Ukitaka kufuta namba ya mtu, usiseme "simu iliibiwa" au "nilipoteza namba." Kuwa mkweli: "Nimefuta namba yako kwa sababu niliona huchangii maendeleo yangu kwa vyovyote."
Ukweli unaokoa muda na heshima!
Je, unadhani ni sawa kufuta namba ya mtu bila taarifa, au ni muhimu kutoa maelezo?
MWANAMKE TEGEMEZI ASIYE NA KAZI HUWEZI SEMA ANAKUHESHIMU AU KUKUTII. HESHIMA INATOKA KWA MTU ANAYEJITEGEMEA NJE YA HAPO TEGEMEA UNAFIKI
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kwa Sisi tusiopenda unafiki na tunaojua hulka na akili ya binadamu. Kamwe hatutazamii heshima yoyote kutoka kwa mtu asiye...
Juzi tarehe 21st of February, kash Patel ameidhinishwa kuwa chief of FBI huko marekani. Sasa kama kwaida ya wabongo sisi , kwa mbwembwe tukaanza kusambaziana propaganda, mara oh... ni mtanzania , sijui mama yake ni mtz, mara blah blah kibao. Tangu lini mtanzania mbantu akawa na jina la kash...
Katika nchi nyingi za Afrika, hususan Tanzania, viongozi wa serikali mara nyingi hujifanya wanakemea ufisadi lakini kwa uhalisia hawawezi kupambana nao. Huu ni unafiki wa kisiasa unaolenga kuwahadaa wananchi. Zifuatazo ni sababu kwanini viongozi waache tabia hii.
1. Wananchi Wanaanza Kuzinduka...
Shirikisho la soka Afrika (CAF) linapanga kufanya marekebisho makubwa ya mashindano yake hasa Ligi ya Mabingwa Afrika na kombe la Shirikisho la CAF.
Shirikisho la soka barani humo limekuwa likichunguza njia za kuweka upya kandanda ya Afrika, hasa kwa Ligi ya Soka ya Afrika, ambayo imefanyika...
Kituko cha kwanza mazungumzo yanafanyika pasipo wahusika wakuu Ukraine kuwepo katika hayo mazungumzo! Yani ni sawa na umemkamata mgoni anamtafuna mke wako ukazua ugomvi halafu wapatanishi wanakuja wanamchukua mgoni wako wanaenda kukaa naye kikao peke yao wanamuuliza anataka nini kumaliza kesi...
Iko wazi kuwa kweli banyamulenge wana haki ya kuwa raia wa Congo na kupata haki zao zote za msingi kama raia wa nchi hiyo.
Lakini je, inapofikia raia hawana uzalendo tena na nchi ambayo kimsingi ni yao na wanaonesha mapenzi na utii kwa kiongozi wa Taifa hasimu tena mwenye asili yao hao bado ni...
Kuna bidada next door kutokana na wenge la upwiru nikaweka kumbe mtoto wa watu kanogewa akaja kwenda kwao huko mji kasoro Sasa communication zikaendelea full kujibebisha mi namchora tu.
Sasa mwaka jana akaleta pigo za kumtumia nauli aje kula sikukuu Dar Es Salaam Sasa nikafanya tathmini kutuma...
Wakati vita na mauaji yanashika kasi kule Gaza, viongozi wa dini, viongozi wa kisiasa na waafrika walichukua upande, kutoa neno na kuomba. Vivyo hivyo hivyo wakati mambo yakishika kasi zaidi kule Ukraine.
Sasa ngoma ipo hapo DRC, vita inapigwa haswaa, lakini watu wale wale hawataki kujigusa...
Unakumbuka kauli hii ya Slaa alipokuwa mpambe wa Magufuli?
- Dkt. Slaa: Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la kawaida
https://www.youtube.com/watch?v=ajFGQ0wQdOk
1. Kuwadanganya watu wa mwanza kuwa dagaa zao ni tamu kushinda dagaa Mchele wa pwani na dar na WA majichumvi huu unafiki nmeuvumilia mda MREFU sana kiukweli dagaa watamu ni wa 1. DAR, 2.MWANZA ,3KIGOMA
WALE WA KIGOMA HAWANA RADHA YEYOTE
2.Unafiki wa pili ni Kwa watumishi wengi wa UMMA na...
Sasa wanasema ni marafiki lakini rafiki mmoja kamdanganya mwingine kwenye maridhiano na kumletea shida. Je huyo rafiki ni rafiki kweli au mnafiki . Chadema wamekosa imani na Mbowe kwasababu ya kumuamini rafiki yake
Mpo salama!
Watanzania wengi wakikuambia unabusara nenda kajitafakari Sana. Kwani wao wanachanganya Unafiki na Busara.
Wengi wao wakikuambia unabusara Sana tambua wanamaanisha wewe ni Mnafiki Sana.
Hii ni Kwa sababu Watanzania wengi hawaupendi UKWELI. Hawapendi watu wa Moja kwa Moja.
Na mtu...
Mara ooh "mashoga", mara mashetani, mara illuminati ila wanapoeletewa shari na watu wa itikadi yao wenyewe tena wanakimbilia kule kwa mashoga kupata hifadhi zidi ya majanga na vifo wanavyoletewa na watu wao wa itikadi sawa wanaoikubali.
.
Mna vituko sanaa🚮🚮
Mpo salama!
Watu wenye ndimi mbili. Watu wenye mawe mawili ya kupimia ni watu Hatari Sana popote walipo. Ni watu wanafiki na muda wowote wanaweza kukuuza.
Alipokuwepo Magufuli, Chawa wake walitoa maoni Yao kuwa Magufuli aongezewe Muda, Magufuli atawale milele, na kama Magufuli angekataa wapo...
Katika kudhihirisha unafiki wake nchi ya Ufaransa ilitumia neno "Rais" wakati wa kuripoti habari iliyomuhusu Rais wa Gabon aliyeingia madarakani baada ya mapinduzi ilihali nchi hiyo hutumia neno " Junta"pale taarifa inapowahusu marais wa nchi za Mali, Niger na Burkina Faso ambao pia waliingia...
Hata alipokosana na Simba na kuondoka sikushangaa hata kidogo. Nikajisemea tu kuwa hata huko Yanga anapokwenda hataweza kudumu.
Manara anapenda sifa na umaarufu. Lakini kibaya zaidi ni Mnafiki sana. Hata Saikolojia inatuelekeza kuwa mtu mwenye maneno mengi mdomoni mara nyingi NI MNAFIKI...
TBC SIASA ZA TANZANIA hamzijadili kama mnavyochambua SIASA ZA nje. Mambo ya kina mdee bungeni na utekaji watu mmekaa kimya ila siasa za Kenya mnazichambua vema
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.