TBC SIASA ZA TANZANIA hamzijadili kama mnavyochambua SIASA ZA nje. Mambo ya kina mdee bungeni na utekaji watu mmekaa kimya ila siasa za Kenya mnazichambua vema
Tanzania na Afrika kwa ujumla tumekuwa na tabia na tatizo sugu la viongozi wetu kuwa na tabia ya unafiki, ubinafsi, uroho wa madaraka," what they preach is contrary what they are doing" Watanzania tuamka sasa tabia za namna hii tuwe tunazikemea hadhalani, hawezekani kiongozi yeye kaacha taaluma...
Vijana wa Kitanzania tofauti na wa Nchini Kenya mahodari sana kuandana na kulalamika kwenye mitandao ya kijamii kuliko kuingia barabarani (Road)
Baada ya Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) leo kuwataka wananchi wa Tanzania hasa vijana kujitokeza kwa wingi kuamndana jijini Dar mwitikio...
Marekani ni taifa ambalo mara nyingi linaonekana kama mfano wa demokrasia kwa mataifa mengine duniani. Hata hivyo, kuna muktadha wa kipekee ambao unahitaji kuangaliwa kwa karibu: wakati nchi hii inapojisifu kwa kuimarisha demokrasia na haki za binadamu, hali ya ndani ya nchi hiyo siyo kila...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Kumekuwa na Video ya Binti mmoja inayozunguka mitandaoni ikionyesha namna anavyobakwa na kukawitiwa na Vijana kadhaa,Vijana hao ambao wamesikika wakitamka hadharani na kumshurutisha yule Binti akili hadharani na kumuomba radhi Afande.
Kwa akili ya...
WAZUSHI WAKIKOSA UBAYA WAKO BASI WATAZUSHA, NI FURAHA YAO KUONGELEA MABAYA TU YA WATU 😔
Kama wewe ni yule ambaye unataka kujibu kila mtu basi jua utajichelewesha .
Kama wewe ni yule ambaye ukisikia ulivyosema kipindi haupo basi unakorofishana na uliowaacha basi jua unajichelewesha.
Kama wewe...
THE Tanzania Revenue Authority (TRA) has been instructed to suspend all operations involving arresting traders, as well as suspending inspections on electronic fiscal devices receipts for at least one month.
Thobias Makoba, the chief government spokesman, late yesterday that this was the first...
Kwa miaka nenda rudi genge la wazalishaji wa sukari wamekuwa wakilichezea soko letu ili kupiga super profit.
Wanatengeneza uhaba wa sukari, wanaacha ipande bei, kisha wanapata vibali vya kuagiza nje na kuuza kwa bei ya juu. Tena wakati mwingine wanabadili vifungashio ili ionekane imezalishwa...
Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema jinamizi la ajali nchini limezidi kuwa kero huku kutofuata sheria akitaja mojawapo wa chanzo kikuu, huku akiwataka maofisa usalama barabarani kutoangalia namba za gari ni la Serikali au binafsi sheria itumike sawa kwa wote.
“Madhara yake tunapoteza...
Nilikuwa najiuliza maswali kibao. Mbona watanzania tunapiga vita vitu ambavyo tunahisi viko mbali wakati kiuhalisia tunavyo nguoni na damuni mwetu?
Naomba nieleweke; hoja yangu ni ya kujenga na kufikirisha tu;
Majuma kadhaa imepita tumesikia serikali imefungia taasisi fulani kwa kuleta vitabu...
Tena Mimi naona huyo Dada wa Nyoka ana Nafuu kwa huo Utapeli ila Matapeli halisi na Wezi wa Umasikini wa Watanzania wengi kwa njia ya Imani yao ya Uwongo na Kweli wako Tanganyika Packers Kawe, Buza kwa Lulenge na Kimara Temboni.
Mbunge wa zamani wa Viti Maalum kupitia Chadema ambaye sasa amehamia CCM, Upendo Peneza amesema kabla hajama chama hicho, aliomba ushauri kwa Rais wa zamani wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf na pia alifunga na kuomba kabla hajatimiza uamuzi huo.
Chanzo: @MwananchiNews
Ngoja nami GENTAMYCINE...
Kamati kuu CHADEMA imemuhoji Makamu Mwenyekiti na mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Tundu Lissu kwa kuudanganya Umma kuwa haku kukubaliana na uamuzi wa kumwalika Rais Samia Suluhu Hassan kama mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika tarehe 8 Machi mwaka 2023...
Ni mambo ya ajabu hiki chama cha kuendekeza ufisadi na uongo.
Kuna kasoro nyingi sana za muungano, lakini jambo la ajabu ni kuwa kasoro hizo zikizungumzwa na kiongozi wa CCM basi anashangiliwa hadi wabunge wanataka kupanda juu ya meza.
Ila hoja hizohizo zikiongewa na Mbowe au Lissu mpaka kina...
Kuna steji imefika au ni matokeo ya uwoga uliopo nchi hii sijui umetengenezwa na muendelezo wa watawala.
Ukiangalia matendo yaliyopo kwenye kuuliza ukweli au makosa ni kama wewe ndio umekuwa kosa,kuanzia kwenye utendaji mpaka wananchi wenyewe.
Uwoga ulitengenezwa nchi hii umepata bidhaa mpya ya...
Iko hivi, kwa sasa israel hana sababu ya kuipiga tena gaza, kwakuwa jamaa wameshasalimu amri, na kuna harakati nyingi za maandamano na malalamiko kutoka kwa watu wa haki za binadamu na activits wengi kwa ajili ya maandamamo dhidi ya israel.
Sasa Mazayuni bado wanataka kuimaliza kabisa Gaza na...
Duniani kote kila Bara kuna mapigano yanayoendelea huku kukiwa na ushawishi sifuri kwenye kusitisha hizo vita. Ninasema mapigano kwa sababu sehemu kubwa ya mapambano hayo yametokana na ushawishi wa makundi yanayolenga kufaidika na vita hizo. Kinachoendelea Ukraine na Urusi ni vita kamili kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.