union

The UNION of European Practitioners in Intellectual Property, or UNION-IP, is a European association of practitioners in the field of intellectual property. It was founded in 1961 under the name was "UNION of European Patent Attorneys".

View More On Wikipedia.org
  1. Pichani ; Mnyama mkali Simba sc akiwa mazoezini kumuwinda Coastal Union #TunaitakaFainali

    Kikosi cha kilabu ya mnyama mkali mwituni Paka fc, Wakiwa katika mawindo ya kumuwinda Coastal union fc katika mchezo utakaochezwa hivi karibuni. Watu hao wasiofahamika na wasiojulikana wanajihusisha na shughuli gani nchini, walionekana wakikimbia kimbia na kuruka ruka hapa na pale pasipokuwa na...
  2. M

    Marefa wa bongo hovyo sana

    Refa amekataa goli halali kabisa la singida big stars dhidi ya coastal union. TFF fungieni hawa marefa wanaharibu sana ligi.
  3. Wale 'Team Mungu Mtu Chama' niambieni leo amecheza nini dhidi ya Coastal Union FC kwa Mkapa?

    Najua Kocha Mgunda ni Muoga na aliogopa Lawama Kumtoa ila kama kuna Wachezaji ambao leo wamecheza hovyo / vibaya na najua Kocha wangu Mkuu, Fundi na Mtaalam Roberto Olivieira angekuwepo angewatoa hata dakika ya 15 tu ya Mchezo walikuwa ni Clatous Chama na Pape Ousmane Sakho. Ni mpaka uujue...
  4. Azam Sports Federation cup: Simba Vs Coastal Union | Benjamin Mkapa Stadium

    Mechi tayari imeanza na saizi ni dakika ya 20 Matokeo Bado ni 0-0 OKW BOBAN SUNZU nilijua Ile post Yako kuhusu hamu ya kuiona Simba inacheza itakufanya uanzishe Uzi wa update
  5. FT: Raundi ya Tatu ASFC: Simba SC 1-0 Coastal Union, Uwanja wa Mkapa, 28/01/2023

    Wanasoka tumeteseka WanaSimba tumeteseka WanaJF tumeteseka Kila mtu ameteseka Hata wanaUto wameteseka Wameteseka wiki nzima wakiisubiri kandanda saafi ya Mnyama Simba Hakuna yasiyo na mwisho, hatimaye leo imefika tamati ya mateso. Simba ikiwa kamili gado full mkoko itaenda kuwalipia mateso...
  6. F

    CHADEMA na International Democrat Union

    Hivi karibuni tumefahamishwa kuwa Mwenyekiti wa Chadema ameenda Marekani kuhudhuria Forum ya International Democrat Union (IDU) kinachofanyika Washington. Na hivi karibuni amechaguliwa kuwa Mwenyekiti Mwenza wa Democrat Union of Africa. IDU na DUA ni ushirika wa vyama vya siasa vyenye mlengo...
  7. Kumbukumbu ya Dar es Salaam dockworker's union 1948 katika Nyerere square 2022

    KUMBUKUMBU YA DAR ES SALAAM DOCKWORKER'S UNION 1948 KATIKA NYERERE SQUARE DAR ES SALAAM 2022 Hapo Nyerere Square palipojengwa jengo la kuvutia mwaka wa 1948 palikuwa na jengo la mbao na paa la mabati. Katika jengo hilo ndipo ilipokuwa ofisi ya Abdul Sykes Secretary General wa Dar es Salaam...
  8. A

    Kwa Simba hii ya Gadiola Mnene, muda si mrefu haitakuwa tofauti na Coastal Union au Ihefu

    Mhamasishaji Gadiola Mnene atupiwe virago fasta au apelekwe Simba C kabla mambo hayajaharibika. Timu inacheza ki- Ihefu Ihefuna bado anaachwa tu.
  9. Africa Union Watch(AU) washangazwa na kauli ya uingiliaji mradi wa bomba la fatu Uganda hadi Tanzania.

