Mashine hii portable itakusaidia kufungua au kurahisisha biashara yako ya unga wa lishe, sembe, dona n.k
Inatumia umeme wa nyumbani tu na ina uwezo wa kusaga kilo 300 kwa saa na kukoboa kilo 200 kwa saa.
Complete na mota na kila kitu bei ni million 2 tu.
Tupigie 0636751473
Mbezi mwisho (mbezi...
Nahitaji Unga wa Uwanga
(arrow roots powder)
Habari zenu, naomba mtu anayejua sehem naweza kupata Unga wa Uwanga(arrow root powder), nahitaji mwingi hata kama tone 5 unazo au unajua zilizo.
Nanunua kg kwa tsh 3,000/-
Tuwasiliane+255 620 304 289
Kuna ule mlenda huwa unapikwa kutokana na majani fulani yanayosagwa kama unga, unaitwa mlenda wa unga.
Haya majani yanayotengeneza huu mlenda wa unga yanapatikana wapi?
Yanauzwa sokoni kama mboga ?
Unaweza kuyapikia mlenda yakiwa mabichi(hayajakauka) kama mboga nyingine za majani?
huwa napenda kufanya uchunguzi hasa wa tiba za asili, miaka ya nyuma brother Mshana Jr alinipa funzo katika matumizi ya chumvi ya mawe niliitumia tiba hii kwa muda wa mwaka mzima japo kidogo nilikuwa nikikosea kwenye matumizi.
Ili kujitakasa kwa kutumia chumvi inatakiwa uogee sehemu isiyokuwa...
Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mohamed Hassan Moyo amegawa mahitaji ya mapishi kwa vitendo kwa ajili siku ya Afya na Lishe ya kijiji, hayo ameyafanya Novemba 22, 2024 alipokua katika kikao cha tathimini ya mkataba wa Lishe robo ya kwanza kwa mwaka wa fedha 2024/2025.
Mahitaji hayo ni sukari...
Huwa naona watu wanatumia sabuni za aina mbili katika kufua, mtu analoweka nguo kwa sabuni ya unga kisha baadaye anatumia sabuni ya kipande wakati anazifua!
Sasa hii maana yake huwa ni nini? Kwamba sabuni ya unga haitoshi kutakatisha nguo wakati wa kufua? Sijawahi kuolewa mantiki ya hili jambo.
Mwani(Seamoss) ni miongoni mwa mimea inayopatikana baharini, ikichukua sehemu ya ikolojia ya bahari kwa kulea na kulisha viumbe wengine baharini.
Hivi karibuni kilimo cha mwani kimeongezeka sana katika ukanda wa pwani ya Afrika Mashariki hususa visiwa vya Zanzibar na Mafia.
Kama ndio mara ya...
Upatikanaji wa ndimu umekuwa adimu sana kipindi hiki na bei zake zimechangamka sana.
Mbadala wa wafanyabishara wengi wa chakula wanatumia ndimu ya unga, na ni sehemu nyingi sana kwa sasa ndio ndimu wanayoitumia.
Ndimu ya unga ni kisababishi kikuu cha kulegeza uume , hivyo kwa hii hali...
Hali iko vip pande hzo, hawali ilikuwa ni elf 2000 na Sasa inashuka kwa kaz kuna jamaa hapa kanitonya kuwa itashuka hadi kufikia Mia nane hadi wa tisa, mahind I ni mengi sna safari hii na mkulima kala chali tena kwani bei imekuwa sokoni wenda kuuza gunia kwa elf 20
Waziri wa kilimo hii siyo...
'Unga' wa Exhaust za magari unatokana na madini ya palladium. Kwa jina Masega
Palladium ni chuma adimu chenye thamani kubwa kwa sababu ya matumizi yake muhimu katika sekta mbalimbali, hususan kwenye magari na teknolojia nyingine.
Thamani yake inatokana na katika utengenezaji wa vifaa vya...
Mtangazaji Nguli, Mwanahabari na Mwandishi wa habari mashuhuri Afrika Mashariki na Kati, Salim Kikeke amejiunga na Redio/TV ya Crown FM/TV inayomilikiwa na Alikiba.
Hii ni baada ya Alikiba kusasisha video inayoonyesha Salim Kikeke akikataa kupokea simu ya Wacha Fu FM inayotafsiriwa kuwa ni...
Wadau hamjamboni nyote?
Nimeona niwape tahadhari kabla ya kuwatakia usiku mwema
Ni kwa wale Ndugu zangu wanaopenda kunywa uji wa ulezi kama mimi hapa.
Huu ni utafiti usio na chembe ya uongo kuhusu uji wa ulezi unaouzwa kwa kutembezwa barabarani na Wamama hususani hapa Dar es salaam
Inadaiwa...
Habari,
Nina Muhogo Mbegu Ya Mkombozi Tani 70, Zipo Tayari Kwa Matumizi Ya Kusaga Unga Wa Muhogo. Location Biharamulo Kagera. Tuwasiliane Kama Unauhitaji Au Una mteja. Kiasi Cha Chini Kuchukua Ni Tani 10. Wasiliana Na Mimi Kwa Email drcezzane@gmail.com
ASANTE
Kuna uzushi umeenea sana kwenye magroup ya WhatsApp kuhusu unga wa mahindi kama inavyoonekana kwenye picha.
Mwanzoni nilipuuzia ila kila group naikuta. Kimsingi wabongo elimu ya fortification (uongezaji virutubishi kwenye unga kwa ajili ya kupunguza utapiamlo na udumavu bado hawajaielewa.
Kuna...
Kweli mapenzi hayana cha ustaa wala umaarufu yakiamua kukunyoosha yanakunyoosha bila kujali ni mtu wa aina gani.
Ni wazi bado mwanamama Shakira anateswa na zimwi la penzi la Gerald Pique, kuzidi kumuongelea mara kwa mara kwenye interviews inadhihirisha bado anamuelewa sana mwamba, sijui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.