secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Hapana mbege ikiwanogea itawazubaisha aise.We ndio unawaangusha wenzako badala ya uwasafirishie mzigo wa mbege uwachangamshe changamshe unalalamika tu
We angalia performance ya Manchester united tangu Ommy dimpoz alipopewa tenda ya kuwapelekea mbege.
Wamedrop kinoma.