Maana ya afya ya akili kisaikolojia:
Afya ya akili ni ustawi wa fikra, tabia na hisia katika kukabiliana na changamoto mbalimbali za maisha ya kila siku katika maisha ya mwanadamu.Wakati mwingine watu hutumia neno ''afya ya akili'' kumaanisha kutokuwepo kwa shida ya akili ( retrieved on...
Afya ya msingi ni kuhakikisha kunakuwepo na mikakati endelevu wa kuhakikisha huduma za afya hususa ni kuzuia maambukizi mapya (Prevention)
Afya ya msingi inayoanzia katika jamii ni muhimu sana na hasa ndio msingi ambao unawagusa wananchi moja kwa moja hususa ni walioko maeneo ya vijijini na...
Niende moja kwa Moja kuelezea utawala Bora Ni Ni kitu gani.
Utawala Bora Ni ile Hali ya serikali,shirika au taasisi kuongoza Kwa kufuata misingi ya Haki,uwazi na uwajibikaji .
Katika nchi nyingi za jangwa la Sahara,utawala Bora imekuwa Ni kitu adimu Sana kwani nchi takribani zote zinaongoza...
UKWELI KUHUSIANA NA JOB JUNCTION:
Job Junction imekuwa msaada mkubwa kwa vijana na imesaidia vijana wengi kupata uelewa wa interviewees skills na hatimaye kufanya vizuri interviewees .
Job Junction hawatoi Ajira kama watu wengine wanavyo fikiri bali wanafundisha watu namna ya kufanya vizuri...
Kama serikali imeona umuhimu wa kuwalipisha kodi watanzania wanaoishi nje lakini hutuma pesa nyumbani kwa kwa ndogu zao, basi wakati umefika kwa serikali hiyo kutambua kuwa watanzania hao si adui hata kama wamshachukua uraia wa huko wanakosihi. serikali hii itumie busara hiyo kuwatambuakuwa ni...
Ifikie mahali Watanzania wote tukubaliane kuwa hata kama chama tawala hampendi upinzani lakini kuna umuhimu wa wabunge wao kuwepo bungeni.
Fikiri kuhusu hizi tozo zinazoumiza ambazo zimeongezwa katika bei za mafuta, voucher na katika huduma za pesa kwa njia ya simu. Tukubali kabisa kuwa...
Kilimo kina umuhimu mkubwa sana kwa nchi yetu kwani kinatupatia
Chakula
Afya
Ubora wa familia hupimwa kwa kujitosheleza kwa chakula.
Asilimia 65% - 70% ya watu wanategemea kilimo.
Moja Kati ya Sera za kilimo ambazo zilishawekwa na serikali hapo nyuma ni Kama vile
1. Chakula ni uhai
2...
Najua bado itatuchukua muda sana kwa watunga sera kulielewa hili suala, maana ni suala la kifalsafa zaidi.
Fikiria kama ungekuwa na huduma ya Fire ambayo ni ya binafsi, ambao wana kandarasi ya kuzima moto kwenye jiji, utendaji wake ungekuwa wa tofauti sana. Private sekta ipo efficient sana...
Mbali na kutumia mitandao na makongamano au mikutano kudai Katiba Mpya, nashauri wanaharakati, wanasiasa na wadau wengine waandae vipeperushi vyenye kueleza umuhimu wa katiba mpya na kuvisambaza kadri inavyowezekana.
Vipeperushi vieleze mapungufu yaliyoko katika katiba ya sasa na hatari au...
Michezo humfunza mtoto ubunifu, kujenga ushirikiano na wenzake, mawasiliano nk. Hivi vyote ni muhimu katka maisha ya baadae ya mtoto. Katika michezo watoto wanapata nafasi ya kupanga sheria na taratibu ili wote washiriki. Hijifunza kushirikiana katika vifaa vyao vya michezo.
Watoto...
Muda wangu wa kuchangia nimeutumia kujibu maswali matano yanayoulizwa na wengi huko mtaani kuhusu Katiba (5 common questions).
1. Kwanini mchakato huu umeandaliwa na BAVICHA? Mnapigania Katiba ya nchi au ya Chadema?
#Jibu: Mchakato wowote wa katiba ni wa kisheria na kisiasa. Katiba ni jambo...
Mtoto huwa anaishi kwenye maji ndani ya placental. Hujigeuza na huzoea mazingira yake. Anapozaliwa humchukua muda mfupi kuzoea hali ya duniani, kipindi hiki mtoto analia sana hasa akihisi baridi ya usiku.
Miezi mitatu mtoto anakua amepashapata chanjo za awali na ameanza kujenga adopted immune...
Lengo kuu la kuingia kwenye ndoa tangu enzi za mababu ni kupata mtu wa kuchakatana naye. Ndiyo maana mahanithi hawaruhusiwi kufunga ndoa..
Ndoa ilikuwa na maana na muhimu zaidi enzi za mababu kwasabb ilikuwa haiwezekani kumpata mtu wa kuchakatana naye bila ndoa. Watu walikuwa na maadili ya...
NHIF kwa sehemu kubwa imekuwa ni imehodhi utoaji wa Huduma za Bima za Afya kwa Tanzania. Kwa bahati mbaya sana, serikali kwa mkono mwenyewe imekuwa ikiipa kiburi NHIF kwa kufanya kila namna kuua kampuni za bima za afya binafsi. NHIF imepewa ukuu mkubwa hadi wa kutengeneza package (wanaita Price...
Kati ya matatizo tunayoyaona leo kwa wateule wanaopewa nafasi za uongozi nchini mwetu ni kushidwa kuelewa majukumu ya kazi zao mpya, maadili na nini maana ya viapo vyao kabla ya kuingia ofisini. Kiongozi yeyote anapoapa atambue hiyo nafasi si yake tena, bali hiyo ni nafasi ya Mwenyezi Mungu...
Vijana wengi hasa wa CCM wanadhani Katiba ya JMT ni mali ya chama inaamuliwa na vikao vya chama which is very wrong. Hebu angalia matamshi ya viongozi kama hawa.
Shaka Hamdu: "CCM haina agenda ya katiba mpya kwa wakati huu badala yake kipaumbele zaidi kimewekwa katika kujenga nchi kwa...
HAKUNA UMUHIMU WA NDOA KARNE HII KWA SABABU...
Na, Robert Ng'apos Heriel
Hakuna umuhimu wa ndoa katika Karne hii Kwa sababu;
1. THAMANI YA MWANAMKE IMESHUKA NA INAKARIBIA KUTOWEKA
Unapozungumzia Ndoa unamzungumzia Mwanamke, kadiri mwanamke anavyokuwa na thamani ndivyo thamani ya ndoa nayo...
Uhuru wa kujieleza ni haki inayompa kila mtu uhuru wa kutoa na kupokea maoni, kupokea na kutoa taarifa na mawazo bila kuingiliwa.
Uhuru wa kujieleza humfanya kila Mwananchi kuwa sehemu ya Serikali na kumfanya awe na uzalendo na Nchi yake.
Uhuru wa kujieleza unalinda haki ya mawazo na taarifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.