Siriiiiii, kuna kundi kubwa sana la watu hawajui madhara ya kuanika mambo yao ya msingi mbele za watu.
Yaani yeye akipata dili lolote hata kabla halijatiki tayari kashawatangazia watu zaidi ya kumi, ndugu zangu hivi mnajua kuwa kwenye hii dunia tuaishi kwa kuviziana sana?
Utasikia ooooh...
Kutongoza ni mchakato wa kujuana.
Ni kitendo cha kuruhusu nyie wawili mjuane zaidi. Ndio maana hautakiwi kuacha kumtongoza mwanamke wako. Hata kama mna miaka mingapi pamoja.
Mchakato unaohusisha;
Kujuana historia zenu,
Kupata muda pamoja,
Kufurahi pamoja,
Kuchombezana,
Kufanya mapenzi, na...
Tanzania huwa hawazingatii kigezo cha akili katika kuchagua viongozi. Sehemu nyingi hawachague wenye akili. Wanachaguana tu wenyewe kwa wenyewe.
Matokeo yake unakuja yaona Bungeni. Unatizamaaaaaa.... Unasema hiii....
Leo nimesitika Mbunge anachangia Wastaafu walipwe Mafao ya Mkupuo kama Awali. Ndalichako akaInterupt na kusema Watu wanaolipwa pesa nyingi Sana ambazo si zao hivi wanastahili Kikokotoo. Yaani miaka yote hii ndio Ndalichako kaona Waanze 2022 kupunja Wastaafu akidai wataishi miaka 12. Hivyo...
Ni Jumatatu njema! Mfungo mwema kwa ndugu Waislamu!.
Vijana mimi huwa nawachora sana! Nawaangalia tokea mbali mno mnavyodanganyana kuwa ukioa muda wowote utakaotaka tendo basi ni kufunua tu sketi na kuchomeka, haya endeleeni kudanganyana.
Mimi si mara ya kwanza kunyimwa unyumba kwa sababu...
Nimekuta mjadala huu sehemu. Inasemwa kuwa mijusi ina sumu na ni hatari. Pia imesemwa kuwa Mtume alisema atakayeiua atapata thawabu. Mambo haya yana ukweli wowote?
Tunaenda kuufunga 2022, naona wadau wengi wanaenda likizo kipindi hiki.
Hivi kazi yako inakuruhusu likizo mara ngapi kwa mwaka? Hii ni kwa walioajiriwa sasa maana najua waliojiajiri asilimia kubwa hawanaga likizo.
Kila Desemba 12 ya kila mwaka, Dunia huadhimisha Siku ya Huduma ya Afya kwa Wote ambayo inalenga kutoa wito kwa Viongozi kufanya Uwekezaji wenye Tija na kuharakisha juhudi za kuelekea katika mpango wa 'Afya kwa Wote'
Katika kujenga 'Dunia Tunayoitaka', kila Mtu kila Mahali anaweza kupata Huduma...
Watu wengi hapo mjini Dar huwa wanadhani huku Mwanza samaki ni bei rahisi, yaani wanafikiri ukiwa na buku unabeba mzigo wa kutosha kumbe wapi. Mtu akisikia unaenda Dar ukitokea Mwanza kila mtu utasikia anasema niletee samaki.
Jitahidini kabla ya kuagiza kuletewa samaki mtume na hela ya...
Ni saa 5;50 tarehe 26/08/2022.
Kichwa Cha habari kinajieleza kinatutaka Kila kijana wa kitanzania, mtu mzima wa Tanzania, ambao wote tupo nje ya mfumo WA utawala tunapata picha gani ya maisha ya familia za watawala wetu?je sisi tunayaishi maisha hayo?
Wakati mtoto wa Waziri anagonga magari ya...
Pengine majibu ya swali hili yanaweza kuwavutia wanaume waliyo single kuamua kuoa na hivyo kupunguza tatizo la wadada wanaotaka kuolewa kukosa waume.
Wanaume walio single ukiwauliza wanasema:
1- Utelezi unapatikana kwa wingi mtaani.
2-Wanaweza wazalisha wadada kisha wakatunza mtoto/watoto...
Kuna Kampuni inadai wao wanajishughulisha na biashara mbalimbali, ikiwemo kuuza na kununua Mafuta oil diesel duniani, kuuza bizaa mbalimbali, kununua Madini, usafirishaji wa meli.
Wao wanadai wanesajiliwa TRA, Brella, staili yao ni Moja tu, ukiwekeza kuanzia laki moja Hadi milioni 50 ndani ya...
Umeenda mahala kula mzigo na una hamu kinyama na binti mrembo na anakubali umtafune na umvue nguo zake.
Lakini ukimvua tu nguo unakutana na chale mwili mzima za kila aina.
Hapa unapata picha gani?
Utapiga mzigo na kunasa?
Binti ni mzee wa kazi?
Habari zenu wakuu.
Kwa kadri miaka inavyosogea, ndivyo mahitaji ya huduma za haraka na zenye ufanisi yanaongezeka.
"Being Quick, Efficient and Consistent is being Good"
Kasi ya maisha ya mwaka 1980 haiwezi kuwa sawa na ile ya 2020.
Katika taratibu za kawaida za kazi, kuanzia siku ambayo...
Kichwa cha habari kinajieleza, niunganisheni wadau.. nguo kali mno, nicheki kwa 0738664971 tunauza jumla na rejareja. Mfanyabiashara usipate tabu ya kufungiwa usichojua kuna nini ndani, nimekurahisishia nguo Kali kwa bei poa
Wana Jf
Nimefanya ziara ya kiutafiti wa sehemu inayoweza kustawisha zao la kibiashara kwa ubora wa juu. Nilishangazwa kukutana na maendeleo yaliyopo mkoa wa kagera. Hususani nyumba za kifahari ambazo ukikusanya unaweza kupata mji wa Arusha. Nlijiuliza kwanini wahaya hawajengi mji. Kumbe wana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.