umuhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vanclassic

    Kuna umuhimu gani vyeti vya ujuzi, elimu viwe na muhuri wa Mwanasheria

    Ndugu zangu Kama mnavoona heading. Hivi kuna umuhim gani wa kupigwa muhuri wa mwanasheria kwenye vyeti vya elimu. Ikiwa hivo vyeti vinatoka serikalini je Mwansheria yeye anathibitisha vipi kwamba hivyo vyeti ni fake au oghiyo imetokea kwa rafiki yangu ambae aliomba kazi shirika La reli TRC...
  2. Swahili AI

    Umuhimu wa Kupunguza Kusalimiana kwa Kushikana Mikono

    Katika ulimwengu wa sasa, ambapo tunakutana na watu wengi na kushiriki mazingira mbalimbali, tabia ya kusalimiana kwa kushikana mikono imekuwa sehemu ya mazoea yetu ya kila siku. Ingawa kushikana mikono ni ishara ya heshima na urafiki, kuna umuhimu mkubwa wa kuangalia jinsi tabia hii inaweza...
  3. Cecil J

    Maisha yana safari ndefu. Pambana kila muda, relax kula maisha. Usiweke umuhimu wa mtu yoyote kabla yako!

    Habari wanajukwaa! Nimefurahi kwamba wote muwazima, kwa wale wagonjwa nawaombea kwa Mwenyezi Mungu, kwa wale wasio na dini mpone haraka. Sitakuwa na mambo mengi ya kuandika, jambo ni moja tu! Kwenye haya maisha tupambane kila siku, ila tusisahau ku-relax na ku-flex kistaarabu baada ya...
  4. Mkenda01

    Mzee Ayo afariki dunia baada ya kutapeliwa pesa mtandaoni. Umuhimu wa NIDA na alama za vidole kwenye usajili wa kadi za simu ni upi?

    Habari wana JF Wakati swala la kusajili kadi za simu kwa kitambulisho cha nida na alama za vidole unaingia nchini tulipewa umuhimu mbalimbali wa jambo ilo ikiwemo swala la usalama na kudhibiti utapeli kwa njia ya mtandao. Nimeleta hoja hii kwani ni miaka sasa tangu swala la kujisajili kwa...
  5. technically

    Sioni umuhimu wa elimu Tanzania

    Ukweli mchungu kwa mazingira ya Tanzania elimu haina maana yeyote. Watu waliosoma vizuri uko nyuma asilimia kubwa wapo nje ya nchi wanafanyakazi na kulipwa vizuri Waliobaki Tanzania wengi ndo wameshikilia serikali elimu yao na vyeti vyao ni tiamatiamaji!! Mtu alipata four ya 28 akasoma...
  6. Oscar Wissa

    Umuhimu wa Kiongozi wa Kiroho Kuwa na Muda na Wakristo ili Kuwaimarisha

    Katika utumishi wa Mungu, mahubiri pekee hayawezi kuwatosheleza waumini kupata uimarishaji wa kiroho. Ingawa mahubiri ni muhimu, watu wanahitaji zaidi ya neno linalotolewa madhabahuni. Wanahitaji muda wa kibinafsi na viongozi wao wa kiroho ili kupata msaada wa kiroho na kiushauri, kuelewa...
  7. H

    Umuhimu wa unga wa mwani

    Mwani(Seamoss) ni miongoni mwa mimea inayopatikana baharini, ikichukua sehemu ya ikolojia ya bahari kwa kulea na kulisha viumbe wengine baharini. Hivi karibuni kilimo cha mwani kimeongezeka sana katika ukanda wa pwani ya Afrika Mashariki hususa visiwa vya Zanzibar na Mafia. Kama ndio mara ya...
  8. B

    Kwa kizazi hiki na tabia za sasa kuna umuhimu gani wa kupoteza fedha nyingi kutoa mahari?

    Wana JF hali gani huko katika pilika za hapa na pale. Kwa hali ilivo sasa ukiachilia mbali wazazi kusema mmesomesha mmelea na mmekuza hii hoja ya ya kutoa mahari inaanza kukosa mashiko. Msingi wa kutoa mahari miaka ya zamani ulikua ni up? Na je, miaka ya Sasa msingi ni upi? NB: Angalieni na...
  9. KING MIDAS

    Utamaduni wa kuandika ndoto/njozi na umuhimu wake

    Je una utamaduni wa kuandika ndoto unazoziota? Ndoto ni lango la taarifa, maarifa NK. Taarifa na maarifa hayo huweza kuwa mazuri/ mema au mabaya/ maovu. Fikiria unaota kila mara uko makaburini, hushtuki, wala hufuatilii mwenendo mzima wa maisha yako kuanzia umeanza kuota ndoto hiyo. Mwingine...
  10. City Owl

    Umuhimu wa namba ya TIN Kwenye Shopping

    Wakuu, Kila mara ninapolipia bidhaa toka hizi supermarkets, napewa option ya kujaza nambari yangu ya mlipa kodi, maarufu kama TIN number kwenye receipts. Swali: Je, kuna faida yoyote direct/indirectly ninaweza kupata nikianza kuijaza?
  11. BwanaSamaki012

    Je, Unajua Umuhimu wa Recreational Pond Nyumbani Kwako?

