Unyanyasaji wa kijinsia ni dhana pana sana ambayo ina ainanyingi sana ambazo kwa namna moja au nyingine zina muathiri mwanaume au mvulana Pamoja na mwanamke au msichana katika jamii zetu na kuna aina tofauti tofauti za unyanyasaji wa kijinsia ambazo ni ; Unyanyasaji wa kingono, Unyanyasaji wa...
Unyanyasaji wa jinsia katika ngazi ya elimu ya juu, umekua ukijitokeza mara kwa mara hususani kwa wanafunzi wa jinsia ya kike, ingawa matukio haya pia hujitokeza hata kwa wanafunzi wa jinsia ya kiume. unyanyasaji huu hujitokeza kwa njia tofauti, unyanyasaji wa kijinsia huwaza kujitokeza kati ya...
Unyanyasaji wa wenza majumbani ni aina ya Unyanyasaji wa Kijinsia unaohatarisha afya ya umma ulimwenguni kote na huletelea madhara kisaikolojia, kiuchumi na kiafya kwa mtu binafsi, familia na jamii.
Unyanyasaji wa wenza majumbani ni tabia ya ndani ya mahusiano ya kimapenzi zinazoletelea madhara...
Masuala ya kijinsia yanajumuisha nyanja na masuala yote yanayohusiana na Maisha na hali ya mwanamke na mwanaume katika jamii, jinsi wanavyohusiana, na tofauti zao katika upatikanaji na matumizi ya rasilimali, shuguli zao, na jinsi wanavyo itikia mabadiliko mbalimbali katika jamii. Jinsia ni aina...
MITANDAO YA KIJAMII NA UNYANYASAJI WA KIJINSIA:
Kwa majina naitwa MTANDAO WA KIJAMII napatikana hapa hapa ulipo msomaji kwa msaa 24. Mimi nilikuwepo hapa kabla miaka ya 1993. Kwa umri huu huenda nimekuzidi wewe au umenizidi wewe unayenitumia kwa maslai chanya(faida) au hasi(hasara)..Kwa sifa...
Zaidi ya raia wa kawaida 500 wameuawa kutokana na mashambulizi yanayofanywa na vikundi mbalimbali Nchini Mali kuanzia Januari hadi Machi, 2022.
Ripoti ya Umoja wa Mataifa (UN) imeelea kuwa hali ya usalama si nzuri, ikiwa ni ishara kuwa Jeshi limeshindwa kuwa na nguvu ya kudhibiti Nchi hiyo...
Mahakama Nchini Uingereza imeamua kuwa ni kinyume cha sheria kwa wanaume kutukanwa baada ya mwanaume mmoja kuwasilisha kesi Mahakamani dhidi ya muajiri wa kampuni aliyoifanyia kazi zamani.
Tony Finn, 64, alifanya kazi kwa miaka 24 kama fundi wa umeme katika eneo la West Yorkshire, Uingereza...
Mkurugenzi wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Dk. Rose Reuben ameshauri maboresho ya Sheria za Habari kuingizwa suala la kushughulikia unyanyasaji wa waandishi wa habari wanawake ili kukabiliana na changamoto hiyo katika vyombo vya habari.
Dk. Rose amesema hayo kwenye mkutano wa...
Muandaaji wa mashindano ya urembo Nchini Rwanda ambaye pia ni mwanamuziki wa zamani anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono.
Dieudonne Ishimwe ‘Prince Kid’ alishikiliwa na Idara ya Upelelezi ya Rwanda (RIB), Aprili 26, 2022.
Ofisa Msemaji wa RIB, Thierry Murangira...
Hii inaweza kuwa kwa vitendo vya kimwili, kingono, kihisia, kiuchumi au kisaikolojia. Hii ni pamoja na tabia zozote zinazotisha, kuumiza, kufedhehesha au hata kumjeruhi mtu
Hali hii inaweza kutokea kwenye ngazi mbalimbali za mahusiano ikiwemo kwenye Ndoa, watu ambao wanaishi pamoja au walio...
Maisha yako ni bora sana kuliko ndoa.
Watoto watakua tu.
Ukiona dalili hatarishi chukua hatua haraka kwani hakuna spea za uhai wako.
REST IN PEACE MAMA WA EKUWEMEE!
Siku chache baada ya kusambaa kwa taarifa juu ya uwepo wa unyanyasaji wa wafanyakazi katika Kampuni ya SBC Tanzania (Kiwanda cha Pepsi), hatimaye Serikali imetoa tamko juu ya kinachoendelea kiwandani hapo.
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira & Wenye Ulemavu) ametoa tamkoa...
Pesa nyingi mno inatumika wakati wa kusoma mfano zile laki 2 laki 2 za Kila semester kwa ajili ya clinical rotations
Elfu 50 kwa Kila somo utakalopata Sup pesa ya nacte Kila mwaka
Ada
Alafu anakuja kulipwa kamshahara kaduchuuu
Hii habari niliyo isikia punde toka katika taarifa ya habari ya Ufm
Ni huko Iringa mitaa ya Kiesa ambapo mtoto mmoja wa umri wa miaka 15 anaedaiwa kuwalawiti watoto wenzie zaidi ya 10 kwa kuwahadaa kwa vipipi na kuwawashia luninga nyumban kwao kisha kuwafanyia mchezo huo mbaya wa kikatili...
Habari za muda huu ndugu zangu.
Kwa kweli Kwa Hali ilivyo, inabidi jambo kubwa sana lifanyike katika nchi yetu kubadili mifumo yetu ya ulinzi na usalama wa raia.
Asubuhi ya Leo, nasikiliza Power Breakfast ya Clouds FM, kuna habari ya kijana ISSA, ambaye amefanyiwa ukatili uliopitiliza na...
Amani na upendo kwenu nyote!
Kwanza nikiri wazi Mimi nimefanyakazi ktk kiwanda hiki katika vitengo mbalimbali jikoni, nondo na skrepa toka 2018 Hadi 2021 oktoba nikaacha kazi, jamaa na rafiki zangu wanaendelea kutaabika na kupata mateso mpaka sasa.
Katika kiwanda hiki Kuna MATESO NA...
Moja kwa moja mada.
Hivi karibuni tumeshuhudia unyanyasaji mkubwa and unprofessional kabisa kwa walimu kupitia NECTA.
Kwanza kabisa NECTA na walimu ni idara mbili tofauti kabisa, NECTA husimamia natioanl assessment na walimu ni watekelezaji wa teaching and learning process,kwa Tanzania...
Habari wakuu
Naomba niwasilishe hii hoja kwenu.
Kima cha chini cha mshahara wa deiwaka kilichowekwa kisheria ni tsh 4400 kwa siku hapa nchini kwetu Tanzania. Kwa mkoa wa dar es salaam, mtu ukimlipa hela iyo kwa siku ni kumuonea kulingana na kazi ngumu wanazofanya.
Lakini mshahara huo sio hoja...
Wazazi tuungane kukemea hili.
Tunazalisha kizazi cha watoto wajinga in the name of performance.
Sisi tulienjoy shule ya msingi. Saa nane kamili unarudi nyumbani.
Siku za michezo ni michezo kwelikweli
Na baadhi yetu tumesoma shule zina mchaka chaka asubuhNa
Na bado tulifaulu vizuri msingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.