Mbegu za chia ni kati ya vyakula mashuhuri kwa afya bora, kwa sababu ya kusheheni virutubisho vya mwili.
Gram 100 zimesheheni:- Fibers: 39 gm, Protini: 16 gm, mafuta: 37 gm (18 gm ikiwa ni Omega-3, iliyomuhimu katika kuimalisha ubongo na 6 gm Omega 6); Madini kwa kiwango kinachohitajika kwa...