Kuna hili suala la kila nyumba za ibada za kishetani zinapewa jina la kanisa na sio msikiti?
Kitu gani kinawavuta kuita kanisa badala ya msikiti ili hali kanisa ni nyumba za ibada za wakristo kama ilivyo kwa waislam msikiti.
Je, kuna mwenye majibu kuhusu hilo?
Taarifa za kuuawa kwa Katibu Mkuu wa Chama cha siasa Hezbollah cha Lebanoni, Sheikh Sayyed Hassan Nasrallah zimeitikisa dunia baada ya Jeshi la Israeli kutangaza kumuua na Hezbollah kuthibitisha taarifa hizo. Lakini kwa hapa Tanzania taarifa hizo zimepokelewa kwa hisia tofauti huku watu wengine...
Ili utawale unahitaji vitu vitatu simple;
PESA - Uwe na utajiri wa Dhahabu, au pesa ambayo utaweza nunua asset mbali mbali katika nchi hasa ardhi.
JESHI - Jeshi litakuwezesha kulinda mipaka ya utawala wako au milki yako, utaweka watu katika order unayotaka wewe. Yoyote atakae pinga, jeshi...
Mtaji wa milioni 10 ni mzuri sana kuanzisha biashara kadhaa zenye faida mwaka 2025. Chaguo bora litategemea sana maslahi yako, ujuzi wako, na soko linalokuzunguka.
Hapa kuna baadhi ya mawazo ya biashara unaweza kuzingatia kwa mtaji huo:
### Sekta ya Uchakataji Chakula
Utengenezaji wa vyakula...
Habari! Nina wasalimu kwa unyenyekevu mkubwa
Recreational pond ni aina mpya ya bwawa yanayofanana na mabwawa ya asili ambayo yanaweza kutumika kwa madhumuni mbalimbali, kama vile kuogelea, kufugia samaki wa mapambo n.k. Tofauti na mabwawa ya kawaida, aina hii ya mabwawa yanaundwa kwa maumbo na...
Baada ya kuchagua camera kwa matumizi na budget yako (episode I), sasa tuanze kurecord. Tuta-assume accessories chache sana tunazihitaji kutokana na budget yetu.
Tufanye sisi ni content creator tunaoongelea mambo ya mapishi. Sasa tuanze kuset mazingira yetu ya kurecord.
Tutaweka story katika...
Kama unaona ndoa yako maisha yako kiuchumii yanasuasuaa
Angalia na fukuza hawa
Panda
Mende
Mijusiiii
Mapaka
Kwa gharama zozote waondoke hapo kwako else utapigika mbaya yaana wanavyoendelea kuzaliana ndipo na wewe wwanakunyoshaaa kirohoo na kimwili mpaka unyokekekee
@fanyiakazi
C2
Tumeellewana
Mu hali gani!
Kunamitazamo mingi kuhusu suala la mafanikio ya mtu, lakini kwaujumla kufanikiwa nikufanikisha kutekeleza mipango na malengo tunayojiwekea katika maisha.
Lakini asilimiakubwa ya watu hushindwa kufanikiwa kwasababu zifuatazo;-
Kwanza
Kutojiwekea malengo au kupoteza focus ya...
Namtafuta J.J. Mnyika wa wakati huo, sio huyu ambaye yuko cloned. Mnyika yule aliyekuwa anajenga hoja nzito, Mnyika yule akiwa hana madaraka ya chama, hamalizi muda hajatoa "jiwe", Mnyika yule mtafiti, msomi wa Maua Seminary aliyepata Division One ya "A" masomo yote.
Nini kimemfanya awe kimya...
1. Wamasai waondolewe ili wawekezaji wajenge hoteli za kitalii.
2. Wamasai waondolewe ili waarabu wapewe vitalu vya uwindaji na wamilikisshwe hayo maaneo kwa miaka 99.
3. Wamasai wamesaliana ndani ya hifadhi kiasi cha kuadhiri wanyama pori ( from 10K in 1959 to more than 100K 2017)
4. Kuna...
Bulk SMS ni huduma ya kutuma ujumbe wa maandishi kwa watu wengi kwa wakati mmoja kupitia simu za mkononi. Huduma hii inatumiwa na makampuni, mashirika, au hata watu binafsi kutuma ujumbe mfupi kwa kundi kubwa la watu, kama vile wateja, wanachama, au wafanyakazi.inatumia sender ID yako...
Ndugu zangu
Wanaume ni kweli tunapitia magumu ila kamwe tusikubali hizi dharau kutoka kwa hawa wanawake.
Ni mara mia kama unajua huwezi kuichapa uache kusumbua wanawake .
Mwenye sunstone na uko Dar es Salaam, Morogoro karibu tuzungumze
Niko katika kutafuta ya mawe ya Sunstone.
Ikiwa wewe ni mwenye kuchimba au unayo sunstone na unaishi Dar es Salaam au Morogoro, basi njoo tuzungumze.
Offer hii ni ya muda , wahi tuzungumze.
Tarehe 8 Agosti ni siku muhimu inayoadhimishwa kwa matukio tofauti duniani kote. Ingawa kila tukio lina umuhimu wake wa kipekee, yote yanashiriki lengo moja la kuhamasisha na kutoa uelewa juu ya masuala muhimu katika jamii zetu. Hebu tuangalie kwa undani zaidi matukio haya na umuhimu wake.
1...
Ifike hatua tuwe na adabu,
Jakaya kikwete ndio Rais mstaafu tuliyenaye, huyu ni msaada Kwa nchi yetu, angeamua kua kama uhuru anaweza lakini katulia na amebaki akiambiwa panda pikipiki wala hajali,
Nawapa hizi dondoo chache, fedha za SGR hadi dodoma aliacha ametafuta Jakaya, ile kijazi...
Hadi kufikia mwaka 2010 ukiambiwa huyu ni kiongozi wa Umoja wa Vijana unaanza kumpandisha kuhusu uwezo wake kichwani. Hata kama ni wa ngazi ya Kata ukimuona tu unasema "this boy is bright.
Ila siku hizi unakutana na kiongozi wa UVCCM Taiga ambaye uwezo wake kichwani hawezi kutosha kuwa...
Waafrika wanasoma vitabu, lakini Wazungu wana wasomaji wengi zaidi kuzidi Waafrika.
Kwa Wazungu, usomaji wa vitabu ni kama sehemu ya maisha ya wengi wao.
Unajua ni kwa nini? Naamini ni kwa sababu wamelelewa hivyo! Walijengewa hiyo tabia tokea wakiwa wadogo sana.
1. Wanaweza wasiwe wote...
Kunguru ni ndege mwenye sifa za kipekee sana. Mmoja kati ya ndege anayejulikana sana duniani. Je, unafahamu nini au umewahi kusikia jambo gani kumhusu ndege huyu? Ngoja tumpe maua yake.
1. Kunguru wana akili kinoma noma. Ni kama akili walizo nazo watoto wa miaka saba kwa upande wa binadamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.