JF ndio kisima cha maarifa.
Katika kujiandalia lishe bora ya ugali nimechanganya kg 10 za mahindi na kg 3 za soya. Nilianza kwa kuchemsha soya na kuzianika siku 2.
Tatizo unga umetoka na harufu mbaya sana, naiondoaje jamani? Wakati huu wa dunia ya kula kwa sababu na malengo soya ni kitu...
Asikwambie mtu chuo kinapendezaa. Hawa 1st year walioshushwa hapa ni wa kiwango cha kimataifa.
Nimeshazunguka kwenye major varsities kama UDSM, IFM, SUA, UDOM, Iringa University na SAUT kwa hiyo nazijua standards za vyuo vikuu.
Yaani kama nyumba yako sijui ndio kwanza iko kwenye lenta au...
Uwezo wake ni kukanda kilo 12.5
Ina mikono mitatu
Ni stainless steel
Ina nguvu
1 year warranty
Bei:1,650,000Tsh
Tupo kkoo mtaa wa masasi
Mikoani tunatuma
0788622610
Serikali ya Burundi imepiga marufuku uingizaji wa mahindi na unga nchini humo kutoka nje ya nchi wakihofia kuwemo kwa sumu kuvu katika punje za mahindi.
Marufuku hiyo itadumu kwa miezi sita kuanzia 08/03/2021
My take; Tanzania tujipange vizuri haya ndio masoko yetu.
Pia soma > Kenya yatangaza...
Nahitaji kuprint mifuko ile ya kuwekea unga..
Logo ninayo tayari
Nahitaji kujua gharama ni zipi kwa mfuko kg 5 na kg 25
Na mnaanza kuprint kuanzia pc ngapi
Mnatumia tecnolojia ipi
Kuprint au muhuri??
Nipen gharama za kila teknolojia
Kuhusu mahindi yetu kuwa Yana sumu au hayana sumu, mamlaka husika zihakiki ubora huo kwenye viwanda maalum vya kusaga mahindi yetu vitakavyo kuwa vimeidhinishwa angalau kila mkoa. Vilevile madawa yenye sumu yadhibitiwe yasiweze kumfikia mkulima ikiwa ni pamoja na kutoa elimu kwa wakulima wetu...
Mama lishe mkoani Mtwara wameiomba serikali kuingilia kati upandaji holela wa bei za mafuta ya kula na unga wa ngano.
Wajasiriamali hao wamedai upandaji bei wa bidhaa mbalimbali kiholela unawafanya wapate hasara kubwa katika shughuli zao na endapo serikali haitaingilia kati hali itakuwa mbaya...
BODI ya maziwa nchini imekamata tani tatu za maziwa ya unga ya 'Cowbell' yaliyokuwa yanakaribia kuishiwa muda wa matumizi yakiwa yameongezwa muda wa matumizi zaidi.
Akizungumza Jijini Dar es Salaam Kaimu Msajili wa Bodi ya Maziwa Nchini Noel Byamungu amesema walibaini kitendo hicho katika...
Wakuu habari za Wakati huu
Twende kwenye mada
Nilikuwa nahitaji kufahamu kama ni kweli kuna baadhi ya Sabuni za Unga unapozitumia mara kwa mara au zaidi ya mara moja huwa zinapausha Nguo?
Kama ni kweli, Je ni Kampuni ipi ambayo Sabuni zao huwa zina Ubora ambao pia hauna athari kwa mtumiaji.
Jana nilipaki gari yangu mahali kama dakika tano hivi nikashuka kununua matunda.
Kurudi nawasha gari inatoa mlio krrrrr lakini starter haipigi. Kifupi haikuwaka. Hangaika sana pale.
Nikasema si nilikua naiendesha sasa hivi? What happened... Nikashuka nikafungua boneti, nikachek Coolant ipo ya...
Katika kuhakikisha kazi yako inakuwa safi na nadhifu kabisa. #watusmartpackaging tunajuza leo mambo muhimu kabla ya kuchapisha mifuko toka kwetu au sehemu nyingine.
1. Artwork /picha Kabla ya kuchapisha mifuko ya kuwekea unga ile ya viroba au ya salfeti ni muhimu kuwa na mchoro au picha ambayo...
Sijui mimi ni mshamba au vipi! Lakini ukweli ni kuwa inaonesha unga huo umekuwa dili, unatolewa sana.
Sasa je, hakuna madhara kwenye gari lililotolewa huo unga?
Mgombea urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema ni kweli ana tiketi ya ndege ya kuondoka nchini kwenda Ubelgiji Desemba 18, 2020.
Amesema hayo kumjibu mgombea wa urais kupitia CCM, Dkt. John Magufuli ambaye alisema ana taarifa kuna baadhi ya wagombea wana...
Umoja wa Mataifa unatimiza miaka 75 mwaka huu; Mkutano Mkuu wa Baraza la Umoja wa Mataifa ulitakiwa kuwa mkutano mkubwa hasa kutokana na kusherehekea Jubilee hiyo ya Platinamu. Kama ilivyokuwa kwa miaka 74 iliyopita, viongozi kutoka mataifa mbalimbali duniani husafiri na kukusanyika mjini New...
Leo Mh Paramagamba Kabudi amehutubia mkutano wa 74 wa Umoja 2a Taifa jijini NewYork marekani.
Tanzania tumedhamiria kubadili maisha ya watu wetu: Kabudi
Palamagamba Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania akihutubia Mjadala Mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.