Kwa wanafunzi mashuleni kuwe na mtaala wa kufundisha somo hili. Zamani kuna mada katika somo la Sayansi Kimu au maarifa ya nyumbani lilizungumzia misingi ya uchumi na faida za kuweka akiba.
Kwa wale wenye vyeti na hata stashahada za uchumi mnaweza kufundisha jumuia za kanisani I, msikitini au...
Ikiwa uko kwenye soko la simu mpya basi unaweza kutumia muda wako kuangalia kamera ni megapixels ngapi, saizi ya display au jinsi inavyoweza kucheza game. Lakini kuna jambo lingine muhimu ambalo unahitaji kulipa kipaumbele: Internal storage.
Hifadhi ya ndani inakuwa tatizo kubwa zaidi pindi...
Jengo refu zaidi Duniani la Burj Khalifa pale Dubai muda huu limenakshiwa kwa Bendera ya Tanzania mwanzo mpaka mwisho lote. Dunia nzima sasa inatazama maajabu haya kwenye Jengo hilo refu zaidi Duniani huku Utalii wa Taifa letu ukizidi kutangazwa.
Yote hii ni matunda ya ziara ya siku 3 ya Rais...
Mikutano Miwili mikubwa nchini China, ambayo ni Mkutano wa Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China (CPPCC) na Mkutano wa Bunge la Umma la China (NPC), inatarajiwa kuanza katika wiki ya kwanza ya mwezi Machi hapa Beijing katika Ukumbi wa Mikutano.
Mikutano hii imekuwa ikifuatiliwa sana na...
Kero zaoa mara nyingi ni kuwa wavivu, kuvuta bangi, kukataa mimba, n.k.
umuhimu wao sasa.
mimi hawakubali sana maana ni kiboko ya nyodo
Hawa ndio wale wanajua kuwanyoosha vile vidada vi sley Queen vya mjini wanavipa mimba vinarudi bushi kulea.
Yani hao ndio wanajua kupunguza speed ya viruka...
Na Ronald Mutie
Tarehe 13 Februari ni Siku ya Radio Duniani, na Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) limechagua kauli mbinu ya Siku hiyo kuwa ni “Ndio kwa Redio, Ndio kwa Uaminifu”. Tafsiri yake ni kwamba, bado radio inaendelea kuwa chombo muhimu cha kupasha...
Swala la ngono hovyo katika jamii limefikia hali mbaya. Boss kulala na wafanyakazi wa chini yake, akiyewekeza kidogo hata kwa mradi wa chai anataka kulala na wauza chai wake. Huko serikalini ndiyo usiseme. Mbali na utandawazi ambao umechangia sana ngono zembe ni hali mbaya ya uchumi...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" mada ya leo ni kuhusu chanjo ya Corona.
Naomba uanze bandiko hili kwa hii clip
Kufuatia Umuhimu wa Chanjo Kwa baadhi ya kada, japo chanjo ni hiyari, na ukweli ni kwamba mwitikio wa kuchanja kwa...
Chumvi ilikuwa na thamani kubwa sana katika utawala wa Warumi. Hakukua na umeme hivyo chumvi ilitumika kuhifadhia vyakula kama nyama na samaki. Kwa watu wa Pwani mnafahamu papa na ng’onda huu ni mfano wa vyakula vilivyo hifadhiwa na vilidumu kwa muda mrefu.
Chumvi iliitwa dhahabu nyeupe na...
Hali ya upungufu mkubwa wa mvua imeshatukabili, maeneo mengi ya nchi yetu January hii ya 2022 yanashuhudia uhaba mkubwa wa mvua.
Jitihada zetu kama Tanzania kwenye upandaji na utunzaji miti bado sio za kiwango cha kuridhisha.
Uvunaji miti holela kwa ajili ya makaa na kuandaa mashamba mapya...
Nimelazimika kupandisha huu uzi hewani baada ya kurudisha kumbukumbu namna mzee wetu hayati JPM alivyotutoka bila hata ya kutupatia angalau dakika 5 za kumuombea
Tukiweka ushabiki wa kivyama pembeni hayati JPM alikuwa akipendeka sana ndani na nje ya nchi kiasi cha kama wananchi wangehisi hujuma...
Bado nashikilia nadharia kuwa ni bora zaidi, hasa kwa nchi isiyo na uwezo mkubwa, kuvifanyia marekebisho vipee vibovu vya Katika (Constitutional ammendment) badala ya kuandika upya Katiba nzima. Nilitoa sababu tano za na hoja za kupendelea zaidi (Constitutional Ammendment).
Leo nataka tu...
Ili nchi yetu ipate maendeleo ni lazima kuwe na muendelezo wa mipango kutoka Awamu moja kwenda kwenye Awamu nyingine. Iwapo kila Awamu mpya inapoanza kutawala itayatupilia mbali yale yaliyoanzwa na waliowatangulia basi kasi ya maendeleo itapungua!! Haya yamejitokeza sana katika utawala wa nchi...
Watanzania tulio wengi, hatuna uraia pacha, na tunajua hapa ndipo nyumbani kwetu, japo tunaweza kwenda matembezini lakini mwisho wa siku hapa ndipo kwetu. Kwa mantiki hiyo, kiu yetu ni kuhakikisha nyumbani kwetu panadumu kuwa mahala safi na salama kwa ustawi wetu na vizazi vyetu vijavyo...
Mwenyekiti yupo ndani kwa kesi ya kubumba. Yupo ndani na anahitaji sapoti yetu kwa kila namna. By any means necessary.
Leo hii kila mwanaCdm anakomaa juu ya Spika Ndugai kuponda mikopo, tunakomaa juu ya Sgr kujengwa kwa mkopo.
My take; Tushikamane na tuache uashabiki.
Kiongozi wa makanisa ya Efatha Ministries Tanzania Nabii, Mtume na Askofu Josephat Mwingira amezua taharuki na mjadala mkubwa katika vyombo vya habari TV, redio na social media kwa sababu ya mahubiri yake ya Jana Jumapili kanisani kwake.
Baadhi ya watu na wengine viongozi wa serikali kabisa...
Wanabodi, imekuwa kawaida kwa Bucha zetu nchini kuuza nyama na mifupa yake. Awali walitumia mashoka kupasua mifupa hiyo na sasa misumeno inayoendeshwa na umeme imetamalaki.
Kwa hali ilivyo sasa katika Bucha nyingi, mifupa ni muhimu katika kutengeneza faida kwao na karaha kwa walaji.
Uwa...
Na Pili Mwinyi
Kwa muda mrefu sasa China imekuwa ikifungua milango yake na kukaribisha watu kutoka pande mbalimbali duniani kuja China ili kujionea kwa macho yao nchi kubwa iliyopata maendelo ya kasi kwa muda mfupi tu, na pia kuwafanya wachina kwenda nje ili kujionea na kujifunza mengi zaidi...
Papa Francis, Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani
Papa Francis, katika mahubiri yake mwanzoni kabisa mwa maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu mnamo Oktoba 10 2021, Mjini Roma, Vatican, alikazia mambo makuu matatu mintarafu Liturujia ya Neno la Mungu: Kukutana, Kusikiliza na Kung’amua.
Katika Dominika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.