Tokea nimezaliwa na sio Mimi tu, watanzania wengi kama sio wote tumekua tunapata chanjo kutoka Kwa wahisani (mabeberu)..kila chanjo lazima iwe na side effects Kwa baadhi ya watu lakini sio wote.
hanjo hizi zina umuhimu mkubwa sana kwenye maisha yetu ya kila siku!!..tuache propoganda mbaya za...
Kiswahili kiwe lugha ya kufundishia Shuleni .
Mfumo wa utoaji elimu ndio kitu pekee kitachopelekea elimu kupokelewa vizuri na wahusika katika mahala sahihi .
Jamii yetu ya Tanzania imetawaliwa na lugha ya Kiswahili na kwa upande wa pili ni kwamba Kiswahili kimeidhinishwa kuwa ni lugha ya taifa...
haya ya Hamza ,Denmark na tozo na miamala ni katika harakati za CCM kutaka kutawala maisha nchi hii,hivyo nyumbu hawa CCM wanajaribu kupanga kila mipango ili wavuruge na kuzihamisha akili za watanzania wanaoanza kushika kasi katika kutaka uchaguzi wa nchi hizi mbili Tanganyika na Zanzibar...
Habari jamii f Ls & Gs, nimemaliza shughuli zangu mda huu nimeona nisilale bila kunena nanyi.
Rejea kichwa hapo juu. kumekuwa na tabia ya wanaume walio wengi hasa waishio katika majiji kuwa na imani kwamba mahusiano sio lazima hasa kwa kipindi hiki ambapo wanawake wanajali zaidi pesa. Ukweli ni...
Wasaidizi wa ndani wanahitajika duniani kote. Nchi za Magharibi zimeboresha mikataba na maslahi ya wafanya kazi wa ndani, matokeo yake ni wachache wenye uwezo wa kuajiri wafanya kazi hao. Hao wachache wanaopata ajira wana mikataba ya kazi, likizo kila mwaka, malipo wakiwa wagonjwa, kiinua mgongo...
Mwishoni mwa mwaka 2019 ndiyo kipindi ambacho habari za kuwepo kwa ugonjwa unaosababishwa na virusi vya korona yaani UVIKO-19, kwa kiingereza COVID-19 zilianza kuripotiwa na kuenea duniani. Nilipokuwa nasikia taarifa hizo nilikuwa nachukulia kawaida tu. Kwamba ugonjwa huo utaishia Nchini China...
Wakati nimefika AYA Sec 2007 Kondoa kuanza form 1 (boarding), niliibiwa suruali 3, mashuka 2, viatu, nk. Ilikuwa ndio 'Welcome Party' pale kila mwaka. Kuhamishiana vitu ilikuwa ni kawaida sana bwenini kwetu.
Nilipofika Form 2 nikaanza kujifunza hizo mishe na mimi. Nakumbuka nilijifunza...
Kada Maarufu wa CCM amesema laiti Wapinzani wangekuepo bungeni, yaani hata Wapinzani 10 tu, CCM wasingepitisha tozo za ajabu hivi.
Ng'ombe haoni faida ya mkia wake hadi siku ukikatika.
"Leo kungekuwa na wabunge wa upinzani pale bungeni hata 10 tu hizi tozo za kitapeli zisingekuwepo,hakuna...
Ulemavu wa akili: Ni ile hali ya mtu kushindwa kutumia viungo vyake sawasawa na kushindwa kutumia akili yake sawasawa kutokana na athari ya ubongo wake.Sababu za ulemavu zinaweza kutokea katika nyakati kuu tatu ambazo ni.
(a)Kabla ya Kuzaliwa.
(b) Wakati wa kuzaliwa.
(c) Baada ya kuzaliwa.
(A)...
Wasalaam wanaJF,
Nikienda moja kwa moja kwenye mada, serikali iliyopo madarakani imekuwa na kawaida ya kudharau sana wananchi na kufanya wanachotaka.
1. Kodi zisizo na ulazima tena kwa vitisho na kejeli.
2. Matumizi mabaya ya vyombo vya dola. Hii sio kwa wapinzani tu, kuna raia wa kawaida...
Taifa la watu milioni 60 ambalo wengi Ni watoto na hakuna dawa mahospitalini linawaza kuzalisha barakoa milioni 86 kwa siku ndani ya kiwanda kimoja, tunaelewana?
Kwanza napinga uzalishaji wa barakoa milion 86 haupo, lakini cha pili najiuliza lini hiki kiwanda kimejengwa maana tuna miezi mitatu...
UTANGULIZI.
Mazingira ni nyenzo muhimu sana katika Maisha ya Mwanadam hasa ikichukuliwa kwamba kila kiumbe chenye uhai hutegemea Mazingira (asili) ikiwemo udongo, maji na hewa. Hii yote hudhihirishwa hata katika masimulizi ya uumbaji ndani ya vitabu vyote vya Dini.
Kabla ya Maisha ya Mwanadamu...
FAHAMU UMUHIMU WA KUWA NA UJUZI WA KIDIJITALI.
Hatimaye tumeingia katika dunia yenye machaguo mawili pekee ambayo ni 'Nenda dijitali au rudi nyumbani'. Machaguo haya yana maana ya kwamba, dunia ya sasa inaendeshwa kama sio kujiendesha yenyewe katika mifumo ya kikompyuta na au kiintaneti. Dunia...
Kila siku zaidi ya tweets milioni 500 zinaandikwa na watu mtandaoni duniani ambazo ni sawa na tweet bilioni 200 kwa mwaka duniani. Ongeza na picha zinazokadiriwa kufika milioni 350 ambazo huwekwa facebook na watumiaji, jumlisha na zaidi ya masaa 720,000 ya maudhui ya video mpya zinazowekwa...
Tukitazama mwenendo wa mlipuko wa covid 19 duniani na Tanzania kuna umuhimu wa kufanya toxicological na electronical analysis kwa wote wanaopatwa na ugonjwa au mauti yatokanayo na covid 19.
Utangulizi
Dira kwa maana fupi ni muelekeo. Dira ya Maendeleo ya Tanzania (Tanzania Development Vision (TDV) 2025 ilianzishwa mwaka 1994 na kuzinduliwa rasmi mwaka 1999 ambapo utekelezaji wake ulianza mwaka 2000 lengo kuu likiwa kuongoza harakati za maendeleo ya uchumi na jamii zitakazoiwezesha...
HEBU ANGALIA UMUHIMU WA KUHESHIMU WATU WENGINE KWENYE DUNIA HII
i. Kuzaliwa kwako kumefanywa na watu wengine.
ii. Jina lako umepewa na watu wengine.
iii. Umepata elimu kutoka kwa watu wengine.
iv. Kipato chako kwa namna fulani kinatoka kwa watu wengine.
v. Hata Heshima uliyonayo unapewa na...
Habari!
Hii mada haina uhusiano na uchochezi.
Watanzania ni vyema tukapigania utawala wa haki na misingi ya katiba tuliyonayo kabla hatujaisaka katiba mpya. Kama tuna viongozi ambao kwa mamlaka yao wanaweza kuigalagaza katiba hadharani itasaidia vipi katiba mpya?
Katiba inaruhusu mikutano ya...
Katika hali ya kawaida, kila mtu mwenye kipato lazima kwa njia moja au nyingine ajikute analipa kodi. Kodi inaweza kulipwa kupitia manunuzi/matumizi, mshahara, biashara, au uwekezaji.Kwa utangulizi huo ni wazi kwamba karibia kila mtu lazima anaswe na mtego wa kodi. Ni kwa sababu hiyo naona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.