uongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Yesu mwenyewe wala mitume wake hawakupewa fungu la kumi(zaka). Ninyi wahubiri wa leo mmpetoa wapi mafundisho hayo ya uongo na wizi?

    Huduma ya Yesu ilihudumiwa na voluntary giving za watu walioona ukweli wa huduma yake (siyo haya mazingaombwe na motivational speeches za hawa wahubiri uchwara wa leo). Wala mitume wa Yesu wala hakuna popote kwenye maandiko ya kikristo (Agano Jipya) kumesema utoe fungu la kumi. Mtume Paulo...
  2. Mnatoa wapi ujasiri wa kusema uongo?

    Kuna watu wakisema uongo Huwa wanatetemeka balaa ila Kuna wengine asalaleee!! Anadanganya macho makavuuuu hata kupepesa hapepesi. Hivi nguvu yenu Huwa nini hasa!?. 🤔
  3. CCM wanaishi kwa Uongo, Na hii ndo laana Kuu itakayoliandama hili Taifa milele CCM likiendelea kuwa chini ya CCM

    Kuna masuala yapo kiroho. Kuna mambo yanatupata leo kutokana na misingi iliyowekwa kiroho ambayo bila kuondoa mzizi mkuu kamwe hatutakuja kupata suluhisho. CCM wanaishi kwa uongo na hii ndo dhambi kubwa itakayoendelea kulitesa hili Taifa hadi pale yatakapotokea mabadiliko kwa CCM kuondoka...
  4. G

    Wazazi hugundua marafiki wa uongo, Watoto hugundua ndugu wanafki, Marafiki hugundua mpenzi asiekufaa,

    Mzazi ana uwezo mkubwa wa kumtambua rafiki wa kweli Watoto wana kipawa maalum cha kuweza kugundua kirahisi ndugu mnafki Marafiki wa karibu wana jicho makini kuweza kumtambua mpenzi asiekufaa
  5. Mbunge Gekul afika kwenye Madhabahu, adai tuhuma za unyanyasaji "Ule ni Uongo"

    Mbunge wa jimbo la Babati mjini Pauline Gekul amefanya ibada ya kutoa shukrani kwa Mungu kwa changamoto mbalimbali alizopitia mwaka huu 2024 ikiwemo sakata la kutuhumiwa kumuingizia chupa sehemu ya haja kubwa kijana aliyefahamika kwa jina la Hashimu jambo ambalo amesema hakulifanya kabisa...
  6. Point ya huyu jamaa kuhusu dini na manabii wa uongo inafikirisha sana

    Mwamba na hoja asikilizwe.
  7. K

    Kuunda Tume ya Kariakoo ni uongo mwingine!

    Kuna njia rahisi sana za kujua kimetokea nini Kariakoo na majengo yamejengwa vipi na yapo kwenye hali gani. Serikali ingetakiwa kutangaza tender kwa kampuni zenye utaalamu wa uchunguzi wa aina hii na waje na ripoti. Badala yake tunaweka Tume hizi fake ambazo zitaleta ripoti za kisiasa ambazo...
  8. W

    LGE2024 Maaskofu wa Kanisa Katoliki "Kiongozi anayepatikana kwa mbavu na Uongo, hutumia Ulaghai kuongoza"

    Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) limetoa tamko kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, leo Novemba 15, 2024 likisistiza una umuhimu mkubwa kwa ustawi wa Jamii na Nchi kwa ujumla Tamko hili limewasilishwa na Rais wa TEC, Askofu Wolfgang Pisa, amesema "Tunasisitiza TAMISEMI...
  9. W

    Kanisa Katoliki wamwambia Ruto kuwa Utamaduni wa Uongo lazima Ukomeshwe

    Baraza la Maaskofu wa Katoliki Kenya (KCCB) limeikosoa serikali ya Rais William Ruto kwa kushindwa kutimiza ahadi zake kwa Wakenya na kudumisha utamaduni wa uongo na kutumia mitambo ya Serikali kunyamazisha wapinzani Aidha, Mwenyekiti wa Baraza hilo, Askofu Maurice Muhatia amewashutumu viongozi...
  10. Hii Kauli "Nyuma ya mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke" huwa ni ya uongo

    Ngoja tuambiane ukweli mchungu. ‘Nyuma ya mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke.’ Ondoa jambo hilo kichwani mwako. Tena liondoe kabisa. Nafuatilia namna matajiri walivyofanikiwa, hakuna aliyefanikiwa kwa ajili ya mwanamke. Kama yupo nikumbusheni. Mwanamke hapendi shida, mwanamke ni muoga, kama...
  11. S

