ngazi...
  16. I

    Elimu ina umuhimu

    Tusidanganyane bila elimu ata kama unahitaji kuwa mfanyabiashara mkubwa lazima uwe na elimu ata kama wewe CEO lazima assistant wako awe na elimu. Most of the time mjini hapa ajira ni connection ni watu wachache sana ambao wanapata ajira Kwa bahati zao. Pia CHUKI ni nyingi UKIWA KWENYE mipango...
  17. NetMaster

    kwenye laptop ni kiwango kipi cha audio kinatosha kwenye kuangalia movie kati ya 768 kpbs, 320 kbps, 128 kbps au 64 kbps ?

    kwenye audio kuna option ta 32 kbps, 64 kbps, 128 kbps, 320 kbps na hii DD+ atmos 768 kbps. Nimevutiwa na namba kubwa, laptops zetu hizi za kawaida kuna haja ya kushusha huo mzigo wenye 768 kbps ??
  18. Infantry Soldier

    Kulikuwa na umuhimu gani kwa viwanja vya Uhuru na Mkapa kujengwa sehemu moja?

    Habari za muda huu ndugu zangu wa jamiiforums. Eti wataalam wa mipango miji, kulikuwa na umuhimu gani kwa viwanja vya soccer vya Uhuru pamoja na ule wa Benjamin William Mkapa kujengwa sehemu moja? Eneo ulipojengwa uwanja wa Mkapa lilikuwa eneo la wazi na ndio sehemu ambayo chuo cha ufundi...
  19. prync

    Kuna umuhimu gani kusoma kozi ya Risk Management and Insurance?

    HABARI, Hivi wanajamvi kuna umuhimu gani kusoma kozi ya risk management and insurance? Na kama upo vipi Ajira zake maana -kujiari via iyo kozi ni kipngele sana. Mwenye -positive idea please share we with us.
Back
Top Bottom