unafiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mto Songwe

    Malcolm X speech democracy is hypocrisy/Demokrasia ni unafiki

    Malcolm X anasema kuwa demokrasia ni "unafiki". Ni tofauti kabisa na inavyoandikwa na kuhubiriwa duniani. Kwa kiasi kikubwa sasa dunia inashuhudia huu unafiki uitwao demokrasia. Tumsikilize kwa makini hapa
  2. D

    Zijue taasisi zinazoongoza kwa unafiki duniani!

    Taasisi ya kwanza ni Zionists ama Wayahudi. Hawa ni nambari Wani. Tunakumbuka walivyompokea Yesu akiingia Yerusalemi. Walidiriki hata kumtandikia kanga apite juu asikanyage ardhi tena akiwa juu ya punda. Walimshangilia sana. Lakini siku Yesu alipokuwa akisulubiwa ni hao hao walishangilia hadi...
  3. Mhaya

    Kusema muislamu ndugu yake ni muislamu huo ni unafiki

    Nimeona kauli hiyo ya "Muislamu ndugu yake ni muislamu mwenzake" inatolewa huko Instagram kutoka kwa Bi Dada mmoja juu ya polisi kupiga marufuku ya maandamano Tanzania. Kiukweli uwezi kusema Kwamba Muislamu ndugu yake ni muislamu mwenzake. Mimi naona hii sentesi ilitungwa kutetea watu wajamii...
  4. Pang Fung Mi

    Unafiki wa Wabunge kufoka, kukemea na kujifanya wako siriasi kuisimamia Serikali

    Wabunge wetu wanatuona sisi wajinga. Juzi tu wamepitisha mafao ya wasiostahili kulipwa na kimsingi hao waajiriwa na hawana mkataba na wananchi kikatiba. Wiki hii wanajifanya wanaropokwa kwa uchungu, hawa wanafiki wanaotaka kuuza sura huku mwishoni kuwasahaulisha Raia na uzuzu wao wa kushindwa...
  5. Webabu

    Unafiki wa nchi za kiarabu ndio uliowezesha kuzingirwa kwa Gaza

    Vita vinavyoendelea mpaka kufikia leo vimepitia hatua nyingi na za wazi.Kila mwenye kuelewa alielewa kilichopangwa kutokea.Hii ni kwa vile vita hivi kati ya Israel na wapalestina vimepiganwa katika namna za kisasa tofauti na vita vilivyotangulia vya mwaka 148 na vile vya Yom Kipur vya mwaka...
  6. FaizaFoxy

    Dua za kuombea utiaji saini mkataba wa Bandari zina unafiki mkubwa

    Kama ilivyo desturi na kawaida ya shughuli zetu zote Watanzania, iwe za Kiserikali au hata za majumbani mwetu, huwa tunaanza kwa dua. Jana 22/10/2023 kama kawaida, ya shughuli ya Kitaifa ya kusaini mikataba mikubwa ya uendeshwaji bandari yetu ya Dar, dua zilisomwa na askofu wa Liberatus wa TEC...
  7. adriz

    Unafiki na chuki zinadhihirika katika migogoro ya kimataifa

    Moja kwa moja. Nimeona nije na mada hii baada ya kuona huu uzi leo Siasa Michezoni (Simba vs Al Ahly): Azam TV wanapaswa kuonywa, kuadhibiwa au kufungiwa! nikakuta za comments mbalimbali. Nije katika hoja, kwamba mnasema football haipaswi kuchanganywa na siasa na mambo mengine kinyume cha...
  8. S

    Ukituliza kichwa sawasawa, mke bora anapatikana Baa huko kwingine ni unafiki tu

    Ujue ukitaka kupata kilicho bora ebu waza kinyumenyume na walimwengu baadae utanishukuru! Leo fundi SAMICO Baada ya kumaliza project kwa amani na mteja wangu niliamua kwenda bar kutafakari napataje kazi nyingine. Lakini nikiwa bar nimegundua ukituliza kichwa sawasawa huku ndiko waliko wake wa...
  9. Arnold Kalikawe

    Ishi maisha yako, usifiche hisia zako

    Katika maisha yangu hakuna kitu ninachomuomba Mungu wakati mwingine kama kunipa roho ya kuweza kusimamia kitu ninachokiamini. Kusimama na kusema kwamba mimi nasimamia hapa. Watanzania wengi hatuna mambo haya. Sisi tumejaza unafiki mkubwa sana mioyoni mwetu, tena mkubwa mno. Tupo radhi kusema...
  10. Mto Songwe

    Demokrasia ni mfumo mfu hamuwezi kufanikiwa duniani kwa sababu ya "Unafiki"

    Kwa wale wanao ona dunia itakuja kuwa chini ya utawala wa kidemokrasia kama ilivyo vitabuni basi hawapo sahihi wanaishi katika njozi. Ili demokrasia iweze kufanikiwa duniani basi panapaswa kutokuwepo unafiki baina ya watu. Unafiki ni kikwazo mojawapo cha asili cha sisi watu kinacho weka uzio...
  11. Boss la DP World

