Wadau nawaza sana juu ya huu mfumko wa bei, hasa bei za Mafuta. Ukizingatia China na India wao wanapambana ili kupunguza gharama za wananchi wao kwa kukataa matakwa ya Nchi za Ulaya juu ya Urusi, je kwanini AU nao wasijipange vivyo hivyo? Wanunue ngano na mafuta kwa mrusi bila kufuata masharti...