unyanyasaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Imane Khalif Aushitaki Mtandao wa X dhidi ya Unyanyasaji Mtandaoni

    Imane Khelif (25) mwanabondia kutoka Algeria amefungua kesi ya madai ya uonevu mtandaoni kufuatia sakata la jinsia katika Michezo ya Olimpiki Agosti 9, 2024 Miongoni mwa watu waliotajwa katika kesi hiyo ni Elon Musk na JK Rowling kulingana na Mwanasheria wa Imane Khelif, Nabil Boud Aidha...
  2. Son of Gamba

    Udhalilishaji kwa wanaume mbona haupigiwi kelele?

    Baada ya ile video ya binti wa Yombo akibakwa na wanaume 5 kusambaa mitandaoni, watu walipaza sauti na wanaendelea kupaza sauti kudai haki itendeke. Lakini, kuna video nyingine inasambaa mitandaoni na ilikuwepo kabla hata ya ile ya yule binti kusambaa, ikimuonesha jamaa mmoja akidhalilishwa kwa...
  3. Carlos The Jackal

    Wakati tunapambana na Unyanyasaji wa kimwili dhidi wa watoto, mkumbusheni Waziri Gwajima, watoto hawako salama Mitandaoni

    Tunahangaika sana na Jeshi la Polisi kukimbizana na waarifu wanaofanya vitendo hivo. Lakini Binafsi, Sina hakika sana kama Kuna Sheria na kanuni ambazo zinaenda Moja Kwa Moja KUMLINDA MTOTO. Inawezekana Kuna Sheria, ila naamini ni Sheria za kiujumla. Dunia imebadilika sana, inaenda Kasi...
  4. Doctor Mama Amon

    Dokezo la Kisera kwa Ajili ya Baraza la Mawaziri Kupinga Unyanyasaji wa Kisiasa Dhidi ya Wauzaji wa Huduma za Ngono Nchini

    RC Albert Chalamila akitangaza OPeresheni Dada Poa, MKoani Dar 1. Usuli Tarehe 31 Oktoba 2023 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, aliagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuanza msako wa makahaba, kufunga biashara za masaji zinazotumika kama madanguro, na kuvunja nyumba zinazotumiwa...
  5. Mkalukungone mwamba

    Kwanini wanaume hukaa kimya wanapofanyiwa unyanyasaji wa kijinsia?

    Wanaume wanakutana na Unyanyasaji wa kijinsia ila kuripoti na kupata msaada wamekuwa wagumu, Nini kinasababisha Wanaume kukaa kimya? Weka maoni yako!
  6. Miss Zomboko

    Unawafundishaje Watoto wako kuhusu Athari za Unyanyasaji wa Kijinsia?

    Onyango Otieno, mwanaharakati mwenye umri wa miaka 35 kutoka Kenya, anasema kwamba wanaume wameshawishika na jamii kuamini kuwa nafasi yao ni juu ya wanawake, lakini kuongezeka kwa ufeministi kumewaacha wanaume wengi wakihisi wamedhoofika au nafasi yao kuchukuliwa na wanawake. Anaeleza “Wanaume...
  7. Mr Why

    Kulikoni! kesi za ulawiti na unyanyasaji kushamiri lakini wahalifu hawapewi adhabu kali?

    Kuna nini nyuma ya pazia kwanini kesi za ulawiti na unyanyasaji kwa watoto zimeshamiri lakini hatuoni wahalifu wakipewa adhabu kali? Inawezekanaje mtoto wa miaka 4-15 kulawitiwa au kuingiliwa na watu wazima kila mara lakini hatuoni wahalifu wakipewa adhabu kali za kutisha? Au siku hizi...
  8. Mc Justine Mwakibiki

    SoC04 Tufanye nini ili kudhibiti vitendo vya unyanyasaji wa kingono katika jamii?

    Unyanyasaji wa kingono hii ni aina ya unyanyasaji, unaohusisha matumizi ya matamshi ya ngono ya wazi ama ya siri, ikiwa ni pamoja na ahadi zisizohitajika na zisizofaa za zawadi kwa kubadilishana na faida za ngono. Wakati mwingine unyanyasaji huu muathirika, anaweza kutendewa kutokana na hali ya...
  9. Mhafidhina07

    Mfumo wa ajira umekuwa ni wa unyanyasaji na uzalilishaji

    Ni haki ya kila Raia kufanya kazi mahala popote nchini ikiwa atakuwa ni mwenye kutimiza vigezo na masharti ya nafasi atakayoiomba, ila kwa sasa imekuwa ni tofauti sana katika hizi taasisi zinazotoa huduma hii ya kuajiri mfano mdogo jeshi la polisi wenyewe wanatambua kuwa Kwa post walizotoa kuna...
  10. vanus

    Sifa wanazopewa viongozi hawastahili ni wajibu wao kutekeleza wanayoyafanya, siasa ni mchezo mchafu umejaa laana, unyanyasaji na dhulma

    Afrika ni bara lenye laana, limejaa watu wa ovyo sana haswa hawa wanaojiita chawa. Imagine unapambana usiku na mchana unatengeneza pesa alafu una-mteua mtu asimamie mali na pesa zako na unamlipa mwisho wa mwezi. mtu huyo anaenda dukani anakununulia kiatu kwa pesa zako, kwa upumbavu ulionao...
  11. T

    Uwajibikaji katika mahakama za masuala ya kazi (CMA) juu ya unyanyasaji kwa wafanyakazi sekta binafsi

