umuhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Theb

    SoC02 Umuhimu wa Mikataba na faida za kusimamia mikataba katika utendaji nchini

    Andiko langu litakuwa katika sehemu kuu tatu. Sehemu ya kwanza itakuwa ni utangulizi hapa nitaelezea maana ya mikataba na faida ya mikataba, sehemu ya pili nitaelezea mikataba iliyoleta migogoro au sintofahamu katika mambo mbali mbali nchini. Sehemu ya tatu itakuwa ya mwisho hapo nitatoa ushauri...
  2. M

    Kuna umuhimu gani wa kuwa na vioo vinavyofunguka na kufunga katika madirisha ya mabasi?

    Nimejiuliza hivi kwa sababu ni kawaida kusafiri ndani ya basi lenye abiria zaid ya sitini bila hata mmoja kufungua kioo cha dirisha. Na pia ukifungua wa siti ya nyuma analalamika upepo unampuliza. Watu mnasafiri muda mrefu bila hewa mpya kuingia ndani ya basi madhara yake ni kuumwa kichwa na...
  3. Rashda Zunde

    Umuhimu wa Sensa ya Watu na Makazi

    Ukweli ni kwamba watu wenye ulemavu wana mahitaji mbalimbali, hivyo kupitia sensa itakuwa sehemu sahihi ya kushughulikiwa changamoto zao, baada ya kukamilika kwa utaratibu huo. Kitendo cha kuwaficha wenye ulemavu hao kutawakosesha haki yao ya msingi katika shughuli za maendeleo zitakazokuwa...
  4. Rashda Zunde

    Umuhimu wa sensa kwa Rais Samia

    Kamisa wa sensa nchini, Anne Makinda amesema Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika Agosti, mwaka huu, itakapokamilika itaisaidia serikali na kumpa Rais Samia Suluhu Hassan picha halisi ya nchi anayoiongoza. Alisema hayo alipokuwa akizungumza na wakufunzi wa sensa wa ngazi ya taifa wanaoendelea...
  5. Rashda Zunde

    Umuhimu wa Pori Tengefu kwa Ikolojia ya Serengeti

    Hifadhi ya Taifa ya Serengeti ni mojawapo ya maeneo ya urithi wa dunia (World Heritage Site - UNESCO) si kwa ajili ya ardhi yake bali kuwepo kwa makundi makubwa ya wanyama wahamao, maarufu kama “the Great Serengeti wildebeest migration”. Mzunguko huu kwa kiasi kikubwa uko upande wa Tanzania na...
  6. Saidi gawa

    Mabaharia wana umuhimu gani katika uokozi na usalama majini?

    Wakuu habari zenu. Hivi mabaharia wana umuhimu gani katika suala la uokozi na usalama majini?
  7. M

    Serikali iwe makini na suala la Ngorongoro. Tunaweza tukaharibu umuhimu wa kufanya filamu ya Royal Tour na tukaathiri sekta ya utalii

    Serikali kuweni makini sana na Hili Jambo.Mimi kama mwana CCM na Mtanzania,naweza kusema hili jambo mlimalize kwa ustaarabu Mkubwa. Mnaweza mkawapa maadui wetu kutusemea vibaya,na mwishoe Watalii wakaogopa Kuja Tanzania.Serikalini kuweni makini sana nawahusia. Tumetumia gharama kufanya Filamu...
  8. I

    Umuhimu wa Madaraja: Unaweza kufunga Tanzanite Bridge Watanzania waangalie mpira. Je, unaweza kufunga Kigamboni Bridge?

    Nimeshangaa kuona daraja la jipya la Tanzanite linaweza kufungwa ili Watanzania waangalie mpira lakini Serikali haikuona haja ya kuweka tozo. Namaanisha daraja hili linatumika kama express route kwamba unapita kuharakisha safari ila unaweza kupita barabara ya kawaida ya mzunguko. Kwa upande wa...
  9. Suley2019

    Ujue umuhimu wa kusasisha (Update) simu au Apps zilizopo kwenye simu yako

    Salaam Wakuu, Kusasisha simu ni hali ya kukubali/ kuruhusu mabadiliko ya mfumo wa simu au App iliyo katika simu au kifaa cha kijidijalikwenda katika mfumo mpya. Mabadiliko haya yanaweza kufanyika kwenye vifaa vingine vya kidijitali iliwamo Computer Smart TV na android TV. Mada hii itajikita...
  10. B

    Kuna umuhimu wa kuajiri wasomi Tanzania?

    Tanzania kina mihimili mitatu, mihimili yote inaajiri wasomi wengi wakiwa na first degree na kuendelea huu wachache wakiwa naelimu ya sekondari. Upo wakati watanzania walilalamika majeshi yanapotoa nafasi za KAZI Kwa wahitimu wa kidato Cha nne ambao walifauli Kwa wastani mdogo. Hata Wananchi...
  11. sky soldier

    Simu zimechangia kuupoteza umuhimu wa kujuana kabla ya mahusiano; siku hizi mapenzi mengi huanza ndani ya siku hiyohiyo bila kujuana vizuri

    Kwa kweli simu zinaweza kuonekana na umuhimu wake lakini kuna uharibifu pia zimeleeta katika suala zima la mahusiano. Zamani ile process ya kumsubiria binti chini ya mti kwa masaa ukiombea labda atapita, kujua watu anaoishi nao pale unaporusa jiwe batini na aje kufungua mlango mtu mwengine...
  12. Mzee Mwanakijiji

    Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?