    Azam TV Acheni Unafiki: Chagueni moja

    Nilipeleka tangazo la pombe pale kwaajili ya kudhamini matangazo ya mechi za NBCPL na baadhi ya vipindi kwenye channel za Azam Sports 1 na UTV. Mhusika akanijibu kuwa hawapokei matangazo ya pombe kwakuwa yanakiuka misingi ya kiimani hivyo wamiliki hawataki. Sasa najiuliza je hao wamiliki kwao...
  12. L

    Kuongezeka kwa mvutano kati ya India na Canada kunaonyesha unafiki wa Marekani wa wenzi unaojali faida

    Mwezi Juni mwaka huu, kiongozi maarufu wa jamii ya Masingasinga Hardeep Singh Nijjar ambaye pia ni raia wa Canada, aliuliwa kwa kupigwa risasi nchini humo. Hivi karibuni, Canada imeituhumu India kuhusika na mauaji hayo, na kumfukuza nchini humo balozi wa India. Katika kujibu hatua hiyo, India...
  13. GENTAMYCINE

    Watangazaji wa Kitanzania waliokoa BBC hasa Kipindi cha Asubuhi cha 'Amka na BBC' acheni huu Unafiki wenu na hi Chuki yenu

    Yaani Klabu ya Yanga ikifanya vyema katika Mechi zake zozote zile huwa mnatangaza tena kwa Bashasha zote. Ila Yanga SC hiyo hiyo ikifungwa (kama ilivyofungwa jana na Ihefu FC huko Highland Estates Mbarali) hamtangazi na huwa mnajifanya hamjayapata Matokeo. Lakini Klabu ya Simba hata ikifungwa...
  14. Boss la DP World

    UTV Acheni Unafiki. Habari zenu hazina mizania

    UTV haijawahi kuripoti chochote kuhusiana na mikutano ya CHADEMA inayoendeshwa na Tundu Lissu. Leo wameripoti kuhusiana na kukamatwa kwake. Hawa hawa UTV hawajawahi kuripoti kuhusiana na waraka pendwa wa TEC badala yake wakawa wanatafuta watu wenye maoni ya kupinga waraka ambao hawajawahi...
  15. S

    Suala la Mafuta Spika acha unafiki ulishauriwa uunde tume mwaka mmoja umepita ukapuuza

    Suala la Mafuta Spika acha unafiki hili suala ulishauri tangu Juni 2022 kwamba unda Tume kuchunguza ukakaaa kwa sababu ulitaka kumlinda Waziri Januari Makamba kwa manufaa binafsi unayoyajua wewe. Leo umeona Makamba hayupo ndio unajifanya kuunda tume ukamchunguze Dotto Biteko huku ukijua...
  16. S

    TCRA kuufungia wimbo "Amkeni" wa Ney wa Mitego na kuacha nyimbo za matusi ni uchawa, kujipendekeza na unafiki

    TCRA acheni kutumika vibaya. Mmeufungia wimbo wa Ney Wamitego "Amkeni" kwasababu tu umemparura aliyewateua lkn mmeacha nyimbo kibao za matusi zkiendelee kwenda hewani. .....sijui kutongoza.... .....ikiiingia inateleza.. ....paka mate niteleze.. .....nampatia sukari ananambia ongeza.. n.k, n.k...
  17. Kiplayer

    Neno pole ni maficho ya unafiki

    Hili neno linatumika kama maficho ya ubaya na unafiki wa wanadamu. Binafsi sipendi kupewa hili neno hata kama nimepatwa na matatizo makubwa kiasi gani kwa sababu yeyote anaweza kulitamka na huwa linanirudisha kwenye hisia za matatizo yaliyonipata. Ni Bora kutumia mbinu mbadala ya kuonesha...
  18. Ejolisi

    Akijifanya anakupenda we jifanye unamwamini unafiki ubaki pale pale 😂

    Uungwana ni kwenda na flow mtu anakudanganya we mtazame tabasamu ooh babe unajua siwezi kukucheat itikia sawa, anakusaliti kusanya data zako kaa kimya siku unalipua bomu "CAN WE TALK" hakuna haja ya kuwa na stress. Aya mapenzi ni maradhoni sijuw watu wanatk nn ukionesha kumpenda mtu unaanza...
  19. R-K-O

    Weka mkasa wako: Mnakutana na kuishi kwa furaha kumbe ni unafiki mwingi, kesho mkizidiana ama kupishana mnaanza kuchomeana

    Baada ya kumaliza chuo nilibahatika kupata kazi ya mkataba wa mwaka kampuni flani binafsi, Niliweza kujuana na kuishi vizuri na wenzangu wa hio kampuni, sasa niliwakaribisha gheto wakakuta nna Tv nchi 55 (nilipewaga na bro wangu) wakaenda mwambia boss nna Tv kubwa kama nyumba hata yeye agusi...
Back
Top Bottom