    Uzushi, majungu na uongo, havina nafasi katika soka, soka ni sayansi, uwekezaji na mipango. Alie bora ataonekana tu na swala la muda

    Huu ndio ujumbe wangu kwa hawa waliowekeza kwenye majungu, uongo na uzushi wakiamini watafanikiwa kuwaaungusha miamba wa soka la Bongo kwa sasa(Dar Young African). Wajiulize tu maneno haya katika misimu iliopita yaliwasaidia nini na Yanga ilikwamisha kwa haya? 1.Yanga anacheza kombe jepesi la...
  12. R

    Ni nani anapanda mbegu ya uongo, wizi, uhuni katika Uongozi na Utawala wa Tanzania?

    Tumsikilize Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam
  13. Jaydee anastahili heshima lakini asipewe sifa za uongo

    Wapo wasanii kwa uchache wa wanawake kwenye Sanaa walijitoa na kukubalika haraka na sasa tunawatazama kama "icons" kwenye Sanaa ya muziki, mmojawapo ni Lady Jaydee anastahili heshima Sana... Lakini hata hivyo tusianze kabisa kuwapa wasanii wakongwe sifa za uongo kuwa ni wakali Sana kuzidi...
  14. Baadhi ya watu wanapenda uongo au kudanganywa

    Watu wanapenda kusikia/kutazama/kuamini UONGO. 1)Mtu yupo radhi atumie muda wake mwingi kutazama tamthilia,sinema,series ,movies Ili hali anajua kabisa ni maigizo ni uongo sio ukweli. 2)Watu wapo radhi kujihusisha na mahusiano ya kimahusiano na wenza ambao wanawaongopea na wanajua kuwa...
  15. Z

    Swali; viongozi wa umma wanapokuwa mbele ya media ni full uongo

    Tahadhari usimwamini sana mwanasiasa wa kiafrika akiwa mbele ya camera, kwanini waongo hivi?
  16. Jinsi kumbukumbu za uongo zinavyotengenezwa na ubongo

    Watu wanahisi kumbu kumbu ni kama video recorder inatunza matukio yote kwa usahihi na ufasaha ila ki ukweli si hivyo, kumbu kumbu mara nyingi ni kama suggestion kukisia kwa matukio uliyoyaona na kusikia, unavyo kumbuka kitu ubongo unafanya suggestion ya tukio lilivyokuwa. Kumbu kumbu za uongo...
  17. L

    Baada ya Maandamano ya CHADEMA Kushindikana,Maria Sarungi Aanza Kutumika na kutumikishwa kupika Uzushi na uongo usio na Ushahidi Kuchafua watu.

    Ndugu zangu Watanzania, Ikumbukwe ya kuwa huyu Mama Maria Sarungi kazi yake kubwa ni kutumika,kutumikishwa , kutumiwa kwa njia zote chafu na mbaya kupika Majungu,umbea,uzushi,uongo,ufitini na uchonganishi.Maisha yake yanategemea atumikishwe kama mtumwa na watu wenye ajenda zao za siri kuchafua...
  18. Utawezaje kutofautisha kati ya kutunza siri na kusema uongo?

    Wapo baadhi ya watu ambao hupenda kujua mambo yanayokuhusu au mambo asiyoyajua; na anatamani kuyajua ila hapaswi kuyajua kwa wakati huo. Sasa ikiwa wewe ndiye unaulizwa kuhusu jambo au taarifa fulani unayoijua ila hupaswi kuisema kwa huyo anayekuuliza kwasababu ni SIRI; Je utamdanganya kwa...
  19. KERO TARURA waliahidi kuanza ukarabati wa barabara ya Wakorea Tegeta A lakini mpaka sasa hawajafanya lolote

    Niliwahi kusema hapa kwamba tangu Serikali ijue kwamba watanzania ni wepesi wa kusahau na wala si wafuatuliaji basi wana ahidi na kudanganya watakavyo. Mwezi March TARURA walitoa ahadi kupitia ukurasa rasmi wa Instagram wa Jamii forums kwamba ujenzi wa barabara ya Wakorea ( inayoelekea Tegeta A...
  20. Uongo gani mkubwa uliwahi kuongopewa na mwenza wako ukaja kujua ukweli?

    Habari wakuuu, Kama tunavyojua kwenye harakati au maisha ya kimapenzi tunakutana na misuko suko ya hapa na pale, misuko suko ambayo inatufanya tuyachukie mapenzi au mahusiano. Moja ya mambo yaliyoshamiri kwenye ndoa na mahusiano ya nyakati hizi ni UONGO uliokithiri. Mimi binafsi niliwahi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…