    Habari! Nina wasalimu kwa unyenyekevu mkubwa Recreational pond ni aina mpya ya bwawa yanayofanana na mabwawa ya asili ambayo yanaweza kutumika kwa madhumuni mbalimbali, kama vile kuogelea, kufugia samaki wa mapambo n.k. Tofauti na mabwawa ya kawaida, aina hii ya mabwawa yanaundwa kwa maumbo na...
  12. Mparee2

    Kuna haja ya topic ya umuhimu wa kodi na hesabu zake iongezwe kwenye shule za msingi

    TRA wanafanya kazi kubwa sana kuelimisha na kupambana na watu ili walipekodi/wasikwepe kodi Hata hivyo changamoto kubwa ni watu kukosa Elimu ya kodi tangia huku chini. Muarobaini wa Kukwepa kodi na mikopo umiza ni kuelimisha watu kuanzia huku chini. Napendekeza; 1. Waongeze topic ya umuhimu wa...
  13. MSONGA The Consultant

    Umuhimu wa Shirika Kuwa na Ufadhili Kutoka kwa Mtu Mmoja Mmoja (Individual Donor)

    Mashirika mengi yasiyo ya kiserikali yaani, “Non-Governmnetal Organizations” yanapokea ruzuku kutoka kwenye vyanzo vikuu vitatu, ambavyo ni; 1) Taasisi za ufadhili yaani “funding organizations/foundations” 2) Makampuni ya kibiashara yaani “corporations” na 3) Mtu mmoja mmoja yaani “individual...
  14. Aliko Musa

    Land Banking: Umuhimu Wa Kutambua Maeneo Yaliyotengwa Kwa Ajili Uwekezeji Wilaya Unapowekeza

    Utangulizi Land banking ni mbinu ya uwekezaji ambapo mtu au taasisi hununua kipande cha ardhi kwa bei ya chini na kukishikilia kwa muda mrefu, akitarajia kuwa thamani ya ardhi hiyo itaongezeka. Kwa kawaida, maeneo ambayo hayajafanyiwa maendeleo, lakini yana uwezekano wa kuongezeka thamani...
  15. A

    Taifa stars technical staff angalieni umuhimu wa hawa

    Uhalisia uwekwe peupe.
  16. Pascal Mayalla

    Big Up, TRA Kutumia Media Kuelimisha Umma Elimu ya Kodi na Umuhimu wa Kodi Kila Mtu Alipe Kodi. Je Wajua Viongozi Wetu Wakuu Hawalipi Kodi?. Kwanini?!

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la NIPASHE la leo 1/09/2024 Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa ambazo huwa na swali, hoja kisha jibu utatoa wewe mwenyewe. Mada ya leo ni pongezi kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA kuwatumia wahariri...
  17. L

    ACT Wazalendo mfikishieni salamu Ismail Jussa kuhusu umuhimu wa kodi

    Nimeona Clip moja huko nyumbani kwetu Kizimkazi Bw.Ismail Jussa, kumbuka huyu ni mwanasheria, akilalamika jukwaani na kuwafanya watu majuha kuwa serikali ieleze sababu za kuwakamua watu kodi. Sasa mimi am a politician but Ismail Jussa naomba usome hapa kuhusu Theoritical concepts behind...
  18. Madwari Madwari

    UMUHIMU WA WAMASAI NGORONGORO NA SERENGETI

    Hii video inamuonyesha mztaliii Ari Smith kutoka marekani akijifunza utamaduni wa wamasai akiwa akatika hifadhi zetu. Utalii wa vitu pekee hautoshi, unahitajika pia utalii wa utamaduni. Morroco ni nchi ambayo inapokea watalii wengi hawana mbuga lakini wanavutiwa na utamaduni wao...
  19. T14 Armata

    Shule zenye ubora ni gharama lakini muhimu sana

    Bila kupoteza muda leo natoa mawazo yangu yanayotokana na uzoefu niliokutana nao mwenyewe. Kuna mkanganyiko unatokea kwenye suala la elimu na shule hasa za msingi, sekondari na Advanced level. Kuna kundi la wazazi wavivu, sizitaki mbichi hizi na wazembe wa majukumu hasa wakiongozwa na chairman...
  20. Melki Wamatukio

    Msaada: Sioni tena umuhimu wa kuishi na kiumbe anayeitwa mwanamke

    Na sio tu mwanamke, bali sioni kabisa umuhimu wa kujihusisha kwenye suala zima linaloitwa ngono, iwe ya aina yoyote ile Mwaka jana nilianza kama masihara hivi, nilikuwa kataa ndoa tena mwanachama kindaki ndaki, baada ya hapo nikasajiliwa kwenye chama cha kataa genye, hapo nikaamua rasmi...
Back
Top Bottom