unapenda umwambie

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Jambo gani unataka kumwambia mtu lakini hujamwambia, kwanini?

    Kwema wakuu. Jambo gani umekuwa unataka kumwambia mtu lakini hujamwambia, huenda ni kumpa pole, kumuomba msamaha, kumshukuru kwa jambo, kumwambia jinsi gani unampenda. Share jukwaani ni jambo gani? Kipi kinakukwamisha kufanya hivyo?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…