Wananchi tunafanya kazi kwa bidii na tunapenda haki lakini viongozi wetu hawaonyeshi kuwa na nia ya kututetea wametuacha katika mazingira duni hawatusaidii kuboresha hali zetu na ndio sababu miaka ya nyuma watu walikuwa wanajiunga na migomo.
Viongozi wetu (wa kisiasa na dini) wanaishi maisha...
Ni ngumu sana binadamu kuishi bila rafiki hata Putin na ubabe wake ana rafiki, ila sometimes we meet with wrong friends.
Mimi binafsi nilikuwa na rafiki mpaka ilifika stage tunapeana pesa bila kukopeshana yaani tulikuwa kama ndugu vile, kwao naenda tunakula tunalala mara nyingine anakuja kwetu...
WAKATI WA KAMPENI NILILIONA BANGO HILI "MALOFA KATIKA UBORA WETU".
å Kadri siku zinavyokwenda naanza kuondoa lawama hizi kwa rais mstaafu kama muasisi Wa kauli hii, naamini kua aliwatamka vile kwa kuwafahamu na si kuwa dharilisha.
Naamini haya kupitia kauli za Mh. Peter Msigwa Kabla ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.