    Hii kero inaumiza sana hasa wafanyakazi kupata haki zao pamoja na kupotezewa muda. Kuna Kampuni ya madini Kahama mkoani Shinyanga inajihusisha na uchimbaji wa madini, imetelekeza wafanyakazi bila chochote si malimbikizo ya mishahara, barua za kuvunja mkataba wala hela za NSSF, pia makato mengi...
  12. Stephano Mgendanyi

    Tauhida Cassian Gallos ahoji Bungeni mkakati wa Serikali kudhibiti matukio unyanyasaji na ukatili wa kingono dhidi ya wanawake na watoto

    MHE TAUHIDA CASSIAN GALLOS Ahoji Bungeni Mkakati wa Serikali Kudhibiti Matukio Unyanyasaji na Ukatili wa Kingono Dhidi ya Wanawake na Watoto "Je, kuna mpango gani wa Kudhibiti matukio ya unyanyasaji na ukatili wa kingono dhidi ya Wanawake na Watoto nchini?" - Mhe. Tauhida Cassian Gallos Nyimbo...
  13. mamsindo

    KERO Usumbufu kwa wananchi kutoka kwa Wanajeshi Chuo cha Jeshi CTC Mapinga ni kero kubwa, TPDF shughulikieni hili

    Kuna kero kwa wakazi tunaotumia barabara iliyopo mbele ya Chuo cha Jeshi la wananchi wa Tanzania CTC Mapinga, kitongoji cha Kiembeni, Kiharaka Bagamoyo. Ni barabara kubwa kutokea Mingoi kwenda Mbweni (kuvuka daraja la Mpiji). Wanawafyekesha wananchi majani nje la lango lao kuu na pembeni ya uzio...
  14. M

    Unyanyasaji kwa wanafunzi (wao kwa wao) Leo tuzungumze kidogo juu ya wanafunzi mashuleni

    Wazazi, hivi huwa mnaketi na watoto wenu na kuzungumza nao juu ya maisha Yao shuleni? J uzi kwenye MITANDAO ya KIJAMII imesambaa video ikimuonesha Binti aliejulikana kwa Jina la "Mariamu" akimpiga mwanafunzi mwenzie Aliejulikana kwa Jina la "Namtira "sababu kubwa ikidaiwa kuwa karibu na "crush...
  15. K

    Unyanyasaji kwenye ubalozi wa Marekani

    Kuna unyanyasaji nilioushuhudia ubalozi wa Marekani nilipoenda kushughulikia visa. Kwanza pale getini, unaambiwa unaacha kila kitu huingii na chochote! Ila cha kushangaza, hawajaweka hata sehemu ya kuhifadhi mkoba au simu. Sasa sijui wanategemea ukienda huko usiende na pochi? Na je simu...
  16. R

    Jaji Warioba kuna skendo yoyote ya rushwa, matumizi mabaya ya ofisi, unyanyasaji, kujilimbikizia mali nk amewahi kutuhumiwa nayo?

    Tumezoea kusikia mema ya Jaji Warioba kila kukicha. Amesifiwa na CcM , upinzani na wanaharakati. Mimi nimezaliwa mwaka 1963 na kwa mantiki hiyo nimeshuhudia akiwa kiongozi na akiwa nje ya uongozi. Katika kukua kwangu sijawahi kusikia akituhumiwa may be kwa sababu wakati wa Mwalimu Nyerere Siri...
  17. W

    Rapa Kanye West Kushitakiwa kwa Unyanyasaji na Mfanyakazi wake wa zamani

    'Rapa' kutoka nchini Marekani KanyeWest amefunguliwa mashitaka na aliyekuwa mfanyakazi wake wa zamani katika shule yake ya 'Donda Academy' iliyopo Los Angeles, kwa ubaguzi na unyanyasaji. Mfanyakazi huyo aliyetambulika kwa jina la Trevor Philips amedai kuwa Kanye alikuwa akiwabagua wafanyakazi...
  18. Informer

    Zanzibar: Serikali yalaani vitendo vya unyanyasaji wa kidini vinavyoendelea visiwani

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imehimiza katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kutenda mema na kudumisha amani, umoja na mshikamano miongoni mwa wananchi. Zanzibar ni nchi yenye historia kongwe ya uvumilivu wa kidini ambapo Uislamu na Ukristo uliingia mapema kuwa sehemu muhimu ya utamaduni...
  19. Victor Mlaki

    Maadhimisho ya siku ya Wanawake wilaya ya Mbogwe za tarehe 7/3/2024 bado takwimu za unyanyasaji wa kijinsia zipo juu

    Wilaya ya Mbogwe Leo inaadhimisha siku ya Wanawake Duniani chini ya kaulimbiu " WEKEZA KWA WANAWAKE KUHARAKISHA MAENDELEO YA TAIFA NA USTAWI WA JAMII" huku takwimu za unyanyasaji zikionesha wanawake waliofanyiwa unyanyasaji na kutoa taarifa zikiwa 1309 na wasichana zikiwa 50. Taarifa...
  20. Shining Light

    Unyanyasaji ndani ya nyumba za wanandoa

    Ugomvi ndani ya nyumba ya wanandoa huchukuliwa kama ni jambo la kawaida, Inasikitisha kusikia kwamba ukatili huu unachukuliwa kama jambo la kawaida katika jamii yetu. Watoto huona huu unyanyasaji na kuhishi pia ni jambo la kawaida mpaka wanapo kuwa na kupata ufahamu zaidi na hapo ndio kujua baba...
Back
Top Bottom