Katika Hafla ya Kusherekea Siku ya Kimataifa ya Wanawake duniani, Mtandao wa Kutetea Haki za Wanawake, #TGNP, umehimiza Wanawake kujisajili katika mfumo wa kuhifadhi data mtandaoni unaokurekodi, kuhifadhi na kusambaza wasifu wa Wataalamu Wanawake wa Kitanzania walioko ndani na nje ya nchi...
Wanabodi,
Huku nikiisubiri kesho kwa hamu kushuhudia akili za wanawake kwenye kilele siku ya wanawake duniani hapo Machi 8, huku nikitafakari mwelekeo na mustakabali wa siasa zetu za hapa nyumbani Tanzania, nimekuja kujiridhisha kiukweli kabisa ukubali, ukatae, kumbe wanawake wana akili sana...
Picha ya Rais Samia sio tu itabaki kumbukumbu kwenye kuta baada ya kustaafu kwake bali itajenga taswira ya kudumu mioyoni mwa watanzania na watanzania kutumia kama kioo cha kutazamia uongozi kwa vizaji vijavyo. Na hii ni kusema kwamba uongozi wake utaacha alama ya kudumu
Rais Samia ni jasiri...
Nimeshangazwa kama si kugutushwa na sababu ambazo Mama Samia, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alizotoa kwa reshuffle ya mwisho wa wiki iliyopita. Sababu kubwa inasemekana viongozi katika ngazi fulani hawaelewani. Hii imenishtua sana!
Nikajiuliza, kwa nini viongozi mahali popote kikazi...
Toka mwaka 2023 uanze hatujasikia lolote toka kwa Mkuu wa shule ya Uongozi.
Hivyo basi, wadau tukiwa bado tunasubiri nondo za shule ya uongozi toka kwa Mheshimiwa Balozi H. Polepole. Ni Bora tuone taarifa mpya kuhusu wanaosafiri kuelekea Malawi, alipo Mkuu wetu wa shule.
Kwa masikitiko makubwa naomba kuwasilisha taarifa hii kwenu uongozi wa halmashauri ya wilaya Hai, kuhusiana na namna watendaji ktk Kijiji cha Mungushi wanavyohujumu mapato ya Kijiji yanayotokana na uuzwaji wa viwanja ktk eneo la Kijiji.
Yameuzwa maeneo mengi sana na karibia Kijiji kinajaa...
Leo Robertinho kaonesha waziwazi kuwa hajui cha kufanya (kaishiwa mbinu) na kumuomba Mgunda ushauri.
Hatua ya kwanza camera zikamnasa kuomba ushauri na kisha akaonekana Baleke kuingia nafasi ya Boko. Kadri muda ulivyozidi kwenda alionekana yupo frustrated na hajui afanye nini.
Camera kwa...
Habari zenu wana JF wenzangu,
Ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika hapo juu.
Wana JF wenzangu, siku mbili tatu zilizopita tumeshuhudia lawama, kejeli na vijembe kutoka kwa watu mbali mbali wakimlaumu makamu mwenyekiti wa Chadema mh Lisu kwa kukimbia mapambano...
Baada ya New Zealand sasa pia Mkuu wa Serikali ya Scotland amejiuzulu baada ya kushindwa,
Nicola Sturgeon ameenda!
WAZIRI MKUU WA SCOTLAND ATANGAZA KUJIUZULU
Nicola Sturgeon ambaye ni kiongozi wa Chama cha #SNP amesema anaamini akili na moyo wake vimeona ni muda sahihi wa kupumzika baada ya...
Kuwekeana mipaka kwenye ulaji ni jambo la hekima, lakini kuwekeana ukomo kwenye kujitolea ni ama kukosa uelewa, kukosa maarifa, au anayetaka hilo liwepo ni mnafiki, ana dhamira mbaya.
Kuweka ukomo wa muda wa uongozi ndani ya CCM na ndani ya Serikali, ni jambo la muhimu sana. Uongozi ndani ya...
Wanabodi
Msingi Mkuu wa kazi ya uandishi wa habari ni ukweli, kuwa mkweli kuusema ukweli na kuandika ukweli!.
Sisi waandishi wa habari wa zamani tulifundishwa na waalimu wazungu, mimi mpaka leo mpaka kesho nakumbuka kauli ya Mwalimu wangu mzungu pale TSJ, a Canadian, Patrick Walsh akitufundisha...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Samia alishaweka wazi na kujipambanua kimaneno na kimatendo juu ya hasira zake Kali na maamuzi yake magumu kwa yeyote atakaye chezea fedha za umma,Hana Cha Nani Wala Nani katika Hilo,hamuogopi mtu Wala haangalii sura katika hili, Hana uvumilivu Wala Subira katika...
Zitto amesema kiongozi yeyote ambaye hatengenezi mrithi wake, basi huyo ni kiongozi ambaye amefeli. Anasema tayari chama chake kimetengeneza vijana wengi wenye uwezo wa kuongozi hata yeye asipokuwepo.
“Muda wangu wa uongozi unakwisha Machi 30, 2024. Kama hatujengi watu wa kutosha, nani atakuja...
Profesa Ibrahim Hamis Juma anastaafu mwaka huu, 2023. Jaji Mkuu alipata mamlaka hayo kipindi cha awamu ya tano, na kimsingi, ilikuwa ni mahala pa yeye kutenda alichohubiri madarasani kwa maisha yake yote ya kitaaluma kuhusu mgawanyo wa madaraka.
Ni wakati wa uongozi wake JPM aliteua Jaji wa...
Sasa hivi sitaki kusikia watu wakimlaumu tena mangungu kua hafai kua kiongozi bali nataka kusikia ikilaumiwa safu nzima ya uongozi wa simba na waliomuweka madarakani mangungu kwani kama mangungu angekua hatoshi na hakidhi vigezo asingerudishwa tena madarakani lakini walomchagua nadhani...
Mwanzo nilikuwa simuelewi elewi huyu mama, lakini mpaka sasa nimemkubali ni zaidi ya kiongozi!
Haya ni mambo ambayo yanathibitisha kuwa uongozi ni hekima Wala sio mihemuko
1: Ni mpenda haki/ anapenda haki
2: Ni msema kweli na muwazi
3: Sio mtu wa kuchukulia Jambo kwa haraka (sio mtu wa...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA , Tundu Lissu akielezea sababu zilizomfanya arudi nyumbani Tanzania baada ya miaka 5 akiishi ugenini. Hii ni hatua njema hususani katika kuimarisha demokrasia nchini, Rais Samia Suluhu Hassan wakati anaingia madarakani alisema matamanio yake ni kujenga nchi mmoja...
Huu ni Uzi wa kubadilishana uzoefu katika maisha. Tuambie kama iliwahi kutokea ukafuatwa na kuombwa ugombee nafasi flani. Mimi binafsi niliwahi kufuatwa na chama flan Cha siasa mpaka nyumbani, jamaa walikuja na wakaniomba nichukue fomu ya kugombea udiwani katika eneo ninaloishi. Lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.