Jambo gani unataka kumwambia mtu lakini hujamwambia, kwanini?

Jambo gani unataka kumwambia mtu lakini hujamwambia, kwanini?

Nomadiq

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2025
Posts
8,572
Reaction score
22,926
Kwema wakuu.

Jambo gani umekuwa unataka kumwambia mtu lakini hujamwambia, huenda ni kumpa pole, kumuomba msamaha, kumshukuru kwa jambo, kumwambia jinsi gani unampenda.

Share jukwaani ni jambo gani?
Kipi kinakukwamisha kufanya hivyo?
 
Nawa ambia Wana jf kuwa Half american a.k.a nusu albino ndie haji manara.
FB_IMG_17451640608375884.jpg
 
Back
Top Bottom