Hivi karibuni, Rais wa Baraza Kuu la 77 la Umoja wa Mataifa (UNGA) Csaba Korosi alifanya ziara ya siku nne nchini China, ambapo alikutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa ngazi ya juu wa serikali ya China.
UNGA ni chombo kikubwa cha majadiliano cha Umoja wa Mataifa, na ni jukwaa muhimu kwa...
Wadau, hususan TFDA (The Tanzania foods and drugs authority), ni kwa muda mrefu nimekuwa na tashwishi ya kutaka kujua kuhusu madawa/virutubisho (fortifications) zinazotiwa na wasagaji katika unga wa sembe nk , maswali yangu kwa wahusika au kwa mtu yeyote anajua kuhusu hayo madawa/virutubisho ni...
Wanafunzi wanaosoma shule ya Msingi Ungalimited Jiji la Arusha wamelazimika kukaa chini kutokana na uhaba wa madawati huku uongozi ukidai ni kutokana na ukarabati wa vyumba vya madarasa unaoendelea katika shule hiyo kongwe.
Hata hivyo Ofisa Elimu Msingi Jiji la Arusha,Hosseni Madengale amesema...
Hivi karibuni kuna kocha wa makipa alikamatwa na madawa ya kulevya. Haraka haraka simba wakatoa taarifa ya kumkana kuwa hakuwa mwajiriwa wao japo.
Mda utaongea zaidi
Nawaza tu kama unga mfuko mmoja wa kilo 25 umefikia shilingi 42000 huku kijijini kwetu, je itakapofika januari itakuaje?
Serikali iliangalie hili gharama ya unga iko juu sana, tutakufa njaa.
Kwa Tanzania kama uchumi wako sio wa walamba asali, wala keki ya taifa usinunue brand nyingine ya gari zaidi ya Toyota.
Kununua Toyota ni kujihakikishia uwepo wa wateja na pia kupata thamani nzuri ya gari yako pale utakapoamua kuiuza.
Kuna watu wapumbavu huwa wanauliza eti kwani unanunua gari...
Wadau nimeamua niulize hili swali ili nipate uhakika!
Ni usiku huu nipo nimetulia hapa mageto nasikiliza Clouds FM, nadhani itakuwa ni kipindi cha Soso Fresh Friday (sina uhakika), Adamu Mchomvu anahojiwa na Meena Ally na Soudy Brown nadhani ni kuhusu Fiesta sijui, Mchomvu yupo Kigamboni...
Sehemu ya 1:
Nyasule Suleiman, mwanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya Sekondari ya wasichana ya Jangwani, alimuaga mama yake aliekuwa kwenye genge lake la kuuza nyanya asubuhi hii ya jumatatu,kuwa anaelekea shule. " Mama, mimi naenda shule, tutaonana baadae", Nyasule alimuambia mama yake...
Wakati bei za vyakula zikizidi kupanda katika maeneo mbalimbali nchini, wakulima wametaja sababu tatu za hali hiyo, wakiitaka Serikali kuingilia kati.
Miongoni mwa sababu hizo, eneo ambalo wanataka Serikali iingilie kati ni kufurika kwa wanunuzi wa nafaka kutoka nje ya nchi. Sababu nyingine ni...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amewasili Jijini New York nchini Marekani ambapo anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Baraza Kuu la 77 la Umoja wa Mataifa (UNGA).
Makamu wa Rais...
Rais Ruto wa Kenya amesema hatoendelea kutoa ruzuku ya unga na badala yake atasaidia wakulima wadogo na wakubwa kufanya uzalishaji ambao utapunguza bei ya bidhaa hizo.
Bei ya unga nchini Kenya ilipanda sana kutokana na vita vya Ukraine na Urusi ambapo serikali chini ya Rais Uhuru Kenyata...
Wizara ya Kilimo imethibitisha uamuzi huo huku ikitaja sababu kuwa ni kuzidiwa na malimbikizo ya madeni yaliyopelekea wafanyabiashara wa kati kulipwa mamilioni ya pesa huku wauzaji reja reja wakikosa zabuni.
Wasagishaji Unga wamelalamikia uamuzi huo unaoanza leo Septemba 2,2022 wakidai kuwa...
Wakenya watalazimika kuanza kununua Unga kwa bei ya juu baada ya serikali kusimamisha Mpango wa Kitaifa wa Ruzuku ya Unga wa Mahindi kutokana na uhaba wa fedha
Waziri wa Kilimo, Peter Munya kupitia taarifa yake leo amethibitisha hilo kwa maelezo kuwa Hazina ya Taifa haijatoa pesa za Ruzuku...
Siku 10 tangu Serikali ya Kenya kutangaza kushusha bei ya unga wa mahindi kuwa Ksh. 100 kutoka Ksh. 200 kwa kilogram 2, uhaba wa bidhaa hiyo umekuwa mkubwa katika maduka mengi.
Wauzaji wengi hawana unga na wale wachache wenye unga huo ambao zaidi unatumika kupikia Ugali wanauza kwa zaidi ya...
Bei ya Unga wa mahindi nchini Kenya itashuka kutoka Ksh. 230-100 kuanzia leo Julai 18
Hii ni baada ya Serikali ya Kenya kutoa ruzuku kwa bei ya uzalishaji wa bidhaa hiyo kwa muda wa wiki 4.
Katika muda wa wiki 4, Wizara ya Kilimo italipa sehemu ya gharama ya kuzalisha Unga, ili kuwaepusha...
NIMEAMUA KUMPELEKA SHEMEJI YANGU MAHAKAMANI
Anaandika, Robert Heriel.
Haki lazima ikatendeke!
Mbwembwe zangu zote lakini naishi Kwa Shemeji. Kuna wakati nakaa nawaza Kama nisingekuwa na Dada ingekuwaje, maana ndugu zangu wote wa kiume Hali zetu dhoofu ilhali Kama Yukreini. maisha yametupiga...
Bei ya mahindi nchini Tanzania inaogofya sana hadi kufikia 100000-130000 kwa gunia la kilo 100 kwa baadhi ya mikoa ya nchi hii.
Kupanda kwa bei ya mahindi imepelekea wananchi wa kawaida kununua unga wa kupikia ugali kati ya 1400-2000 kwa kilo moja, hali ya upatikanaji wa chakula hicho inazidi...
Leo nimenunua sufuria moja dogo kwa shilingi 2000 na bei ya unga mtaani kwangu kwa kilo ni sh 2200.
Kwa lugha nyepesi ni rahisi kula masufuria na mboga kuliko kula ugali na mboga.
Yapi maoni yenu wakuu.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linamshikilia mkazi wa kijiji cha Bwembwela wilayani Muheza kwa tuhuma za kumuua, Eliasa Omari (55) kwa kumkata mapanga akidai kumuibia unga na dagaa.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatano Aprili 20, 2022 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Safia Jongo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.