Tafadhali Sana costal union, sisi ni ndugu zenu kuanzia rangi mpaka kushea kocha hivyo basi Leo mnapoenda kupambana na hawa wanaogawa Tano (5).
Naombeni mtulipizie kisasi maana wametudhalilisha Sana sie ndugu zenu.
Mnakumbuka mwaka 1988 tulivyowasaidia kuwapiga utopox ili nyie mchukue ubingwa...