Imagine nikiwa mdogo nliambiwa ETI Range rover haziruhusiwi kupaki benki, kwa sababu eti zina speed kali kwa hiyo zikitumiwa na majambazi kupora, polisi hawawezi kuzifukuzia wakazipata.
Halafu pia eti, Range rover huwa hazipinduki, eti kwa sababu tairi zake huwa zinatanuka gari ikitaka...
Akiongea na wananchi(probably mkoani Dodoma), Lissu amedai tunapombiwa tumekombolewa, tuelewe mpaka kufikia April ya mwaka huu, serikali ilikuwa imekopa jumla ya shilingi trilioni 40 na bilioni 500 kutoka kwa mabeberu.
Hii figure ni kubwa mno na huenda Lissu kakosea/kapewa taarifa siyo sahihi...
Kuna uongo mwingi tuliwahi kuongopewa na watanzania weangi wakauamini hadi watu wakubwa na tuliodhani wanajua mambonao wakaukumbatia. Mimi ninaanza na huu.
1. Kipindi cha Jakaya Mrisho Kikwete akiwa rais, nakumbuka magazeti kadhaa na redio kadhaa ziliwahi ripoti kuwa kuna mapacha wawili ni...
Muda mfupi mh Tundu Lissu atakuwa mbashara kuanzia saa 8: 00 mchana,Vituo vitakavyokuwa live Ni @standardKenya na @KTNNews, hii Ni kwamjibu wa Tumaini Makene
======
Mwandishi: Mchakato wa kupona ulikuwaje?
Lissu: Asante kwa kushiriki kwenye kipindi chenu na kuongea na wananchi wa Kenya kuhusu...
Waziri wa mambo ya nchi za nje kuwa muongo na mlaghai kama alivyo Prof. Kabudi ni hatari kwa afya. Waziri ambaye hawazi mbali kuhusu majukumu yake inafikirisha sana.
Nakumbuka aliyoongea kwenye sakata la madini siyo tunayoona sasa.Aidha alitoa uongo wa awamu tatu. Wa majadiliano ya tume, wa...
Wanajamvi, kitu nawachukia wanasiasa ni uongo. Kuna mtu alisema “mwanasiasa akikwambia sasa hivi ni mchana, kama mko ndani, toka nje uhakikishe jua lipo”
Chini hapo ni hotuba ya Maghufuli siku anafungua kampeni 2015. Kiaina naona kama kila alichoahidi, kafanya kinyume kabisa! Imekaaje hii...
Trump aliwahi kusema thanks for social media we can fight back fake news.
Nawaza kipindi ambacho hizi mainstream media ndio chanzo kikuu cha habari si wamezushia watu wengi sana?
Juzi New York Times walitoa habari kua Urusi imewalipa hongo wapiganaji wa Taliban kuwaua wamarekani au waingereza...
Habari.!
Binafsi naamini kuna muda uongo unaruhiwa inategemea nikatika hali gani. Sasa kuna binti kisa chake kilitatanisha na kusababisha ugumu wa kumuamini. Kisa chenyewe ni hiki.
Kuna bint juzi nilimkuta anaomba msaada kijiweni kwa wamama flani ivi wauza mafuta ya alizeti maelezo yake...
Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika leo ametoa kauli kali ambayo ndio kauli halali ya Chama chake kuhusiana na Propaganda za kishamba zinazosambazwa na Jeshi la Polisi zikiongozwa na IGP Sirro mwenyewe kuhusiana na shambulizi alilofanyiwa Mh Mbowe na Watu waliotumwa kumdhuru .
Hakuna...
Aliyekuwa mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe, amesema taarifa ya serikali ndio silaha ya kubomoa hoja zote zenye matege za serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM).
Zitto ambaye ni kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo amesema watawakaanga kwa mafuta yao wenyewe.
“Ninasubiri kwa hamu sana siku 70...
