Simpendi Ndugai kwa ujinga wake mwingine lkn kwa swala la leo wala hakusema vibaya,,,alijaribu kuwaambia watu kwamba mpango wa tozo ni bora zaidi kwetu kwa sababu tunakuwa tumeweza kujitegemea kama wtz kuliko kukopa,,,hivyo kwa hili wala hakuwa na lengo baya kabisaaaaaaa!!! Wtz tujifunze...