uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NALIA NGWENA

    Uongozi Wa Timu ya Dodoma jiji Unapaswa kuvunja benchi la Ufundi na kumtimua kocha kwani wasipoangalia timu itashuka daraja.

    Ninasikitika sana Kuona kocha mzawa (Mexime) Kuleta Maigizo kama vijana vijana Wa TikTok ya kuwatania Simba SC Kuwa hawaleti timu badala ya kuchanganua mbinu namna gani ya kumkabili Mpinzani wake (Simba SC). Kocha na benchi lake la Ufundi wamejisahau kabisa wanacheka Cheka tena na kutokumbuka...
  2. Lord denning

    Baada ya Vyama vya Ukombozi kuziharibu nchi zao kwa kuingiza siasa kwenye Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Kagame avifundisha nini maana ya Uongozi!

    Kwa wataalam wa masuala ya Ulinzi na Usalama aibu waliyoipata SADC baada ya Mission yao kufeli nchini Congo DRC, sio jambo lililotokea kwa bahati mbaya. Baada ya kuingia siasa za ushindani kusini mwa Bara la Afrika, Vyama vinavyofahamika kama vyama vya ukombozi ambavyo vingi vinatawala nchi za...
  3. GENTAMYCINE

    Uongozi wa Simba SC tafadhalini leteni Mechi zenu Uwanja wa Namboole hapa Uganda kwani mnakubalika na msipeleke Amahoro Rwanda kwa Yanga SC wengi

    Na GENTAMYCINE nitakuwa wa Kwanza kuwapokeeni na kuwapa kila aina ya Ushirikiano na mtafanya vyema Kimichezo.
  4. chiembe

    Kiatu cha Mbowe ni kikubwa kwa Lissu? "No refom, No election" fupa gumu kwa Lissu, aanza kujitoa na kusema liliamuliwa na uongozi uliopita wa chadema

    Nimesikia hotuba ya Lissu katika sherehe za siku ya wanawake duniani iliyoandaliwa na BAWACHA. Hotuba hiyo ilidhihirisha kwamba hakuna mpango kazi wowote wa "no reform no election". Tundu Lissu alionekana kujivua lawama kuhusu kauli hiyo na kusema iliasisiwa na uongozi uliotangulia. Kwa...
  5. SAYVILLE

    Uongozi wa Yanga, mnapotaka twende ndiyo tunapataka

    Uongozi wa Yanga mnataka kutingisha kiberiti ila sidhani kama mmefikiria vya kutosha madhara ya haya mnayofanya. Kuna matendo mengi ya hovyo mmehusishwa nayo ambayo yalifukiwa kwa sababu za kisiasa. Huku mnapokwenda tutalazimika kuyafukua na hamtabaki salama. 1. Tutafufua udhamini usio halali...
  6. Mpigania uhuru wa pili

    Karia uongozi wa TFF umemshinda huo ndo ukweli

    Kiukweli ukiangalia matukio mengi ya mpira kwa Tanzania chanzo ni uongozi mbovu tunafanya mambo kwa kubembelezana sana hakuna professionalism kabisa Ligi ya series A wanaadhibu timu bila kujali ukubwa juventus walishashushwa daraja na ac milan kukatwa point Mpira wetu ili uendelee tunatakiwa...
  7. GENTAMYCINE

    Technically Uongozi wa Yanga SC kama ungekuwa na Akili na ili kuleta Utulivu na Amani ya Mchezo wangefanya hili haraka lingesaidia ila hawajalifanya

    Tukiwaambia kuwa nyimwa vitu vyote na Mwenyezi Mungu ila siyo Akili na uwezo wa kuona mbali mambo na kuyakabili haraka mnakuwa wagumu Kuelewa. Ni kwamba kama kuna Kosa la Kiufundi ambayo Uongozi wa Yanga SC na hasa Kurugenzi yao ya Mawasiliano na Habari imefanya ni Kukaa kimya kwa kutokutoa...
  8. JanguKamaJangu

    Waziri Prof. Kabudi aufuta Uongozi wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC) kutokana na tuhuma mbalimbali

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi ameufuta Uongozi wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC) baada ya uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zilizowasilishwa na wadau wa mchezo wa ngumi. Taarifa kutoka Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeeleza...
  9. GENTAMYCINE

    Uongozi wa Simba SC niwaambieni mara ngapi kuwa mkiwa mnajiandaa na Mechi na Yanga SC ficheni Kambi yenu na msiwe huko Bunju / Mbweni kimazoezi?

    Yaani kuna muda huwa mnanikera sana na natamani hata nibebe tu Grenade nije niwarushie mpukutike kabisa duniani.
  10. K

    Rais Samia Suluhu Hassan ni Kielelezo cha Uongozi wa kina Mama Duniani

    Katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake, hakuna mfano bora wa mwanamke shupavu, mwenye maono na anayevunja vikwazo kuliko Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan. Safari yake ya uongozi si tu fahari kwa Tanzania bali pia ni mwangaza kwa wanawake duniani...
  11. J

    Uongozi Hospitali ya Sekou Toure unafahamu hili?