    Leo kwa mara nyingine mbio za mwenge zimeanza tena Tanzania, na safari hii mwenge umewashwa huko Dole Zanzibar kuendeleza ile adhma ya taifa letu changa kuwa "sisi tumekwisha kuwasha mwenge na kuuweka Kilimanjaro". Mwenge huu ulipowashwa mara ya kwanza na kuwekwa kwenye kilele cha Kilimanjaro na...
  13. beth

    Umuhimu wa kujenga utaratibu wa kupima Afya mara kwa mara

    - Huwezesha kujua hali yako kiafya: Vipimo vya mara kwa mara hupelekea mtu kuwa na taarifa muhimu zitakazomsaidia kufanya maamuzi sahihi kuhakikisha ustawi wa Afya yake - Husaidia kubaini Magonjwa mapema: Utaratibu wa kwenda kupima Afya yako mara kwa mara unaruhusu Madaktari kubaini viashiria...
  14. OLS

    Kuna Umuhimu gani ikiwa mapendekezo ya CAG hayatekelezwi?

    Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za serikali kila mwaka wa fedha baada ya kutoa ripoti ya ukaguzi hutoa mapendekezo ili kuongeza ufanisi wa taasisi na kudhibiti upotevu wa fedha na mapato ya serikali. Hata hivyo mapendekezo machache hutekelezwa hali inayotia mashaka kwa nini CAG anaendelea kuwepo ikiwa...
  15. B

    Rais Samia azindua ugawaji wa vitendea kazi kwa maafisa ugani kilimo. Asema Serikali imeongeza bajeti ya utafiti kutoka Tsh 7.35bn hadi 11bn

    Rais Samia Suluhu Hassan anazindua Ugawaji wa Vitendea kazi kwa Maafisa Ugani nchini ikiwemo Pikipiki 2,000, Vifaa vya Kupima afya ya Udongo (Soil agro scanner) 143, simu janja 384 na visanduku vya ufundi vya Maafisa Ugani 3,400. #TunaImaninaSamia #Hakunakinachosimama #KaziInaendelea. ------...
  16. M

    Kwa Jinsi CCM inavyopindua meza yake yenyewe, Bado tu Wana-CCM hamuoni umuhimu wa Katiba Mpya?

    Ni mwaka mmoja umepita sasa tangu Mwenyekiti wa CCM atwaliwe na Bwana! Ni kawaida Kwa Nchi yoyote Rais akifia madarakani hutokea mtikisiko! Hapa kwetu pia kulitokea na Bado kunaenfelea kutikisika! Hata hivyo huu wa kwetu ni wa kipekee! Kuna msemo unaitwa kupindua meza ! Labda pengine...
  17. Bushmamy

    Kilimanjaro: Kutokana na umuhimu wake wananchi waanza kulima kilimo cha Alovera

    Wakulima wengi mkoani Kilimanjaro kwa sasa wameanza kuangalia fursa mbalimbali katika sekta inayohusiana na kilimo cha mazao ya biashara pamoja na masoko yake. Baadhi ya wakulima wachache mkoani Kilimanjaro katika wilaya ya Hai wameamua kulima kilimo cha zao la alovera kama zao la biashara...
  18. Kaka Pekee

    Kazi za Kujitolea: Kwanini Ufanye, Umuhimu wake, na madhara ya kuzichukulia kwa wepesi

    Habari Wadau. Naomba kufungua mazungumzo haya kuzungumzia Suala la Kazi za Kujitolea na Umuhimu wake sambamba na madhara yake unapochukulia kwa wepesi nafasi hizi pindi unapozipata. (Kutokana na uzi huu kutokuwa maandiko matakatifu, ninaweza kurekebishwa, unaweza kutoa mchango chanya na kutoa...
  19. econonist

    Steve Nyerere kathibitisha umuhimu wa Tume huru ya Uchaguzi

    Leo katika press conference yake Steve Nyerere ambaye ni kada wa CCM alijadili mambo mawili ya msingi na kudhibitisha kwamba Tume Huru ya ya uchaguzi haipingiki. 1. Kwanza kahoji kama Mbunge wa Muheza kupitia chama cha CCM, Mh Mwinjuma alishinda kihalali. Hili ni muhimu, ina maana kuna Wana...
  20. L

    Mkutano wa Bunge la umma la China Una umuhimu kwa Afrika

    Na Tom Wanjala Ikiwa nchi ya pili kwa ukubwa wa uchumi duniani, China husaidia kutunga sera na kutoa ajenda ambazo zimechangia kutoa mwelekeo wa masuala mbalimbali. Mkutano wa Bunge la Umma la China ulioanza tarehe tano mwezi Machi na kumalizika tarehe 11 mwezi Machi mwaka huu, ulifuatiliwa kwa...
Back
Top Bottom