union

  1. kipara kipya

    Simba wameingia cha kike coastal union mangushi wana wali ng'ombe hawajawahi kushindwa kesi ya usajili!

    Simba wajipange kama wamefanya ujanja ujanja kutaka kutangaza mke kabla ya kumlipia mahari wala kutambulika rasmi,tangu dahali na dahali coastal union hawajawahi shindwa kesi wamuulize Aden Rage aliwahi kuifungia na kusema ameifuta kwenye kwenye vitabu vy FAT.kama wamejipanga waende watakako...
  2. D

    coastal union wamesema awaja muuza lameck lawi, simba wame sign lawi gani??

  3. Mad Max

    FT: Federation Cup: Azam FC 3 - 0 Coastal Union | 18 May 2024 | CCM Kirumba Stadium

    Tumeanza mechi. Kikosi cha Azam FC kinachoanza Kikosi cha Coastal Union kinachoanza Dakika ya 41 Azam wamepata penalty... Gooooal - Sopu
  4. vvvv

    Je Coastal Union akishika nafasi ya nne ataenda kombe la shirikisho?

    Wakuu naomba kufahamu, Je iwapo Coastal Union akabaki kwenye nafasi ya nne ligi kuu ataenda kushiriki kombe la shirikisho Africa? Je bingwa wa CRDB Confederation akiwa Azam au Coastal ataenda club bingwa au shirikisho? Na je Yanga kama bingwa wa ligi kuu na akawa wa bingwa wa shirikisho...
  5. MwananchiOG

    Coastal Union Fc wakipambana wanaweza kushika nafasi ya tatu

    Kwa mwenendo wa Ligi ambayo bado mbichi, endapo coastal union wakiongeza juhudi hakika wanaweza kushika nafasi ya tatu.KMC nao sio wabaya, Nafasi ya nne pia iko wazi kwao.Wapambane
  6. kiwatengu

    FT: Yanga 1 - 0 Coastal Union | NBC Premier League | Azam Complex | 27. 04. 2024

    🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Yanga 🆚 Coastal Union 📆 27.04.2024 🏟 Azam Complex - Chamanzi 🕖 12:00 Jioni. Tukutane hapa kwa updates #Daimambelenyumamwiko# Kikosi cha Yanga kinachoanza. Kikosi cha Coast Union Kinachoanza Updates... 1' Yanga wanafanya Shambulizi kali, Guede anakosa...
  7. Jamii Opportunities

    African Union Vacancy - English Interpreter/Translator

    African Union Vacancy – English Interpreter/Translator African Union Vacancy – English Interpreter/Translator African Union (AU) Arusha Location: Tanzania Organization: African Union AU Values Respect for Diversity and Team Work Think Africa Above all Transparency and Accountability...
  8. mchawi wa kusini

    Kitu kilichoipelekea Soviet union hadi ilivyoanguka

    Habari Ya muda huu JF Unajua nini kiliiepelekea soviet Union kuanguaka fuatana na mimi. SOVIET UNION ILIVYOANGUKA- UADUI NA MAREKANI: Wengi mmesoma au mnakumbuka miaka ile ya vita baridi kati ya USA(Marekani) na Soviet Union(Urusi) na kuletea hali ya kuwa na wasiwasi pengine vita ya 3 ya dunia...
  9. uran

    FT: Coastal Union 1-2 Simba SC | NBC Premier League| Mkwakwani Stadium| March 09, 2024

    Leo 09.03.2024 Muda wa Saa 12 Jioni. Coastal Union ya Tanga, Inaikaribisha Simba SC ya Dar es salaam katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara. Simba huu ni mchezo wake wa 17, ikiwa na Alama 36. Nafasi ya Tatu(03) katika msimamo. Coastal Union huu ni mchezo wake wa 20, Alama 27, Nafasi ya Nne...
  10. Kiweriweri

    FT: Azam 1-1 Coastal Union

    Bora wote tupoteze
  11. Mjanja M1

    Picha: Sanamu ya Nyerere Makao Makuu Umoja wa Afrika, ni yeye au lah?