    Nimefika clinic ya NHIF saa 08.03, hadi kutika saa 09.15 hakuna daktari vyumba vyote 1-3. Maelezo yanatolewa kuwa wako "round". Tunadubiti dakika kama kumi anapatikana daktari mmoja( chumba no1). Kuna wagonjwa zaidi ya 50, tunasubiri kudra ya wakuu hawa. Sasa ni saa 09.57 hakuna dalili ya...
  12. Carlos The Jackal

    Pre GE2025 Kuelekea Machi 8 , Wanawake wasipewe nafasi za Uongozi/Kiutendaji Kwa sababu ya Jinsia yao!!

    Ndio unaweza niita Mkoloni au Mfuasi wa Mfumo Dume , Vyovyote vile iwavyo, ukweli ni kwamba, Kuna Nafasi za Kiuongozi na Kiutendaji hazitakiwi kupewa Wanawake Kwa sababu tu ni Wanawake !!. Badala yake ni Lazima Wanawake wao wenyewe kuonyesha Uwezo na uthubutu wao Kila sehem waliyopo ili...
  13. Doyi

    Uongozi serikali ya mtaa babati mjini kwa hili vumbi mnalotulisha wapiga kura wenu ni haki?? Mkurugenzi na timu yako mjitathmini

    Tunafahamu kuna ujenzi wa daraja maeneo ya msasani barabara ya kuelekea stendi mpya inaendelea na ni sehemu ya juhudi za serikali katika kuboresha miundo mbinu,ila kosa la kwanza mlilofanya ni kumpa tenda mkandarasi asiye na weledi kabisaa kabisaa,kwa maarifa yangu madogo alipaswa ajenge njia...
  14. MBOKA NA NGAI

    Viongozi wa AFC/M23 Bukavu, wanusurika kuuwawa na uongozi wa DRC

    Leo,kwenye mkutano wa viongozi wa AFC/M23 huko mjini Bukavu, Kivu kusini, katika mkutano wa hadhara baina ya uongozi wa M23 na raia wa Bukavu, jeshi la serikali liliandaa shambulizi kutumia Drones, kwa bahati mbaya zote zilidunguliwa kabla hazijafika zilikokuwa zimeelekezwa. Siku mbili...
  15. GENTAMYCINE

    Na hapa ndipo Uongozi wa Simba SC mnaponikera na Kuamua kuwaacha mpotee, sasa huyu Striker Jonathan Sowah wa nini Simba SC Kwetu?

    Hivi angekuwa mzuri hivyo angekuja Tanzania ambapo tunajua Ligi Kuu yetu ni full Mix by Yass, Mpesa na Airtel Money?
  16. MBOKA NA NGAI

    Mkutano wa wananchi na uongozi wa M23 huko BUKAVU

    https://x.com/kivunews24/status/1893282140516667574
  17. Abraham Lincolnn

    Tofauti ya Uongozi kati ya Rais Mkapa Vs Samia

    Baadhi ya Taasisi zilizoanzishwa na Rais Mkapa; 1.TAA 2.TCRA 3.PPRA 4.BRELA 5.EWURA 6.TACAIDS 7.SUMATRA 8.TANROADS 9.TAKUKURU 10.TRA. 11.MKUKUTA. 12.MKURABITA. 13.HESLB Baadhi ya Taasisi zilizoanzishwa na Rais Samia. 1. Samia Legal Aid 2. Goli la Mama 3. Samia App 4. Kazi Iendelee 5. Generation...
  18. Roving Journalist

    Rais Samia: Nafasi ya Uongozi unayoipata Mwanamke isiwe sababu ya kuharibu familia

    https://www.youtube.com/watch?v=BQDpwewcZEw Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Maadhimisho ya Miaka 10 tangu kuanza kwa mafunzo ya Uongozi kwa Wanawake Tanzania (Female Future Program) pamoja na Mahafali ya Wahitimu wa Awamu ya 10 ya Mafunzo hayo...
  19. GENTAMYCINE

    Wana Yanga SC wakiongozwa na GENTAMYCINE tunauliza je, Mwamnyeto nae Akioa Uongozi wetu utamzawadia 50M kama Aziz K?

    Nikiwa kama mwana Yanga SC Mwandamizi JamiiForums nzima nasubiria majibu ya Viongozi wa Yanga SC waliojazana hapa.
  20. A

    DOKEZO Wauza michele SIDO - Mbeya hatujapata Mkopo wa Mama Samia mwaka na zaidi sasa kisa uongozi wa Soko

    Mwaka jana miezi kama hii walitutembelea maofisa wa bank ya CRDB tawi la Livingston na kutushauri kutuongezea mtaji kwa kutupa mikopo, sisi wafanyabiashara wa hali ya chini tulichangamkia fursa kwa kwenda bank kufungua account na kupata fomu za mkopo huo ulioitwa mkopo wa Mama Samia Matokeo...
Back
Top Bottom