Hizi ni baadhi ya faida ya sensa
kuisaidia Serikali kupata taarifa za msingi zitakazo saidia mchakato wa utekelezaji wa dira ya maendeleo ya mwaka 2025
Kuisaidia Serikali kujua ongezeko la idadi ya watu kwa mgawanyo wa viashiria vyengine ambavyo ni muhimu kwa Usimamizi wa mazingira
Kigawio...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limeainisha kuwa "kusitasita kwa jamii katika masuala ya chanjo" kumekua ni tishio kubwa kwa afya duniani. Hii husababishwa na watu kukataa au kuchelewa kuchanjwa ilihali wana uwezo wa kupata chanjo.
Chanjo ni dutu ya kibiolojia inayotumika kuiwezesha kinga ya...
Msanii ni kioo cha jamii na jamii ina watu wenye uwelewa tofauti na hupokea ujumbe katika mapokea tofauti. Mfano tamdhilia ina kipengele cha mama wa kambo mtesi wa watoto. Nia ya sanaa ni kuweka wazi matendo yanayoendelea katika jamii lakini kuna watakao pokea na kumchukia yule msanii hasa...
Jukumu kuu la elimu ni kumkomboa kifikra mtu na kumpa ujuzi muhimu lakini kinachofanyika hapa kwetu ni kuipa jukumu ambalo siyo lake la kuwatajirisha waipatayo kupitia ajira, mambo ya kukombolewa kifikra watu hawana mda nayo ndio maana ni kawaida sana kukuta hata mhitimu wa chuo hajawahi kusoma...
Nimefikiri mara mbilimbili kuhusu sensa ya watu na makazi. Nimegundua Ili kupata takwimu sahihi kabisa Kuna umuhimu wa kuruhusu siku hiyo iwe ya mapumziko.
Itasaidia kupata takwimu sahihi lakini pia wahusika wakubwa wa hizo familia watakiwepo nyumbani na hivyo kutoa taarifa sahihi.
Hayo ni...
Utangulizi
Mawazo ya siasa za ujamaa yalichagizwa Sana na mwana falsafa mashuhuri katika Karne ya 19 aliyeitwa "Karl Marx" lakini katika Karne ya 20 Nchi nyingi duniani ziliipokea siasa ya ujamaa kwa vitendo. Urusi ya kale (USSR) pamoja na jamuhuri ya watu wa china yalikuwa ndio mataifa ya...
Jesus Moloko ana sifa kuu mbili.
1. Ni winga mwenye mbio.
2. Ana kismati sana.
Kasi ya Yanga kipindi cha pili Moloko amechangia kwa kiasi kikubwa sana.
Historia ni kumbukumbu ya mambo au matukio yaliyopita haijalishi ni mema au mabaya.
Mtu binafsi, familia, ukoo, kabila, kampuni, taasisi, dhehebu, shule, chuo, wilaya, mkoa, kijiji n.k ina/ana/una/kina/linatakiwa kuwa na kumbukumbu au historia ya maandishi, picha na vitu mbalimbali.
Historia...
Maelezo ya gari tiba linalo safiri
Kwa maelezo zaidi vituo afya vinavyo safiri ni magari maalumu yanayotoa huduma moja kwa moja kwenye jamii husika yakiwa na idara mbalimbali za matibabu na wataalamu wa huduma kutoka eneo moja hadi lingine. Ni magari ambayo yatakuwa yana safiri katika maeneo...
Watoto wachanga wanapaswa kuanza kunyonyeshwa maziwa ya mama ndani ya saa moja baada ya kuzaliwa ili maziwa yaanze kutoka mapema.
Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC) wanaeleza kuwa inashauriwa mara baada ya kujifungua mama na mtoto wagusane ngozi kwa ngozi ili kusaidia maziwa kutoka na...
Michezo inasaidia watoto kuwachangamsha, kuwapa ubunifu na kuwafikirisha. Katika duniani ya mtoto mwana sesere si tu kifaa cha michezo bali anaweza kuwa pacha wake kimawazo, atataka ale nae na alale nae.
Wazazi wengi kutokana na ugumu wa maisha au kutokujua hawaoni umuhimu wa kununua vifaa vya...
Katika maisha ya mwanadamu, Kuna vitu 4 vikubwa vinavyompa RAHA/FURAHA ( HAPPINESS).
1. MAPENZI
2. PESA
3.CHAKULA
4. MZIKI
1.MAPENZI; Hii ni furaha ya kwanza kabisa katika maisha ya mwanadamu kuanzia akiwa mtoto mpaka anakufa, mapenzi hayajali hari yoyote, uwe chizi, mgonjwa, masikini au...
ELIMU TAKA ISIYOPEWA UMUHIMU
(picha kutoka google photo)
UTANGULIZI
Taka taka kwa mujibu wa wikipedia huru ni Taka au taka taka (kwa Kiingereza: waste, trash, garbage, rubbish, junk) ni mabaki ya vitu, ni yale yanayobaki baada ya kuzalisha vitu, pamoja na yale yaliyotumiwa tayari na ambayo...
Nilileta uzi huu:
Aibu! Boda ya Rusumo Mgeni haingii nchini bila rushwa
Nimetembelea boda nyingine mkoani Kagera, kote ni mwendo mdundo! Watu wanakula kwa urefu wa kamba zao.
Hata hivyo wapi au idara ipi yenye ahueni?
Polisi? Wapelelezi, trafiki nk? Rushwa si ni sehemu ya malipo yao halali...
Huu ni Utumwa Katika Elimu.
Ni wazi kuwa hakuna umuhimu wa Elimu bure maana cha bure hakina Thamani.
Udogoni tumekimbia sana kukwepa kujisomea jioni na wazazi walituacha tu ila hatukujaribu kukwepa tuition tukihofia wazazi kutuadhibu yote sababu tunaonekana kuchezea pesa yake ambayo anaitoa...
HISTORIA FUPI YA MAPINDUZI YA VIWANDA
Nchi nyingi duniani zilizo endelea zimepitia mapinduzi ya viwanda, na mapinduzi hayo yalihusisha hatua, michakato na pia hatima mbalimbali ambazo zilipelekea nchi nyingi barani ulaya kafanya maaumuzi tofouti tofauti ili kukidhi uhitaji wa viwanda ambavyo...
(Pichani ni mwana anga Wa NASA)
Utangulizi
maendeleo, ni hatua inayochukua nafasi kwenye kuboresha jambo na kuhakikisha jambo linakuja kufanikiwa kupiga hatua moja kwenda nyengine na kuleta mabadiliko na matokeo chanya.
Sayansi ya anga, ni miongoni mwanguzo kuu za maendeleo ambazo nchi...
Ingawa ni utaratibu wa Magharibi kusherehekea simu ya kuzaliwa, taratibu nyingi tulizoona zinafaa tuliiga kutoka kwa Wakoloni wetu kuanzia Waarabu na hata Wazungu.
Siku ya kuzaliwa ni muhimu sana kwa mtoto, hii ni sherehe yake yeye binafsi. Tofauti na sikukuu za dini zinazojumuisha jamii...
1. Kuisadia Serikali kupata taarifa za msingi zitakazosaidia mchakato wa utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya mwaka 2025, mageuzi ya masuala ya afya na jamii, pamoja na ufuatiliaji wa ajenda za maendeleo za kimataifa;
2. Taarifa za idadi ya watu husaidia katika mamlaka za wilaya katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.