Natumai hamjambo wakuu
Jana nikiwa katika harakati zangu za hapa na pale nilikutana na dada mmoja matata wa age ya 27-30, nikawa nimemwelewa sana nikaomba tubadilishane contact akakubali but alikuja nitibua nilipomuuliza ushadate na wangapi eti kwa umri huo ananijbu wawili, dah! alinikata stim...
Kuna siku moja nilikuwa naskiliza redio majira ya saa 4 usiku, sikumbuki vyema mada iliyoko mezani ililenga nini haswa, ila nakumbuka kulikua na maswala ya ufumbuzi wa matatizo katika njia ya asili.
Siku ile studioni alikua ameambatana na mganga ambaye alikuwa amealikwa kwa ajili ya kutoa...
Rais Museveni amesema baadhi ya majibu ya vipimo vya COVID-19 yalisemwa watu wanaumwa ingawa hawakuwa na ugonjwa huo. Rais amesema makosa hayo yametokana na uzembe katika maabara ya Chuo Kikuu cha Makerere. Wizara ya Afya ya Uganda imeripoti visa 679 vya ugonjwa wa COVID-19 na ikiwa na vifo 0...
Mtandao wa Twitter umesema umezifuta akaunti 170,000 zilizokuwa zinahamasisha maandamano Hong Kong, kutoa mtazamo wa uongo kuhusu COVID19 na kuhusu maandamano ya Marekani ya George Floyd
Twitter imesema akaunti 23,750 zilizoandika jumbe hizo na 150,000 zilizosaidia kusambaa zaidi jumbe hizo...
Salaam Wakuu.
Daaah Ha ha ha ha, ngoja nicheke Kwanza. Uongo sio mzuri wakuu ha ha ha ha.
Uandishi wangu sio mzuri ila tuvumiliane.
Ilikuwa hivi mwezi Kama Mmoja uliopita Mimi na wife tulipata ka plot tukakapenda Sasa tukakubaliana na mmiliki ambae alikuwa mkoa B, pale eneo la tukio...
Mnaemuita firauni ni babu yenu, wa asili! alikuwa ni Mweusi tii!! jina lake aliitwa Mkuu Ramesses wa II au Sese.
Nimekuwa nikiona habari kutoka kwa watu, kuwa mwili wa Ramesses ll huwa ukizikwa, unarudi juu kesho yake.
Hivi hili linawezekanaje!! tena watu wenye akili timamu kabisa wanaamini...
Chama cha Mapinduzi Zanzibar kimepata pigo kubwa baada ya mamia ya Vijana wa uvccm waliotumikishwa kwa miaka mingi kwenye sekta ya Mazombie na Janjaweed kuzinduka na kuanza kukumbushia ahadi walizopewa na viongozi wao , kwamba watapatiwa ajira .
Leo baada ya danadana za kipindi kirefu...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala fikirishi, elimishi na hamasishi uzalendo za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo hutolewa kwa mfumo wa maswali, makala ya leo ni kuhusu utoaji wa taarifa za Corona, COVID-19: Nani Mkweli Kati ya Serikali Yetu na Ubalozi wa Marekani...
GTs,
Kuelekea 2020 sisi wapiga kura wa taifa huru la Tanzania tunawahimiza wapinzani mjitokeze mmoja baada ya mwingine mtuombe msamaha mambo yote mliyowahi kutudanganya. Moja ya vitu mlivyowahi kusema:
1. JK ni dhaifu?
2. Wizi wa 1.5 trioni?
3. Hela za Uswiss?
4.
Leo Rais wa Tanzania amehutubia taifa na kusema, utaratibu mzima wa upimaji na utoaji majibu ya vipimo kwa wahisiwa wa ugonjwa wa COVID-19 hapa Tanzania yamezungukwa na uongo, ujanja ujanja na ulaghai mkubwa. Hivyo takwimu zote za COVID-19 hapa Tanzania zilizotolewa na Waziri Mkuu au Waziri wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.