Tokea tunakua tukisikia Tanzania tuna rasilimali nyingi sana, lakin tokea inchi imepata uhuru hizo rasilimali zimeshindwa kuwa msaada kwa wananchi
Mfano nchi za kiarabu Kuna rasilimali ya mafuta tunaona jinsi gani zilivyowasaidia, nchi kama south Africa na Botswana tunaona dhahabu na almasi...
Polisi wa Nyakato Mwanza, wamezua kongamano la Katiba mpya kwa Sababu walioandaa Kongamano kawajatoa taarifa Polisi. Hivyo likifanyika bila kibali cha Polisi litakuwa ni batili.
Habari zenu wakuu,
Hivi ninyi mliachaga vipi hizi tabia mbona mimi najiona kabisa maisha yangu yanaenda kuwa mafupi kwa sababu ya hizi tabia sugu ambazo zimenikumba mimi?
MOJA :KUBETI MPIRA ; Nilianza kubet mwaka 2016 kwa sh 500 tu lengo kutafta walau kutafta hela ya vocha tu kila siku ila leo...
Natumaini mko shwari
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.. kwa pamoja mjibu CHAMA KIENDELEE.
Leo sitaki kuongelea katiba wala mambo ya siasa. Hapa leo ni mambo ya mapenzi tu. Nataka nitoe maoni yangu ambayo moja kwa moja ndo yatakuwa msimamo wa JF bila kujali itikadi. Nitaongelea...
Ole Sabaya mtu mwenye tuhuma zisizo na idadi , leo tena amefikishwa mahakamani huko Arusha akiwa amevaa Suti iliyopauka ili kusikiza kesi zinazomkabili.
Kesi za aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, mkoa wa Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya (34) na walinzi wake watano, ambao wanakabiliwa na mashtaka...
Wakuu Asalam aleikum,
Hayati Magufuli aliwahi kusema kuwa "your not free to such extent" akiwatahadharisha wanahabari juu ya kile alichokiita upotoshaji na kuwaonya vikali.
Baada ya kauli hiyo vyombo vyote vikawa vya mlengo mmoja na wale waliotaka kwenda kinyume walinyooshwa kwa mkono wa...
Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya BangBros Bwana. Daler Mehndi amesema wanania ya kumburuza mahakamani aliyekua mfanyakazi wao wa zamani MIA KHALIFA kwa kusema uongo na upotoshaji kua alitengeneza $12,000 kwa muda wote aliokua kwenye Tasnia.
Daler Mehnd amesema
" Mia Khalifa alikua anaingiza...
Mwanasheria nguli amekuwa mbogo na kutaka watu kutozua uongo kuwa hamkosoi mama Samia kuwa anakubaliana nae. Bali ametaka watu wamshauri ili waliompiga risasi wakamatwe na kuchukuliwa hatua.
Pia ndugu Lissu amedai kuwa kuliko kuzua uongo bora wamshauri mama Samia ili yeye alipwe haki zake...
Kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kumtambulisha Nusrat Hanje kama kiongozi wa Bavicha, na kwamba ule ndio uwakilishi wa vijana wa Chadema kwenye Mkutano wa Rais na Vijana huko Nyamagana Mwanza ni kumpiga changa la macho Mh Rais .BAVICHA haikuhudhuria mkutano huo na wala haikutuma mwakilishi...
Fack check
Supreme leader and Chief Advisor wa ACT Wazalendo Bw. Zitto Kabwe ameandika kwenye mtandao wa Twitter kua Tanzania haijawahi kutokea mkuu wa mkoa, RC ama mkuu wa wilaya DC kushtakiwa akiwa ofisini katika historia ya Tanzania.
Zitto hua sio mwanasiasa wa kumuamini, wanasiasa wote ni...
Nianze kwa kukiri huyu jamaa kama amedanganya kwa kile kinachosemwa amekosea na ni mtuhumiwa anapaswa aadhibiwe kwa mujibu wa Sheria.
Lakini haya yanayofanywa kwenye hii video ni moja ya majukumu ya hawa maofisa waliomkamata huyu Jamaa? Je, tunafahamu athari zake ikiwa vyombo hivi vitaachwa...
Alikamatwa siku chache kabla ya uchaguzi mkuu wa 2020 na kupewa kesi ya uongo ya kutakatisha pesa na Uhujumu uchumi kwa amri ya CCM na DPP Biswalo Mganga, ambaye jana ameapishwa kuwa jaji wa Mahakama kuu.
Leo ameachiwa huru baada ya Mahakama kuona kwamba Mashitaka yake yalikuwa ya uongo , ya...
Baada ya sintofahamu iliotokea siku ya jumamosi tarehe 8 palipo kua na mchezo mkubwa wa mpira wa miguu Simba vs Yanga,
katika nchi ya Tanzania na Africa kwa ujumla baada ya mechi iyo kuota mbawa pasipo kua na sababu maalumu.
Kichekesho kikubwa ni hiki kuludisha pesa kwa waliokata tiketi ivi huu...
Leo imenibidi niliongee hili ili niae huru kwa maana moyo unauma kuona uongo uzushi chuki na fitna kwa Mama Samia.
Ninaona ni kama watu wamejipa ajira ya kudumu ya kukosoa maraisi. Kukosoa sio dhambi Ila inategemea na unachokosoa.
Hadi Sasa sijaona kama kuna jambo la kumkosoa Mama Samia...
Kaka yangu Lazaro Nyalandu kama wajumbe walikua 30, Lissu akapata 24 ilikuaje ukamgaragaza? Hizi hesabu zako mbona hazifuati formula ya MAGAZIJUTO? Kama Lissu alipata 24 kati ya 30 it means wewe uliipata kura 6. Kwahiyo unataka kutuambia ulimgaragaza kwa kura 6?
Halafu kwa maoni yangu nadhani...
Tulionya Mapema sana kwamba Shetani hajawahi kumshinda Mungu katika lolote , na nadhani hata nyinyi wenyewe ni mashahidi, wote waliojipa uungu Mtu na kujimwambafai wanazidi kupukutika huku wengine wakiwa njiani.
Video hii inaonyesha umati wa watu wa Bukoba wakishangilia baada ya aliyekuwa...
Habarini za asubuhi bandugu zanguni hapa katika jukwaa poleni na mvua za Jana haswa maeneo ya jiji la Dar es salaam twende kwenye mada.
Jana ndio siku rasmi niliyoachwa na mwanamke aliyenipenda sana hakika haikuwa siku nzuri sana kwangu mpaka sasa nimehuzunika sana. Ilikuwa ni hivi kuna binti...
Chadema inajua kabisa kwamba uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ilishindwa kihalali kabisa lakini kwa tabia hizi hizi za uongo uongo siasa za utapeli utapeli wanataka kulazimisha na kuwaaminisha watu kuwa uchaguzi uliporwa hawa watu ni waongo sana na hawatakiwi kuaminiwa tena.
Nilidhani baada ya...
Habarini wadau. Naandika hii kitu hapa baada ya kukerwa na tabia za baadhi ya mabinti especially hawa wamjini ambao wameanza kurithi tabia zile walizokuwa nazo wanaume za "kuna hela na isikilizia" halafu baada ya dakika kumi utasikia "una elfu tano au kumi ya karibu hapo".
Ipo hivi, kuna wadada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.