Sijui kama ni waandishi wetu au ndio mpango ila Maendeleo hayachagui jinsia
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote
KAZI IENDELEE
Ni kama vile chadema ndio alikuwa mlengwa wa kikao cha leo kinachodaiwa kuwa mkutano wa wadau wa siasa na msajili wa vyama vya siasa.
Kimantiki ni kuwa kama mtu hana umuhimu ktk mkutano au jambo fulani ni kumpotezea tu maana uwepo wake au ukosefu wake haubadilishi lengo la jambo au mkutano huo...
Huyu mama alikua mkurungenzi HP na eBay, halafu tena ni bilionea aliyetosheka, ateuliwa kuiwakilisha Marekani nchini Kenya kama balozi......
Teuzi kama hizi hudadavuliwa sana, nani aende wapi, sio kama ambazo tumezoea ambapo mtu anateuliwa kwa uchawa wake.....
US President Joe Biden has...
Habari za wakati huu;
Maisha ni safari. Katika safari hii tunapitia mengi,mema na mabaya.Wakati mwingine kuna ambayo yanatupata ambayo tunaweza kuyazuia/kuyafanya yawe vile tupendavyo na kuna wakati yanakuwa nje ya uwezo wetu. Ili kuishi maisha yako ni muhimu na lazima kuwa na mipango au...
Msingi wa Ling’wenya na wakili wake kuandika barua kwa RPC Ilala kuomba nyaraka za uthibitisho dhidi ya shahidhi wa pili wa upande wa mashtaka katika kesi hiyo ndogo ni kwamba shahidi huyo hakuwa Central Dar es Salaam, mwaka 2020.
Hivyo kama mahakama itatupilia mbali pingamizi la Serikali, na...
Mara nyingi huwa nasikia mgombea urais ni lazima spate saini za watu asilimia kadhaa Bara na Zanzibar.
Lengo huwa ni nini wakati akishinda Katiba inamlinda kwa kinga ya sheria ya mazuzu.
Kwanini asiwe anasainiwa na taasisi mbalimbali kwa niaba ili akikiuka/kuvunja Katiba ashitakiwe?
Wanabodi, niko hapa jijini Arusha, kuwaletea live, kinachoendelea, kwenye mkutano wa kimataifa wa ITAC
ITAC is a brainchild of WAJIBU designed for people to meet and discuss trends on transparency and accountability, sharing best practices, successes and challenges in order to promote an...
Nipo hapa nchini Malawi ambapo ndipo yaliko Makazi yangu na nimetokea Kuvutiwa na Kumpenda Askari Mmoja wa Jeshi la Wananchi wa Malawi mpaka Kutamani Siku moja aje kuwa Mke wangu.
Hata hivyo KEROZENE nimekatishwa Tamaa na Mmoja wa Wanajeshi wa hapa Malawi nilipo baada ya Kukitahadharisha na...
Na je, tunapoelekea Kuadhimisha miaka 60 ya Uhuru wetu Tanzania utaratibu huu bado una Tija ya Kimaendeleo Kwetu au ni Utaratibu wa Kikoloni ambao kwa sasa unatufanya tuendelee kuonekana Mazuzu Kimataifa?
KEROZENE nasubiri tu Michango yenu.
SERIKALI imewataka wanaokusanya na kutumia taarifa za watu binafsi, taasisi na Serikali kupitia mitandao kutimiza wajibu wao kwa kuzilinda kwa kufuata kanuni, taratibu, sheria, maadili na nidhamu ya kulinda taarifa hizo kwa kuwa Serikali inatambua umuhimu wa kuzilinda taarifa hizo.
Hayo...
Umesikika ushahidi wa Cpl. Hafidh Abdallah (shahidi #3) kutokea Police Forensic Bureau, Dar es Salaam.
Shahidi anadai alipokea bastola moja, risasi tatu na barua yenye maelekezo kutokea office ya DCI.
Kwenye taarifa yake rasmi shahidi anasema:
Yaani ameshiriki kwenye kukagua na kutambua...
Shahidi #2 wa upande wa mashtaka Justine Kaaya katika ushahidi wake kaeleza ya kwake:
1. Alivyokutana na Mh. Mbowe
2. Alivyompa Mbowe taarifa za washirika wa Sabaya.
3. Alivyosafiri Longido, Arusha, Moshi.
4. Malipo aliyopata kutoka kwa Mh. Mbowe.
Shahidi anathibitisha kuwa, hakuwahi kusikia...
Ukaguzi wa Hesabu kwenye Sekta ya Umma ni utaratibu wa kupitia usahihi wa taarifa za Mapato, Matumizi, mali, madeni pamoja na utendaji ili kubaini kama Sheria, Kanuni, Taratibu na thamani ya fedha zimezingatiwa
Ni muhimu kuelewa taarifa za ukaguzi ili kufahamu jinsi Rasilimali za Umma...
Kesi nyingi zilizofunguliwa na awamu ya JPM zimefutwa, watuhumiwa wengi tulioambiwa walihujumu uchumi wakanyimwa dhamana wameachiwa kwa maelezo kwamba serikali haina umuhimu wakuendelea na kesi hizo. Awali tuliambiwa wanazungumza na DPP wanalipa lakini Leo hii hakuna anayezungumza na DPP Wala...
Mimea inasaidia kuleta hewa safi tunayoihitaji kwa afya zetu. Uharibifu wa mazingira unaongezeka hasa mijini.
Hii picha inaonyesha unavyoweza kujiongeza na kupata hewa safi hasa wakati ukiwa umepumzika.
Wataalamu wa #Malezi wanatueleza kuwa Lishe bora ina mchango mkubwa katika ukuaji na ustawi bora wa mtoto kwani hujenga afya na akili ya mtoto.
Lishe bora hujumuisha mchanganyiko wa vyakula vya protini kama kuku wa kienyeji na mayai yake, vitamini yaani mboga za majani na matunda, wanga kama...
Katika maisha yetu tunasumbuliwa na magonjwa ya aina mbalimbali ambapo inatulazimu kutafuta dawa za namna Fulani iwe za mitishamba au za hospitalini, suala hili wakati mwingine hutokana na kuwa na kipato kidogo au kukosa mda wa kufuatilia afya yako kwa wale wenye uwezo kifedha Jambo ambalo ni...
Wanabodi
Leo ni Siku ya Kimataifa ya Chakula Duniani, huu ni uzi wa swali na wito, jee sisi Tanzania, tumeipa siku hii umuhimu stahiki?. Japo siku yenyewe kimataifa ni leo, ila kilele, kwa Tanzania, kimepangwa kesho, kutokana na ratiba kugongana na tukio jingine muhimu zaidi ya Siku ya Chakula...
Wanabodi,
Japo JF ni an open public forum kwa wote, mtu ukiwa na ujumbe wako fulani ambao ni muhimu, unataka kumfikishia mlengwa au walengwa fulani, ukiutuma ujumbe huo kupitia jf, unamfikia mlengwa kwa haraka zaidi na kwa urahisi zaidi, hivyo hili ni bandiko, kwa ajili ya kufikisha ujumbe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.