    AFRICAN UNION WATCH (AU Watch) AFRICAN UNION WATCH (AU Watch) Thinking ahead for Africa Public Policy Analysis Strategic Insight and Objective Analysis Practical and Effective Solutions Atlantic Road, Cape Point Road, Banjul, Kanifing Municipal Council, The Gambia...
  10. Coastal Union yatoa tamko kuwa haina mkataba na Kocha Mgunda

    Klabu ya Coastal Union imetangaza kutokuwa na mkataba na Kocha Juma Mgunda ambaye kwa sasa anaitumikia Simba akiwa kocha wa muda. Coastal imeeleza mazungumzo ya kusaini mkataba mpya baina yao na Mgunda yalikuwa kwenye mchakato, hivyo suala la Mgunda kujiunga na Simba ni la kwake binafsi...
  11. Simba yamtangaza Juma Mgunda kuwa Kocha Mkuu wa muda

  12. Natafuta real risk taker tujilipue kufanya western union carding( dirty money is also money)

    Wakuu habari, Kama kichwa kinavyojieleza sitaki kuteta sana naenda straight forward mtaani kumekuwa kugumu kwelikweli mishe hazionekani all legit work zimeadimika tozo zimekuwa nyingi nimefikiri ya kufanya na sasa nimefikia into a conclusion kufanya carding tu nijiokoe na haya maisha. Kama...
  13. Coastal Union 0-2 Yanga | Ligi Kuu Bara | Sheikh Amri Abeid

    Ni weekend tena. NBC Premier League inaendelea ambapo Wagosi wa Kaya, Coastal Union watashuka dimbani kuwaalika Mabingwa watetezi wa taji, Yanga katika dimba la Sheikh Amri Abeid Kaluta jijini Arusha. Mara ya mwisho timu hizo zilikutana katika dimba hilo mwezi wa saba mwaka huu katika mchezo wa...
  14. Hivi mishahara kwenye NGO za kimataifa huwa ni kiasi gani?

    Mfano NGO kama DANIDA, SIDA na nyingine za aina hiyo huwa wanalipa mishahara kiasi gani kwa nafasi let's say kama ya Finance officer?
  15. Coastal Union ni klabu ya kienyeji na inayotumika na Simba pasipo kujijua

    Hii team miaka na miaka mafanikio kwao imekuwa ngumu tofauti na zamani .. Nimesikia kuwa kipa wao Mussa Mbissa ameachwa na wameletea kipa mcomoro.! Unajiuliza Mbissa ameachwa kwa kosa gani? Eti wanadai ameuza mechi ile final ya dhidi ya Yanga iliyoisha kwa 3-3 kisha wakaenda matuta..! Yaani...
  16. TFF wamewadhulumu Costal Union

    Mfumo wa kuendesha mashindano ya FA Cup ya Tanzania yamekaa kidhulumishi sana. Fainali ya mwaka huu ilifanywa kati ya Yanga na Coastal Union ya Tanga. Yanga wakashinda na kuwa mabingwa. Sasa Coastal Union wakaishia kushiriki Fainali ya FA bila ya kupata manufaa ya kushiriki kwenye mashindano ya...
  17. Bila kocha kumpunzisha Mwamnyeto Yanga ingepoteza kwa coastal Union

    Mechi ya final ya Azam FA Bakari Mwamnyeto alikuwa uchochoro wa wazi kwa Wana Tanga coastal Union. Kulikuwa na mpango Mwamnyeto acheze chini ya kiwango kwa kupewa kadi ya njano mapema.
  18. Senior Information and Communication Officer at African Union

    Reports to: Registrar Directorate: Registry of the African Court Number of Direct Reports: 1 Number of Indirect Reports: 0 Contract type: Regular Job Grade: P3 Location: Arusha, Tanzania Purpose of Job To provide operational leadership in planning and implementation of publicity programmes...
  19. Western Union kukataa transaction yangu kisa herufi moja tu, hivi imekaaje kwa wenye uzoefu?

    Nimeenda branch ya western union moja hapa moshi, kutoa hela nlotumiwa, details zote (mtcn, senders name, my name, receiver name, country of origin) zilikuwa sahihi Isipokuwa mtumaji hakuandika herufi moja tu inayoonesha jina langu la kati Kama ilivyo kwenye kadi yangu ya mpiga kura, hii ni kwa...
  20. M

    Medo quits Tanzanian top-tier side Coastal Union alleging influence of 'ghosts'

    The tactician decided to resign after suffering a fifth consecutive loss in the top-tier last weekend American-born Egyptian coach Melis Medo has surprised many after quitting his job at Coastal Union after being fought by 'Ghosts'. The team is allegedly under a superstitious bondage, meaning...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…