Katika jamii zetu za kisasa, mifumo ya maisha inatofautiana sana kulingana na hadhi ya kifedha. Wakati wa kale, urafiki ulijengwa kwa misingi ya ukweli, uaminifu na upendo wa dhati, lakini leo tunaona mabadiliko makubwa katika jinsi watu wanavyohusiana na kutengeneza uhusiano wao.
Kwa wengi...
Nimemsikiliza Ndg. Gerson Msigwa kwakweli nimesikitika sana kuona watumishi wa umma nyakati hizi badala kuwa watumishi wa umma wamegeuka kuwa watetezi wa viongozi wabovu. Sakata hili jinsi anavyotetea ni sawa na jinsi alivyotetea uongo na udhaifu mkubwa uliosemwa na kiongozi mmoja kuhusu kununua...
Ni vile tu Watanzania wengi ni wajinga na sio wasomaji sana wa vitabu na wafuatiliaji wa masuala ya nchi yao.
Mlioshtuka leo kuhusu habari ya Tanzania kununua umeme nje kwa ajili ya matumizi ya mikoa ya Kaskazini wakati Serikali imekuwa ikijisifu kuzalisha umeme kuzidi matumizi yetu nawashangaa...
Akiwa katika mahojiano yake ya kuthibitishwa kuwa Mkurugenzi mpya wa FBI, Kash Patel alipoanza kwa kuelezea historia ya familia yake alisema baba yake alikimbia Uganda ya Idi Amin, dikteta muuaji wa kimbari ambapo Wahindi laki tatu(300,000) waliuwawa kwasababu ya kuwa Wahindi kama yeye tu.
Huu...
Wakuu, heshima zenu. Mna habari kwamba unabii huu nao tayari umetimia?
Mathayo 24:24 – "Kwa maana watatokea Makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, ikiwezekana, hata walio wateule.”
Marko 13:6 – "Wengi watakuja kwa Jina langu wakidai, ‘Mimi...
WanaMMU kwema, natumaini nyote hamjambo, kama hauko poa nakuombea uwe sawa, Amen!
Mapenzi Mapenzi Mapenzi
Kwenye mahusiano huwa inatokea kusaliti na kusalitiwa kimapenzi wengine hadi wanafikia hatua ya kufumaniwa kabisa. Kucheat na kucheatiwa kupo nje nje kwa sasa, kwa sisi wanaume hii kitu...
Kwenye mahusiano bwana waswahili wanasema kuna wakati rizki inafika mwisho
Kuachana siku zote kunasababishwa na mmoja.kuna mmoja wenu anakuwa hataki tena mahusiano.ila kuachana ni maamuzi ya mwisho nyie wawili
Sasa kuna watu wao ndo wanaosababisha mahusiano yafike mwisho ila akiulizwa anatoa...
Wanabodi, hakuna haja ya kuzungusha.
Hakuna ubishi.
Waanzilishi wa Ukristo na Uislam ni Yesu na Muhammad.
Hakuna ubishi kuwa hakuna anayejua namna hawa waanzilishi walivyofanana wala kuwa.
Hakuna ubishi, wakristo wana picha feki za wazungu waliomuigiza Yesu.
Hakuna ubishi, waislam hata...
Katika maadhimisho ya miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar, jina la Sheikh Abeid Amani Karume linabaki kuwa nembo ya maono jasiri yaliyobadilisha visiwa vya Karafuu katika Bahari ya Hindi.
Kama kiongozi wa Mapinduzi ya mwaka 1964, Sheikh Karume aliongoza mabadiliko makubwa yaliyovunja mizizi ya...
https://www.google.com/amp/s/www.aljazeera.com/amp/news/2021/8/19/mapping-wildfires-around-the-world-interactive
Watu hamsomi. Hamjiongezi mkapata taarifa. Wanaibuka watu wanasema ni Mungu amewaadhibu sababu ya Gaza. Hizi akili za watu ambao hawana elimu na ufahamu.
Hizi nchi zimewahi pata...
Ukiona sehemu imeandikwa HAKUNA NJIA HAPA. Ujue ni waongo hao walioandika. Njia ipo ila hawataki upite.
Kama hakuna njia hamna sababu ya kuandika. Itaonekana tu kuwa hakuna njia. Why paandikwe? Umewahi mwona mtu anaamua tu kukatiza kichakani na njia ipo? Umewahi mwona mtu anafika ferry kisha...
Kwa sababu ameaminisha watu kuwa eye ni mkweli, anaongea hasta mambo ya vikao vya Kamati Kuu, anatuhumu wenzake kwa mambo ya uongo kabisa ambayo anajua kabisa kuwa anawachafua wenzake ili kujenga Imani kwa wanachama aonekane mkweli.
Anatafuta uongozi kwa kuwadanganya watanzania kuwa yeye ni...
Sipingani na ule msemo maarufu wa ukweli unauma, lakini leo Kuna baadhi ya mambo yamenifanya kuamini kuwa kumbe hata uongo,kusingiziwa jambo ambalo hukulifanya huwa inauma zaidi.
Kwa utafiti wangu wa maandiko, manabii wa uongo bado hawajaanza kuja. Hawa tunaowatuhumu ni watafuta maisha, wanasaikolojia, waganga na wachawi wa kawaida tu.
Biblia imetabiri watafanya Ishara hadi kushusha moto. Hapa bado sijaona nabii yoyote akifanya ishara yoyote ya ajabu. Vyote ni vya...
Acheni uongo, nyama ya kuku anayekula majalalani. haiwezi kuwa bora kuzidi anayetunzwa ndani, mlo kamili wa gharama, maji safi na kuhudumiwa kitabibu
Kichwa cha habari chahusika
Niwatakie siku njema
Wakuu,
Baada ya wadau kudai kuwa Msigwa ndio alimlipia Lissu ile hela ya yeye kufanya press yake ya Mlimani City, Lissu amejitokeza kupiga uzushi huo
Siku ya leo akiwa anatoka kurudisha fomu ya Uneyekiti CHADEMA, Lissu amezungumzia tetesi za kwamba Peter Msigwa ambaye kwa sasa ametimkia CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.