unapata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ego is the Enemy

    Huwa unapata wazo gani unaposikia online business

    Uzi tayari. Mana utaambiwa ni hela unatengeneza huku umekaa tu
  2. Ramon Abbas

    INAUZWA kwa laki 6 tu, unapata pikipiki cc 150 gia 5

    pikipiki chapa Gsm. Full Docs. cc 150, 5 gears. Haina changamoto zozote ni kuwasha na kuamsha Spea zake zinaingiliana na fekon, KiNGLION, San lg ipo Dar. Mbagala Zakhem
  3. comte

    Askofu Shoo, samahani unapata wapi nguvu za kuihukumu Serikali kuwa imemuonea Mbowe?

    Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
  4. MakinikiA

    Dkt. Mpango muoneshe Waziri wa Fedha wapi ulikuwa unapata pesa za kufanya miradi ili asiumize wananchi

    Naomba utawala huu uwe makini sana katika maamuzi yanayokwenda kugusa maisha ya Mtanzania kwa sababu Watanzania bado wanamachungu sana na majonzi sasa Serikali iliyopo badala ya kutufariji inatuongezea tabu. Muwaulize wenzenu walikuwa wanakusanya wapi kodi mnasababisha mfumuko wa bei usio wa...
  5. GENTAMYCINE

    Rais Mstaafu Kikwete unapata Faida gani Kujionyesha Wewe ni mwana Yanga SC sana na kuwa na 'Kiherehere' Kuhudhuria Mikutano yao?

    Marehemu Mzee Rashid Mfaume Kawawa (RIP) alikuwa ni Simba SC "lia lia' ila hakuwa na 'Kiherehere' alichonacho Rais Mstaafu Kikwete kwa Yanga SC. Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Mwinyi ni Simba SC 'ndaki ndaki' ila hakuwa na 'Kiherehere' kwa Simba SC kama ulivyo Rais Mstaafu Kikwete...
  6. Replica

    Esther Matiko: Umeme Tanzania ni Ghali sana, Kagera elfu 10 unapata unit 80 kutoka Uganda badala ya 28

    Mbunge wa viti maalum kupitia chama cha CHADEMA, Esther Matiko amelalamikia gharama kubwa za umeme Tanzania huku akitolea mfano wakazi wanaoishi Kagera na kutumia umeme kutoka Uganda wanalipia 10,000 na kupata unit 80 ilihali kwa fedha hiyo Tanzania inanunua unit 28 pekee.
  7. M

    Unapata wapi ujasiri wa kufanya sherehe wakati ndugu zenu wanaonewa

    Hii ilikuwa Alhamisi na ijumaa iliyopita.
  8. Latifasaid

    Kwa mahitaji ya viwanja maeneo ya kigamboni, Bagamoyo, Dodoma unapata kwa bei poa. Malipo ni kwa awamu ndani ya mwaka na ukitaka kulipa kwa mkupuo pia

    Habari zenu ndugu jamaa na marafiki. Huu ni wakati sahihi wa kumiliki kiwanja chako kwa bei nafuu pia ulipaji wake ni wa awamu yaani kidogo kidogo. Viwanja vipo karibu na barabarani na vishapimwa kabisa. Kampuni yetu ipo tayari kukuhufumia ndugu mteja. Karibu tukuhudumie. Kwa mawasiliano...
  9. Nigrastratatract nerve

    Rais Samia: Dar kuna Watu wanajaribu kupima kina cha maji, viujambazi ujambazi na uporaji vimeanza kuja juu

    “Leo nimesoma mtandaoni, Dar es salaam kuna Watu wanajaribu kupima kina cha maji, viujambazi ujambazi na uporaji vimeanza kuja juu, naomba nitoe meseji wasijaribu kina cha maji, IGP upo hapa, mitandaoni wanamtaja Afande mmoja alikomesha ujambazi, wanasema ‘Mama turudishie’, IGP kaliangalie hilo...
  10. Viol

    Nguvu za kutamka 'nina mimba yako' unapata wapi?

    Umepewa nauli, umelipwa kama short time unapata nguvu gani kusema nina mimba yako? Halafu nina mimba yako nafanyaje? Unakujaje uko danger? Tembeeni na kinga siyo kujiachia kama mkasi.
Back
Top Bottom