umuhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Determinantor

    Huu ni wakati wa Wabunge kudhihirisha "umuhimu" wao kwa Wananchi wao

    Bajeti imesomwa, waliosikiliza wamesikia, waliosimuliwa wamesikia, waliiosoma wameisikia, na WALIOELEWA huenda wameelewa. Kinachofuata sasa ni mjadala kwa Wawakilishi wa Wananchi "waliochaguliwa" kwa 99% yaani Bunge zima ni CCM. Tunataka watudhihirishie kuwa wako "vizuri" kutetea maslahi ya...
  2. O

    Kuna umuhimu gani wa kujiunga na JKT kwa Mujibu wa Sheria na asipojiunga nini kitatokea?

    Habari za muda huu wakuu, Samahani kuna selection hizi za jeshi za wanafunzi waliomaliza form six zimetoka na nimechaguliwa kujiunga na jeshi ila nimebakia njia panda. Nilikuwa nauliza kwani kuna umuhimu gani wa kujiunga na jeshi? Au kuna faida gani ya kujiunga na jeshi JKT na je nisipojiunga...
  3. J

    Umuhimu wa ushiriki wa Wananchi kwenye kujenga utawala bora

    Ushiriki wa kila mtu, wanaume na wanawake katika maamuzi inapelekea Serikali kufanya kazi kwa matakwa ya wengi. Husaidia kujenga uhuru wa kuzungumza pamoja na ushiriki katika ujenzi wa Taifa. Wananchi wanatakiwa kushirikishwa katika maamuzi ya Serikali na kupewa taarifa za mwendelezo wa...
  4. fungi06

    Lini serikali itaona umuhimu wa Education Reformation?

    Tunaomba kila mkoa wasone kulingana na uhitaji wa mazingira wa eneo husika but this subjects must be tought to every child 1.mathematics 2.physics 3.chemistry 4.biology 5. Geography Na kiswahili, Ata kama wakisoma kwa kingreza but masomo yaliyo bakia yawe kulingana na mazingira yanavyo...
  5. M

    Umuhimu wa kumsaidia Rais Samia katika kuirudisha Tanzania katika Misingi ya Haki

    Ni ukweli ulio wazi ya kua Nchi yetu pendwa Tanzania ilikuwa inadidimia kwa kasi katika ktk suala la haki za raia wake. Mathalani ilikuwa imekua vigumu kwa watu kupaza sauti zao hata katika mambo yaliyo wazi kabisa kama wananchi kunyanyaswa, wafanya biashara kuonewa, wafanyanyakazi kutoongezewa...
  6. Makirita Amani

    Kama hufanyi kitu hiki kimoja kila siku, una utapiamlo wa akili

    Rafiki yangu mpendwa, Hata uwe umetingwa kiasi gani, kila siku lazima utenge muda na kula chakula. Sijawahi kukutana na mtu anayesema kwa wiki nzima hajala chakula kwa sababu hajapata muda. Huo ni upande mmoja wa kulisha mwili wako. Lakini upo upande mwingine wa kuusafisha. Kila siku lazima...
  7. Balvejmumt

    Sioni umuhimu wa taasisi za umma kuwa na mawasiliano

    Habari za asubuhi wakuu, Nimekutana na hichi kituko mara nyingi na nimejaribu kukivumilia kimenishinda inabidi nitoe duku duku langu. Taasisi za umma ni kwaajili ya wananchi, na taasisi hizi zimekuwa na namba ambazo zinawekwa kupitia wavuti zao, au katika majarida mbali mbali lengo likiwa...
  8. K

    Umuhimu wa Biashara yako kupatikana kwenye Directory

    Directory ni Sehemu ambayo inaorodhesha majina ya biashara mbalimbali za eneo husika. Mara nyingi hizi Directory za biashara huonesha Sehemu biashara yako ipo, namba za Simu na tovuti yako. Directory husambazwa Sehemu nyingi tofauti tofauti na hutumiwa na Wafanyabiashara kutafuta wateja na...
Back
Top Bottom