Sio kukuua tu na kukuchoma na magunia ya mkaa😂😂😂
Na vile masikini walivyo na nguvu wanaweza niua.
😂🤣😂😂😂🤣😂Sio kukuua tu na kukuchoma na magunia ya mkaa
Na sio kukuchoma tu na wanayachukua majivu yako wanayavuta kama bangi😂😂😂😂🤣😂😂😂🤣😂
🙌🙌
Hahaha hujasoma katiba Ibara ya 7 kifungu kidogo bRais Intelligent businessman kumbe haturuhisiwi hata kudinda member wako
🤣🤣🤣🤣🤣Na sio kukuchoma tu na wanayachukua majivu yako wanayavuta kama bangi😂😂😂
Tunakukubali muheshimiwa... Sera ziko wazi so kutoboa lazima😅😅😅Wanangu ma jobless pro max, msijali tuta toboa tu.
min -me, Selikavu, dosho12, Thecoder, Edo kissy, makutupora Razorblade
Daah yani wewe, hapo bado hujachanganyikiwa.Mshangazi dot com utabaki kuwa wife,kuchepuka na Nusratt haimaanishi sikupendi. Sijui hata naandika nini ila ndo hivyo nawapenda wote, nitafanyaje sasa !😌
heey mamboNatamani kumwambia Mungu why in deep ila kila nikiwaza nasema mimi ni nani? Acha vibaki vilivyo
Hakuna, ila kuna mtu humu namfuatilia ni kama nimemwelewa hivi 🤭 😂 😂Kwema wakuu.
Jambo gani umekuwa unataka kumwambia mtu lakini hujamwambia, huenda ni kumpa pole, kumuomba msamaha, kumshukuru kwa jambo, kumwambia jinsi gani unampenda.
Share jukwaani ni jambo gani? Kipi kinakukwamisha kufanya hivyo?
😂😂😂Sikusoma mkuu No me without God amenikumbusha hapa acha nikakipitieHahaha hujasoma katiba Ibara ya 7 kifungu kidogo b
duhKuna mdogo wangu baba mkubwa huwa akija nyumbani kwangu anakuja mida ya kula ili agongee msosi, kuna watu hawana aibu kabisa
Yani kuna siku alikuja na tulikula mapema, eti akalala kwenye sofa na soksi zake zilizotoboka ikabidi tu ugali usongwe nikaliamsha lile.
Ana hela zake nzuri tu, sio kwamba ana njaa ya msosi. Ila aibu hana
Though kuna mtu alinambia jaribu kukaa nae karibu labda kuna jambo linamtatiza. Bado sijaelew
Bado sijapata nguvu ya kumkataa