Jambo gani unataka kumwambia mtu lakini hujamwambia, kwanini?

Jambo gani unataka kumwambia mtu lakini hujamwambia, kwanini?

Kuna mdogo wangu baba mkubwa huwa akija nyumbani kwangu anakuja mida ya kula ili agongee msosi, kuna watu hawana aibu kabisa

Yani kuna siku alikuja na tulikula mapema, eti akalala kwenye sofa na soksi zake zilizotoboka ikabidi tu ugali usongwe nikaliamsha lile.

Ana hela zake nzuri tu, sio kwamba ana njaa ya msosi. Ila aibu hana

Though kuna mtu alinambia jaribu kukaa nae karibu labda kuna jambo linamtatiza. Bado sijaelew

Bado sijapata nguvu ya kumkataa
Wako wengi wa dizaini hiyo mkuu lakini ndo hivyo tena.

Hii tabia ya mtoto wa kiume kupenda vya bure hata Poor Brain anaipiga sana vita.
 
Wako wengi wa dizaini hiyo mkuu lakini ndo hivyo tena.

Hii tabia ya mtoto wa kiume kupenda vya bure hata Poor Brain anaipiga sana vita.
Kuna mda watoto wanalushwa na kulazwa mapema ili nipate mda mzuri wa kula na mke wangu. Watoto wasizingonge, ila amaa anakula pale story za siasa dah instead of having dining experience, na mchana nimekula kwa restaurant jau sana
 
Mkuu badilisheni ratiba ya kula ili huyo jamaa ajishtukie 😂😅.
Ila labda anakuja kupata kampani sababu ya upweke.
 
Back
Top Bottom