    Taswira ya Sanamu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyowekwa kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa kwa ajili ya kutambua mchango wake katika masuala ya ukombozi Barani Afrika tarehe 18 Februari, 2024. Ikumbukwe kuwa katika uzinduzi wa hifadhi ya Burigi...
  12. R

    East Africa Union tarrifs

    East Africa Union Tarrifs ni makubaliano nadani ya nchi za Afrika Mashariki kwenye issue ya mipaka na ulipaji wa kodi za uingizaji bidhaa. Kwa maoni yangu hii sheria ina mapungufu mengi sana japo watu wengi hawajui. Harmonised System Codes (HS Codes) zinazotumia kwenye kwenye mipaka (Customs)...
  13. Zombie S2KIZZY

    Costal union vs 5

    Tafadhali Sana costal union, sisi ni ndugu zenu kuanzia rangi mpaka kushea kocha hivyo basi Leo mnapoenda kupambana na hawa wanaogawa Tano (5). Naombeni mtulipizie kisasi maana wametudhalilisha Sana sie ndugu zenu. Mnakumbuka mwaka 1988 tulivyowasaidia kuwapiga utopox ili nyie mchukue ubingwa...
  14. Vincenzo Jr

    FT | Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBC premier league | CCM Mkwakwani | November 8, 2023

    Naam leo ndo leo ndani ya Mkwakwani Tanga baada ya wananchi kutoka kumpiga mtani wao goli 5 leo wanakutana na Coastal union je, watoto wa Tanga watakubali kupigwa 5? Kikosi cha Yanga Mchezo umeanza
  15. uran

    Coastal Union 0 - 1 Azam SC| NBC Premier League | Mkwakwani Stadium | 06.10.2023

    Haya!! Baada ya mjadala mzito wa Makundi, Turudi kwenye ligi yetu pendwa, inayojizolea mashabiki wengi kila kukicha. Game Day. 06.10.2023 FT: Tabora FC 2 - 1 Dodoma Jiji. Next Match, ni mechi ya kisasi. Coastal Union Vs Azam Muda ni saa Moja jioni. Tukutane Saa 1:00 Azam.
  16. Uwesutanzania

    Nilichogundugua kwenye mchezo wa leo wa Simba v Coastal Union

    Ni kama Simba sc haikwenda kushinda ule mchezo ila makosa ya wachezaji baadhi yakapekekea Simba sc kuondoka na ushindi,. 1. Baleke: Nimeona magoli aliyeshinda huyu jamaa nikama vile amekaidi kitu flani na hayakuusishwa sana na msaada wa wachezaji wengine. Ni kama timu ilitaka...
  17. Suley2019

    FT: Simba 3-0 Coastal Union | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 21.09.2023

    Leo saa 10:00 jioni Simba SC itakuwa kibaruani kucheza dhidi ya Coastal Union katika dimba la Uhuru Dar es Salaam. Ni mchezo wa raundi ya tatu ya NBC Premier League ambapo kila timu inahitaji alama tatu ili kujiweka katika nafasi nzuri kwenye msimamo wa ligi. --- Kikosi cha Simba kinachoanza...
  18. Jamii Opportunities

    Performance Measurement and Pay-for-performance Expert at Universal Postal Union September, 2023

    Position: Performance Measurement and Pay-for-performance Expert Grade: P3 Type of Contract: Fixed-term (Non-Core) Appointment Duration: Three years Organizational Unit: Postal Operations Directorate (DOP ) EMS Unit Duty Station: Bern Switzerland Scheduled date for taking up appointment: As soon...
  19. Jamii Opportunities

    Digital Inclusion Expert at Universal Postal Union September, 2023

    Position: Digital Inclusion Expert Grade: P2 Type of Contract: Fixed-term (Non-Core) Appointment Duration: Until 31 December 2025 Organizational Unit: Policy, Regulation and Markets Directorate (DPRM) Digital and Trade Policy Duty Station: Bern Switzerland Schedule date for taking up...
  20. BARD AI

    Viongozi wa Nchi za G20 waridhia Umoja wa Afrika kuwa Mjumbe wa Kudumu wa Jukwaa hilo

    Mkutano wa Jukwaa Kuu la Ushirikiano wa Kiuchumi wa Kimataifa la Group of Twenty (G20) limetoa baraka za kuupa Umoja wa Afrika Ujumbe wa Kudumu katika Jukwaa hilo ambapo sasa AU itakuwa na hadhi sawa na Umoja wa Ulaya (EU). Kwa uamuzi huo, AU itakua na sauti kwenye Kura za Maamuzi yatakayogusa...
Back
Top Bottom