Wadau kama umeoa usije pm .
Tamaa zisije zikakupotezea sura.
Humu mmejaa wanaume mlio nawakee pleasee .
Msifungee bahati zetu kwa,uongo wenu kisa mnataka kutupotezea muda kama upo single unataka kutulia ndio ufunguke ila wanawake waliosingle wamekaa kimya kisa nyie wanandoa mnapretend mko...